Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
3,398
2,000
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo.Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan!
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho!
Idd Mubaraka!
Sio kosa lao bali la mwezi
 

DITOPILE WAPILI

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
372
250
Elimu ya kuandama kwa mwezi ni elimu kubwa sana,

mpaka leo duniani wanazuoni bado wanabishana kipi kipo sahihi, lakini Quran imesema hivi funga au fungueni swaum ramdhan kwa kuuona mwezi. Kama hawajauona basi Insha Allah wakiuona watafungua.

Hata nchi za Oman na Saudia Rabia, mwezi ukiandama Saudia watu wa Oman hawafungi wa hawafungui, na Oman pia hivyo hivyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom