duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia channel ya Travelxp unaweza kutamani kwenda Kila mahali duniani

    Anyway ni kusema wenzetu wanajua sana ku brand utalii wao na vivutio hasa hotel zinaonesha namna gani utapata malazi mazuri chakula kizuri na kampani. Hapa Jf ukitaja utalii utaona vijana wanaulizia masuala ya riki boy ilihali Kuna mengi sana ya kufurahia. Nashauri serikali iangalie namna ya...
  2. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Timu ya madaktari wa China wafanya upasuaji wa kwanza duniani kwa mgonjwa aliye Beijing, China wakiwa Rome, Italy(km 8100) wakitumia roboti

    China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans. The world's first transcontinental live telesurgery Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje? Huu ndio upasuaji wa kwanza kufanywa duniani madaktari wakiwa bara lingine na mgonjwa akiwa bara lingine. Huu ni mfumo wa...
  3. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Manchester United ni timu bora duniani kuliko Real Madrid

    Mbali na Real Madrid kuchukua kombe msimu huu kutokana na kuwa na bahati tu ila ukija kwenye ubora wa timu basi Manchester United ni zaidi ya Madrid Kwakuangalia uwezo wa nchezaji mmoja mmoja kati ya United na Madrid utagundua kuwa Manchester United wana qualities player kuliko Real Madrid Pia...
  4. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Ukraine inao wa kuwasaidia, Russia vilevile, hawa wapalestine hawana faida Duniani? Mbona ni tofauti na yalivyo mataifa mengine yaliyo na vita?

    Wapalestine watakwisha hivihivi tunajionea Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje kiutatautata tu na mambo yakaishia hapo Ukraine inao NATO, vilevile Russia ina China, SA, Korea...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa 20 yenye elimu bora duniani

    Hivi majuzi tulikusanya orodha ya Nchi 20 Bora zenye Mfumo Bora wa Elimu Duniani na katika makala haya, tutaangalia nchi inayoongoza kwa mfumo bora wa elimu duniani. Mitindo ya Elimu Ulimwenguni Takwimu kutoka kwa ripoti ya Takwimu ya Elimu ya Juu ya Ulimwenguni ya UNESCO iliyotolewa mwaka 2022...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna "Best" Fighter kuliko Lockheed Martin Raptor F-22 Duniani?

    Wakuu. Kwa wapenzi wa Military jet fighters, nadhani tunakubali F-22 ndio the best hadi sasa. Hii chuma ni latest generation (5th generation) na tokea zianze kutengezwa Marekani 2010 na Lockheed Martin, dunia nzima inakubali moto wake. Warusi wanazo Sukhoi zao (SU-35, SU-57 etc.) ila kwa...
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kuteua watu kabla ya kuwajulisha: Wapi kwingine duniani wanafanya hivyo?

    Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali. Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani [nasimama kusahihishwa endapo nitakuwa nimekosea]. Kateua mtu ambaye keshakufa! Hii ni aibu sana. Ni...
  8. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuamka kiroho sio suala la siku moja, hivyo tudumu kufanya meditation sana ili tupate kusudio letu hapa duniani

    1.Nataka Nisaidiwe Kuamsha/Kuzindua Kundalini Gharama Shilingi NGAPI? 🗣️JIBU;- Kuamsha Kundalini Hakuna Atakae kusaidia Si mchawi wala mganga Wala mtabiri Wa Nyota, Hakuna Dawa wala Pete ya kuvaa Itakayo Kusaidia Kuamsha Kundalini. ✍️Hii Ni Nguvu Yako mwenyewe Ipo Ndani YAKO, Mwenye Jukumu La...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waliotoa Kibali cha kuua Mamba Mkubwa Duniani wafikishwe Mahakamani

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kuwa anaamini kuuawa kwa mamba aliyedaiwa kuwa mkubwa zaidi duniani ni njama na uhujumu uliofanywa na watumishi wasio waaminifu wa Wizara ya Maliasili na Utalii. Mpina amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya wizara tajwa kwa mwaka...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Juni 3: Siku ya Baiskeli Duniani. Ni Mkoa gani ulikushangaza kwa kuwa na Baiskeli nyingi?

    Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kutambua na kuhamasisha matumizi ya baiskeli kama njia ya usafiri, burudani, na michezo. Lengo la Siku ya Baiskeli Duniani ni kuongeza uelewa kuhusu faida za kutumia baiskeli kwa mtu...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Amnesty International: Utekelezaji wa Adhabu ya Kifo umeongezeka kwa 31% Duniani

    Ripoti mpya ya Shirika la Amnesty International imeonesha Uhai wa Watu 1,153 ulikatishwa mwaka 2023 kutokana na kuhukumiwa adhabu ya Kifo ikiwa ni ongezeko la Watu 270 (31%) kutoka Watu 883 waliouawa mwaka 2022 Kwa mujibu wa Ripoti, idadi hiyo ni kubwa zaidi kwa kipindi cha takriban miaka 8...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Mahmoud Ahmadinejad ajisajili kugombea uraisi Iran, Ni furaha sana kwa wapigania haki duniani

    Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo. Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona kiongozi yoyote mng'ang'ania madaraka Duniani, ujue ana asili ya Afrika

  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kufanya unyama Palestina, wasiingie nchi yoyote duniani kuamrisha ujinga ujinga wao

    Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika . Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yashiriki maadhimisho ya Siku ya Hedhi Salama Duniani kwa vitendo

    Meneja Mawasiliano wa Barrick nchini, Georgia Mutagahywa (wa pili kushoto) akikabidhi taulo za kike kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mwananyamala B,Modeta Mushi, zilizotolewa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasitiri watoto wa kike.Wengine pichani ni Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 10% mikopo inayotolewa na almashauri kwa vijana ni bora ikajenge vyuo vya ufundi ilikuwa na wabunifu wengi kuendana na kasi ya teknolojia duniani

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo wanageuka...
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uwekezaji katika maendeleo ya watu kutaifanya Tanzania kutegemewa Duniani

    Nchi nyingi Duniani zina mambo zinayoyafanya kwa upekee na ueledi mkubwa jambo linazozipa nafasi ya kutegemewa Duniani. Mathalani zipo nchi kama Korea zinazotegemewa kwa uzalishaji wa vifaa vya kielekroniki Duniani. Zipo pia nchi zinazotegemewa kwa uzalishaji wa malighafi za viwanda na mazao...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa kiafrika ndio utamaduni bora zaidi duniani.

    Utamaduni wa kiafrika ndio utamaduni bora zaidi duniani na unaoendana na matakwa kamili ya Mwenyezi Mungu kwani unazingatia maadili mema na upendo miongoni mwa jamii. Ni muda sasa tuubadili utamaduni wetu kuwa dini kama waarabu walivyofanya utamaduni wao kuwa dini...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kutana na kobe Jonathan mnyama mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani alitotolewa mwaka 1832

    Ni dume na mate wake anaitwa federik huyu mate wake sio mkubwa sana kwani kazaliwa 1991..Jonathan anaishi huko saint Helena kisiwani ana kilogram 150..alitotolewa kwenye visiwa vya shelisheli Bahari ya hindi.. Walitotolewa yeye na wenzake watatu yeye akahamishiwa huku saint Helena kwenye shamba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Eric Garcetti: Ni jambo la kufurahisha kuona Demokrasia kubwa zaidi duniani ikifanya kupitia uchaguzi wa India

    Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI): Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia imeshangazwa na inashuhudia demokrasia kubwa zaidi ikitendeka kupitia Uchaguzi huo. Akiwa mwangalizi kwa...
Back
Top Bottom