dunia

  1. Dunia inaambukizwa (Nationalism instead of Patriotism, Cancel Culture, Superiority Complex, Over-sensitivity na Sisi na Wao)

    Limetokea tatizo kubwa la Sisi na wao; sio viongozi tu bali hata watu wa mataifa fulani kujiona Superior na wengine Inferior; mtu akisema kitu kuhusu nchi yenu basi nyote mnamshambulia na kushambulia taifa zima kwenye fungu moja... mbaya zaidi hii inaonekana kama ndio Uzalendo; lakini ni Hatari...
  2. TANZIA Mkuu wa Shirika la Watawa wa Wakarmeli Duniani, Lilian Kapongo na wenzake watatu wafariki kwa ajali Mwanza

    Wakuu mama mkuu/superior wa Shirika La Wakarmeli Duniani Sista Lilian Kapongo na Wenzake wanne Wafariki Dunia Leo Sasa Tano asubuhi wakielekea airport Kwa safari ya Dar es salaam. ----- TANZIA: Waheshimiwa Mapadre, Shemasi na Watawa wote Jimboni, Kristo,....... Kwa masikitiko makubwa, muda...
  3. Nadhani Dunia itanikumbuka kupitia hii Principle mpya Dunia

    "The Principle of Papuchi states that when borrowing increases, prices tend to drop, and vice versa Katika zama hizi za utandawazi na za gizani kuona principle/ kanuni yoyote yenye manufaa dunia ni kazi sana kwasisi ngozi nyeusi. Lakini mm kama msomi itaingia field ili kuifanya principle...
  4. Netanyahu na Trump watafanikiwa kujidanganya na kuidanganya dunia?

    Najua kuwa manazi wengi wanaoshangilia uhayawani na ukatili vinavyoendelea mashariki ya kati. Jana, Netanyahu aiishambulia Qatar, kikaragosi kama yeye cha Marekani. Leo, imeshambulia Yemen, mwiba kwa wote wawili. Je, mazwazwa na wahuni hawa wawili watafanikiwa kujidanganya na kuidanganya...
  5. Kombe la Dunia, Afrika imepewa nafasi 9

    Pamoja na kuwa mtu hazuiliwi kuongea chochote kuna watu washaanza mdomo et tanzania itafuzu kumbe la dunia kwa kushika nafasi ya pili. Ukweli nikwamba timu itakayoongoza kila kundi ndiyo utakayofuzu kombe la dunia. Baada ya hapo Fifa ilitoa nafasi mbili kushindaniwa na mabara yote. Ambapo...
  6. X

    Legend na fashion icon Giorgio Armani afariki dunia akiwa na umri wa miaka 91

    Aliyekuwa Godfather wa mitindo nchini Italia, gwiji na nguli wa mitindo duniani bilionea Giorgio Armani aliyezaliwa katika mji wa Pianceza nchini Italia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alianza kazi zake miaka 50 iliyopita jijini Milan jirani na mji aliozaliwa kwa kuanzisha Giorgio...
  7. Xi Jinping aitaka Dunia kuchagua amani au vita. Trump asisitiza gwaride la China halimtishi.

    #HABARI Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na chaguo kati ya amani au vita siku ya leo Jumatano Septemba 3, 2025 alipokuwa akifanya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini mwake, akiwa na Vladimir Putin wa Urusi na Kim Jong Un wa Korea Kaskazini. Wakati viongozi wa nchi za...
  8. Waarabu wanavyoihadaa dunia!!!

    Uongo uliopitiliza; Msichana wa Gaza "alipigwa risasi kifuani na majeshi ya Israel madaktari wanaitoa risasi hiyo mgongoni kwa msichana huyo cha ajabu hakuna damu, hakuna jeraha, na ganda la risasi halijakamilika. Kusema kweli waarabu wanachezea sana akili!!! Angalia hiyo video wanajifanya...
  9. Sudan watu zaidi ya 1,000 wafariki dunia kwenye maporomoko ya ardhi. Kijiji chote kilifunikwa

    Wakuu, Maporomoko mabaya ya ardhi katika eneo la Darfur nchini Sudan yamefuta kijiji kizima, yakiua zaidi ya watu 1,000 na kumuacha mtu mmoja pekee hai, kwa mujibu wa Harakati ya Ukombozi wa Sudan/Jeshi (SLM/A). Tukio hilo lilitokea tarehe 31 Agosti baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku kadhaa...
  10. M

    Sina hela kabisa kodi inasubiri bado watoto wanaumwa, watu wa karibu wamenikimbia

    Habari wanaJF ! Tuendelee kupeana moyo kiukweli ni faraj kwa watu wenye matatizo
  11. Israel Aerospace Industries (IAI) Wakiwa kazini kuinufaisha dunia!!

    Sekta ya kwanza ya anga duniani kubadilisha Boeing 777 kutoka ndege ya abiria hadi ndege ya mizigo✈️ Israel Aerospace Industries (IAI) imerekodi mafanikio mengine ambayo hayajawahi kushuhudiwa, kama kampuni ya kwanza duniani kupokea leseni ya STC (leseni ya kubadilisha ndege kwenda kwa mizigo)...
  12. Gangnam Style: Muziki wa Korea Ulioburudisha Dunia Yote

    Mwaka 2012, dunia ilishuhudia tukio la kipekee katika historia ya muziki wa kimataifa. Wimbo wa “Gangnam Style” ulioimbwa na msanii wa Korea Kusini, PSY, ulivutia hisia na kujenga wimbi kubwa la furaha, kucheka, na kuigiza mtindo ya kipekee wa kucheza ambayo ulipendwa na dunia nzima. Hata bila...
  13. Thomas Tuchel Aitaja Kikosi cha England kitakachowavaa Andora na Serbia kufuzu Kombe la Dunia

    Kocha wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametangaza kikosi cha wachezaji watakaoshiriki Kombe la Dunia mwezi Septemba. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wenye nafasi mbalimbali: Goalkeepers: Dean Henderson, Jordan Pickford, James Trafford Defenders: Dan Burn, Marc Guehi, Reece James...
  14. GE2025 Tutarajie Kampeni za CCM kusema awamu iliyopita ilikuwa sio za Samia na CCM

    Kama mjamshtua hadija kopa anaweza kusema muhula alioshika kijiti alikuwa sio yeye kwa sasa kila haadi zitakuwa zake. Maneno makande wakina lucas mwashamba mumetumia nguvu sana
  15. Dunia imejaa Smart People wenye Mashaka na Wapumbavu wenye Confidence.

    Kuna usemi "Dunia imejaa Werevu wenye Mashaka na Wapumbavu wenye kujiamini sana" Uzoefu unaonyesha kwamba watu wenye akili nyingi mara nyingi wana shaka, wakati wasio na maarifa mengi huwa na imani kubwa na uthubutu. Maarufu kama "Dunning-Kruger Effect," ambapo wapumbavu huamini sana bila...
  16. Benki ya dunia yawatukana mamilioni ya watanzania

    Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable pamoja na zile 7000 mnazolipwa kila siku lakini bado benki ya dunia imewatukana na kuwabagaza.
  17. TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

    Habarini wanajamvi, Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi. Kesho...
  18. Je mamlaka kuu za dunia zinatuficha kuhusu uwepo wa aliens?

  19. TANZIA: MWILAMBA AFARIKI DUNIA

    Mkoa wa Ruvuma umepokea taarifa hii kwamasikitiko sana, Tumepoteza Moja ya Jembe kubwa sana ndani Ya mkoa Apumzike kwa Amani. https://youtu.be/g7nAxHOCc2s?si=bymxm0bROefqmWrZ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…