dunia

  1. JamiiForums Tanzania DUNIA KWANINI INAUPIGANIA USHOGA?

    Wiki hii nilitaka kutokufanya lolote, nikasema nijikumbushe enzi za nyuma kidogo, Kipindi cha ujana ambacho niliweza kukaa ndani nikatazama movies siku nzima. Basi nikatoka nje ya mji niliopo, nikakodisha hoteli nikapewa movies niangalie wiki nzima. Japo sikuwa na nguvu ya kutazama movies...
  2. JamiiForums Tanzania Huenda binadamu ni silaha za kibaiolojia zilizoletwa duniani kama virusi wa kansa ili kuiharibu Dunia

    Tofauti Kati ya Dini Na sayansi/filosofi kuhusu Sababu ya Sisi kuwepo duniani Na Nani ametuleta mahali hapa Ni Moja: Approach ya Dini katika kuelezea Sababu yetu kuwa hapa duniani inaanzia kwenye hitimisho (Religion approach is from the conclusion) kwamba Mungu ndio ametuleta hapa duniani ili...
  3. JamiiForums Tanzania Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwaajili ya mpenzi wake wa zamani

    Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwa ajili ya mpenzi wake wa zamani, mahusiano hayadumu siku hizi kwasababu tunawapata watu wanaowapenda na kuwakumbuka watu wao wa zamani, tunakabiliwa na ukosefu wa amani ambao hatukuusababisha sisi. Tunachumbiana na kuwa kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Sababu kuu zinazofanya wanawake kuwanyima wanaume Unyumba

    SABABU KUU ZINAZOFANYA WANAWAKE WALIOOLEWA KUNYIMA WAUME ZAO UNYUMBA!. Na, Robert Heriel. Maelezo haya ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi ambao ulikuwa huru kabisa. Hivyo maelezo haya sio yakujitungia, ni matokeo ya uchunguzi huru nilioufanya. Aidha uchunguzi huu usichukuliwe kuwa Rasmi Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Siri iliyofichwa toka enzi na enzi juu ya uzao wa asili wa dunia hii

    Nanukuu kutoka kitabu cha KUMBKUMBU LA TORATI FUNGU LA 28: 1 Itakuwa utakaposikia sauti ya Bwana, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo Bwana, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani; 2 na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia tambara bovu, sugar daddy wa enzi za chuo anapokua baba mkwe

    Haya mambo hutokea hasa kwa wadada wanaopenda mambo makubwa kuliko uwezo wao. Dada yuko chuo anataka kwenda shopping Dubai, kuendesha gari japo hata iwe IST, aishi kwenye apartment na iPhone 13 pro. Hapa duniani kuna wazee wana pesa hawajui la kuifanyia. Kumtimizia binti yote haya ni madogo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Dunia hii inagawanywa katika makundi mawili

    Dunia hii inagawanywa katika makundi mawili, na jina la “utawala wa kiimla” zinatwikwa nchi zinazothubutu kusema “lahasha”. Kwa mujibu wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa uliosainiwa mwaka 1945, kuwa na mfumo fulani wa utawala ni suala la mamlaka ya kila nchi, ambalo linaamuliwa na watu wake...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

    Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini. Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
  9. JamiiForums Tanzania Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

    Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Hadaa kwa Dunia

    Mh. Spika Ndugai amesikika akiwa kaambatana na mbunge wa upinzani kwa mabeberu: Sikia wizara ya afya nao: Abiria katokea Tanzania. Yaliyobaki yanachukua muda gani kufahamika? Seriously? Hivi kama si vipaji adhimu kabisa ni nini?
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba kuandaa Kombe la Dunia

    WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, amesema Tanzania ipo tayari kuwa mwenyeji Kombe la Dunia kwa soka la watu wenye ulemavu (WAF) baada ya kumalizika inayofanyika Oktoba, 2022 nchini Uturuki. Tanzania ni moja ya nchi iliyofunvu kushiriki Kombe la Dunia, 2022 kupitia timu...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yafuzu kombe la Dunia mchezo wa soka kwa wenye ulemavu

    Na. John Mapepele Waziri mwenye dhamana ya Michezo nchini. Mhe, Innocent Bashungwa leo Disemba 1, 2021 amewaongoza watanzania kuishangilia Timu ya Tanzania (Tembo Warriors) ambayo imefuzu na kuwa timu ya kwanza miongoni mwa timu nne zinazoingia nusu fainali ya Soka ya Bara la Afrika kwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Dunia inakabiliana vipi na janga la UKIMWI huku kukiwa na janga jingine kali zaidi la COVID-19?

    Na Pili Mwinyi Ugonjwa wa UKIMWI bado unaendelea kuwa tatizo kubwa ambalo linaathiri afya ya mamilioni ya watu duniani. Ingawa dunia imepiga hatua kubwa katika miongo ya hivi karibuni, lakini malengo muhimu ya mwaka 2020 duniani bado hayajatimizwa. Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya UKIMWI, kila...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali imeungana na Dunia ya Kwanza kuwakandamiza Masikini. Acha wakandamizwe tu

    SERIKALI IMEUNGANA NA DUNIA YA KWANZA KUWAKANDAMIZA MASIKINI. NAMI NASEMA WAMALIZENI KABISA Na, Robert Heriel Kusoma wakati mwingine sio kuelimika, ninaushahidi wa kutosha usiotia Shaka kuwa wasomi wanashindwa na mambo mengi zaidi ya Wale wasiosoma. Sio kwenye ndoa, sio kwenye kazi, sio...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna rocket imetumwa huko angani ikagonge mwamba unaohatarisha kugonga dunia

    Dart: Mpango wa kulishambulia jiwe kubwa la Dimorphos linalokaribia kugonga dunia wazinduliwa 23 Novemba 2021 Imeboreshwa 24 Novemba 2021 CHANZO CHA PICHA,NASA / JHUAPL / STEVE GRIBBEN Chombo cha anga za juu kinachotarajiwa kugonga jiwe moja kubwa linalokaribia dunia kwa kasi kimezinduliwa ...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mzee Bakhresa, Gharib wa GSM na Mo Dewji: Wakati mkiwekeza katika michezo, isaidieni jamii pia kwenye mambo mengine ya maana

    Ndugu Gharib, Mzee Bakhresa na Mo Dewji Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi Nichukue fursa hii kukupongezeni kwa jitihada zenu za kuinua michezo, hakika uwekezaji wenu utasaidia kuinua michezo nchini, kutoa ajira kwa vijana wetu wanaoshiriki ligi n. k Lakini pamoja na hayo, naomba niongee na...
  17. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje watu wakaamini kwamba Tanzania inaweza kuendelea bila kushirikiana na dunia?

    Huwa nawaza sana tulifikaje hapa tulipo leo, Hivi ilikuwaje taifa lenye wasomi wazuri kabisa likaamua kufanya maamuzi ya kipumbavu ambayo hata Waroma wa kale walioishi miaka 2000 iliyopita wasingeyafanya. Hivi katika maksudi kabisa, taasisi nyeti za Tanzania ziliamini kabisa kwamba wao...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Joto la dunia, Serikali iamuru mabasi yasafiri usiku

    Kwa hali ya joto inavyozidi kuwa mbaya kila uchapo huku mgao wa maji ukizidi makali yake na huenda Tanesco nayo iko mbioni wakati wowote kuanzia sasa kutangaza mgawo wa nishati ya umeme, hali ambayo itafanya watu wasiomudu majenereta kuyakimbia majumba yao usiku na mchana, nina maoni kwamba...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Biden na Xi: Dunia itarajie nini?

    Marais wa dola mbili nguli wa siasa, uchumi na biashara, ulinzi na usalama; wenye nguvu za turufu duniani wamekutana kujadili mustakabali wa diplomasia baina yao zikiwemo agenda za mnyororo wa ugavi (biashara), hatima ya Taiwan, Olympics Beijing, muingiliano wa ki-uhamiaji, haki za binadamu...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

    Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…