TANZIA Hassan Bantu afariki Dunia

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,900
Mkazi maarufu wa mjini Morogoro, Hassan Bantu pichani chini amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikopelekwa baada ya kuugua kwa muda mfupi:

IMG_20210519_112606_697.jpg

Hassan Bantu alikuwa mfanyabiashara maarufu mzawa baina ya wengi wenye asili ya kiasia mjini humo.

Katika kipindi chake, Bantu amekuwa mwanachama wa kutegemewa wa CCM akishika nafasi nyingi za utendaji katika chama hicho kikongwe.

Alale pema peponi Hassan Bantu.
 
Mkazi maarufu wa mjini Morogoro, Hassan Bantu pichani chini amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikopelekwa baada ya kujivua kwa muda mfupi:

Hassan Bantu alikuwa mfanyabiashara maarufu mzawa baina ya wengi wenye asili ya kiasia mjini humo.

Katika kipindi chake, Bantu amekuwa mwanachama wa kutegemewa wa CCM akishika nafasi nyingi za utendaji katika chama hicho kikongwe.

Alale pema peponi Hassan Bantu.
Ebu twambie umaarufu wa huyu mtu maana naona unamsifia sifia tuuu
 
Back
Top Bottom