MUNGU ni mwema! Jumatatu nyingine tunakutana . Kama mada inavyojieleza hapo juu, kuna mapenzi ya dhati kwenye dunia ya sasa? Najua jibu la swali hilo kila mtu analo kutokana na mapito yake. Wengi wamejikuta kwenye maumivu makali ya mapenzi kutokana na jinsi watu wanavyoishi na kuyachukulia...
Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha.
Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani.
Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
Wakuu habarini za Leo.
Napenda kuwapongeza wadau wote waliomo humu ndani. Mimi binafsi natambua michango yenu ktk kusaidia na kuelekezana mambo mbali mbali yahusuyo computer.
Dunia ya leo inaenda kasi Sana nasi tumekua mashuhuda, asilimia kubwa ya matajiri utajiri wao umetokana na mfumo wa...
Wakuu wa nchi 13 za Afrika wamekutana Abidjan nchini Ivory Coast na kufanya mazungumzo ya jinsi ya kuhuisha uchumi kutokana na athari za virusi vya corona, kuongeza uwekezaji na upatikanaji wa ajira.
Mkutano huo umefunguliwa na Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast aliyetoa wito kwa Benki ya...
Ukiachana na nguvu ya urembo na mvuto. Maua yamekuwa pia yakitumika kwa karne nyingi sasa kusaidia katika kutibu maradhi mbalimbali.
Maua mengine yanafahamika kwa uwezo wake wa kuzuia na kupambana na shida kama kichefuchefu, msongo wa mawazo na kitulizo cha maumivu.
Kutokana na upekee wa...
Habari waumini wa JF,
Uzi huu hauna maudhui ya uchechezi naomba nieleweke.
Kila serikali inapopitisha sheria mpya ambazo zinagusa maisha ya Watanzania moja kwa moja wananchi wa Tanzania huiunga mkono Serikali yao.
Iwe sheria mpya ya kodi ambayo inawaminya mbavu, wananchi wataiunga mkono, iwe...
Dunia ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya zamani, simaanishi hizi ni dunia mbili hapana! Dunia ni ile ile isipokua mambo yanayojiri duniani hubadilika, kama ambavyo mazingira au sura ya dunia yalivyobadilika. Mabadiliko hayo ya dunia yameathiri sana maisha ya mwanadamu kwa kiasi kikubwa katika...
Stori: Oscar Ndauka, UWAZI
DAR ES SALAAM na mitandao: Ile Sayari ya Nibiru au Planet X ambayo wanasayansi duniani wamedai inaielekea dunia kwa kasi ya ajabu na huenda ikaipiga, habari mpya ni kwamba imekaribia lakini pia tukio la kupatwa kwa jua, Septemba Mosi, mwaka huu inazidi kuwapa hofu...
Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma.
Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya dunia mwaka wa 1945 hapajawahi kuwa na vita vikubwa vilivyohusisha nchi nyingi kote duniani kuweza...
Nimeona mitandao ikimbeza sana Supastaa wetu mpya wa kike Tanzania mtoto wa Kajala aitwae Paula.
Wengi wanamchukulia Paula kama mtoto wa kike aliyeshindikana na amepoteza uelekeo wa maisha.
Wengine sababu ya elimu sababu hakufanya vizuri darasani. Na kuna wanafki wanasema kaanza mapenzi akiwa...
Nawasalimu wakuu wote.
Mara nyingi nimekua nikiona watu wenye matatizo ya akili vichaa vyao hupanda zaidi wakati wa mwezi mchanga. Nimekua nikifanya pia hata uchunguzi kwa watoto wadogo kuna kitu wanaita mchango hua unawapata zaidi wakati wa mwezi mchanga.
Pia wakati huo hata kwa watu wengi...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini Arusha.
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .
Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.
Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko...
Mimi sio muhubiri au anayeshadadia habari za Haki za wanawake (Ufeminist)
Ila katika pita pita zangu nimeshasoma visa vingi sana ambayo walifanyiwa wanawake kwa lengo la kumfurahisha mwanaume ila matokeo yake ikawa ni mateso tu na kutweza utu wao.
Ni visa vya ajabu na vya kupingwa kabisa...
Lengo kuu la kuingia kwenye ndoa tangu enzi za mababu ni kupata mtu wa kuchakatana naye. Ndiyo maana mahanithi hawaruhusiwi kufunga ndoa..
Ndoa ilikuwa na maana na muhimu zaidi enzi za mababu kwasabb ilikuwa haiwezekani kumpata mtu wa kuchakatana naye bila ndoa. Watu walikuwa na maadili ya...
Covid19 ni virus?
Kama ndivyo
Virus : Non living organism outside of the host cell (si kiumbe Hai nje ya seli ya kiumbe hai)
Mate hayana seli za kumuhifadhi(to host) kirusi.
Je! Ni kwa namna gani Korona inaweza ambukizwa kwa njia ya hewa, (drop lets)?
Kawaida ya magonjwa ya virusi mtu...
Nimeshtuka sana baada ya mama yetu SSH kufanya maamuzi kwa kufuata mkumbo wa ulimwenguni wa kuchanja watu chanjo ya korona!
Seriously, kwa kuwa dunia inachanja bila kujali madhara wanayopata kwa chanjo ya majaribio, na ukweli kwamba haikingi kihivyo, mnatutoa kwenye reli salama tuliyoachiwa na...
Amani iwe nanyi wadau!
Leo napenda kuongelea kuhusu suala la program aliyoibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kui rebrand nchi yetu na faida ya programu hii kiuchumi huko mbeleni.
Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa Mama Samia na huu ubunifu wake. Kwa uzoefu wangu, nchi chache...
Hiv ushawai jiukiza sku1 hawa walemavu tunaowapita barabarani kila siku wanaish maisha gani? Kula, kunywa, mavazi, afya nakadhalika.
Unakuta mtu barabaran anaomba hana mikono, miguu; anaendeshwa kwenye wheelchair.
Wapo walemavu wa aina nying ila kuna wale extreme yani. Hiv kweli serikali, well...
Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
#RIPFrKarugendo
Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.
14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.