dunia

  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Fredy Sam, mmiliki wa Rose Garden Dodoma afariki Dunia

    Tajiri ambaye pia ni Mmiliki wa Rose Garden Dodoma na ukumbi wa sherehe wa Kikimanj Ndugu Fredy Sam amefariki Dunia jana usiku akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Aghakan Jijini Dar es salaam. Bwana Fredy alifikishwa hospitalini hapo wiki tatu zilizopita akiwa anasumbuliwa na pressure...
  2. JamiiForums Tanzania Elimu ya fedha ambayo BoT wanapaswa kuifahamu

    CASH IS NOT THE KING Najua wengi ni ngumu sana kuamini hiki ninachoenda kukiandika lakini sikuzote ukweli haufichiki na hata ambao wataamini naamini watashangaa sana, ukweli ni kuwa dunia ipo speed sana na kama bado hujui kinachoendelea basi nitaenda kuweka wazi kila kitu bila uwoga kuhusu...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiachana na dunia kulizunguka jua na kujizungusha kwenye muhimili wake nadhani kuna mzunguko mwingine ambao wanasayansi hawajaugundua

    Dar es salaam haijawahi kuwa na majira ya baridi kwa muda mrefu hivi. Biharamulo nimeona clip kuna hadi barafu inadondoka kitu ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Ulaya wanateseka na joto. Nadhani haya hayatokei kwa bahati mbaya bali kuna universal system ambayo wanasayansi hawajaigundua kama...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hii dunia tutahangaika na huu upuuzi wa Corona hadi lini? Dawa ni kutunga sheria tu

    Ninachofahamu kwa uhakika wa 100% ni kwamba janga hutiliwa mkazo endapo tu kuna manufaa yanapatikana kwa kupitia Janga hilo, iwe ni magonjwa, matetemeko, mafuriko nk. - Mfano kwa magonjwa, ukiona NGO inapigia sana kelele masuala ya Ukimwi kwa mfano, basi tambua kuna manufaa wanapata toka...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Dunia inakwenda kasi, tusibaki nyuma

    Maisha yetu huwa na thamani pale tunapoona uwezo wetu wa kutatua changamoto ni mkubwa. Maisha yetu hukosa thamani pale tunapojihisi hatuna kile kinachoweza kuongeza thamani katika maisha yetu. Uwezo wa kutatua changamoto katika maisha hujengwa ili kutoa matokeo kusudiwa. Leo katika Story of...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

    DEATH ANNOUNCEMENT ‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون "Surely we belong to Allah and to Him shall we return". It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th...
  7. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Justinian Anatory afariki dunia

    Aliyekuwa Naibu Makamu Mkuu Mipango, Fedha na Utawala katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Profesa Justinian Anatory amefariki dunia. Profesa Anatory ameacha alama zake za kitaaluma UDSM na UDOM aliko pitia akilisukuma gurudumu la maendeleo mbele. Bwana alitoa, bwana ametwaa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hivi umefikiria kuhusu muongozo wa dunia na wanaoiongoza?

    💧 Dunia inaongozwa na watu wanao fikiri tofauti na wengine. 💧 Ukihitaji kuongoza katika sekta Fulani labda tuseme kiuchumi lazima ufikiri tofauti. 💧Mfano pale watu wanapo sema ng'ombe wa masikini hazai wewe ili ufanikiwe fikiri tofauti na msemo huu. ✍🏿 Huwa napenda sana kusoma historia za...
  9. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Jacob Mutabaji afariki dunia

    Hapa chini kunajieleza zaidi: Apumzike kwa amani Profesa Mutabaji.
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki wa Peacock hotel, Joseph Mfugale afariki dunia

    Joseph Mfugale ambaye alikuwa mmiliki mwenza wa Peacock hoteli amefariki dunia leo asubuhi. ======== Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Mmoja wa ndugu za Mfugale aliyetajwa kuwa msemaji wa familia, Expedito Mfugale alipoulizwa kuhusu taarifa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kitu pekee cha kuibadili dunia ni kalamu

    ✍🏿✍🏿 KITU PEKEE CHA KUIBADILI DUNIA NI KALAMU. 🖌️ Wengi wanasema kuwa Mimi siwezi: 1. Kusoma makala ndefu. 2. Kusikiliza mazungumzo. 3. Matamasha na kadhalika. 👆🏽 Watu hawa kamwe hawezi kuibadili dunia au kufanya mambo ya kipekee, kwani wanakwepa ujuzi. 💧 KUELEKEA SAFARI YA...
  12. JamiiForums Tanzania Dunia hii ni holographic simulation (Were not human)

    Habari wana jukwaa mimi naitwa Dgombusi Leo ntaenda kuzungumzia siri moja kubwa ambayo asilimia 1 au 2 ya watu wanifahamu vizuri kuhusu dunia yetu Aslimia 99 yatu wengi hawa ifahamu siri hii kubwa kuhusu Dunia yetu hii Nitaanza kwa kutoa mifano ya baadhi ya watu walio kuwepo wanafahamu...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kusini Unguja "Mzee Kichupa" afariki Dunia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

    Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere. ==== SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dunia ya tatu ndio tunaliwa vichwa na watu wa Dunia ya kwanza?

    Inashangaza sana na inachanganya sana, Africa ndio kusema inabahati mbaya ama inatengenezewa zengwe ili siku ya siku ije ipukutike? Ilikuwa chanjo ya AstraZeneca kutiliwa mashaka katika nchi za dunia ya kwanza kwamba zinagandisha damu na baadhi ya nchi ziliikataa hiyo chanjo kutumika kwa watu...
  16. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wasafiri wawili

    ISMAIL MAYUMBA Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na vimbunga vya kila aina na mawimbi yanayotisha. Ikafika kipindi wakaanza kusikia njaa na kwa bahati...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

    Hao ni CNN Na hao ni Aljazeera
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Baba mdogo wa Freeman Mbowe afariki dunia

    Familia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aitwaye Manase Alphayo Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi Amefariki Hospitali ya Machame Julai 23, alikopelekwa baada ya kupata mshtuko Freeman Mbowe ametuhumiwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi wa vitabu vya kiswahili na kiingereza Greyson Mhilu amefariki dunia

    Mhilu, alifariki jana akiwa ARUSHA baada ya kuugua muda mfupi. Msiba uko UKUN, BAGAMOYO. Wakati wa uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa Shule EAGLES, Bagamoyo na kufundisha shule mbalimbali zikiwemo LILIAN KIBO na MBEZI BEACH za DAR es SALAAM. Ameshiriki kuandika vitabu vingi na kuedit vingine...
  20. JamiiForums Tanzania Dunia inaenda Kasi Sana!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…