Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Alfajiri ya leo akiwa nyumbani Kwa Ndugu zake Kibaha Mkoani Pwani.
Mchekeshaji mwenzie, Masai Nyota aliyewahi kufanya nae kazi mbalimbali za sanaa ambaye amesema ni taarifa za ukweli na amezipokea asubuhi ya leo na kwamba...
Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho.
Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa akipatiwa matibabu.
Buravan alianza kupata umaarufu mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa Malaika, baada ya...
Aliyekuwa msaidizi wa mtunza vifaa wa klabu ya Simba, Hassan Mtutanje maarufu kama Mzee Somo amefariki dunia juzi jumamosi usiku.
Marehemu atakumbukwa kama mmoja ya wafanyakazi wa Simba waliokuwa na mahaba mazito na klabu hiyo.
Mzee Somo atazikwa leo kwao mkoani Mtwara. Apumzike kwa amani.
Watu 41 wanadaiwa kuuawa na wengine 55 kujeruhiwa baada ya moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme kuzuka katika kanisa la Abu Sifin Coptic katika mji wa Giza, Cairo
Mamlaka zimesema kuwa moto ulizuka wakati waumini 5,000 wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya ibada ya Jumapili , na kusababisha...
KIPWA/CHIPWA: Kijiji ambacho kilikuwa katika dunia ya peke yake. Shukrani kwa Mama Samia.
Tarehe 15/10/2020 ni siku niliyotembelea kijiji cha Kipwa, kilometa 85 kutoka Sumbawanga mjini, mpakani mwa Tanzania na Zambia, ikabidi nijiambie kwamba hiki ni kijiji katika ulimwengu wake. Kwa Watanzania...
Mtoto Rehema ambaye ni pacha aliyekuwa amesalia baada ya mwenzake waliyetenganishwa kufariki dunia, naye ameaga Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jana Agosti 11, 2022.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa MNH, Aminiel Aligaesha amesema: "Ni kweli amefariki jana saa tano...
Wamepora mifumo na bidhaa ambazo zilipaswa kusaidia jamii nzima.
Wanatamani hata hewa waiwekee haki miliki ili tuwe tunainunua. Makampuni yangefyonza gesi yote ya oksejeni angani na kuimiliki. Watu wasiojiweza wangekufa kwa kukosa pesa ya kununua Oksijeni.
Kwenye mambo mengi wameshinda kwa...
Baada ya kuona vikwazo vya kiuchumi vimeshindwa kumdhibiti Putin, baada ya kuona misaada ya silaha na fedha (kwa sasa zimefikia zaidi ya dola bilioni 65!) zimeshindwa kumfanya Putin aiachie Ukkraine, sana sana anagawa uraia kwa wa-ukraine wa maeneo yaliyotekwa. Sasa Zelensky anaona njia pekee ni...
Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022.
Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST!
Dereva wa Trekta akakimbia!
Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
Tangu Tanzania ipate Uhuru imepita miaka 60 miezi 7 na siku 30 Sasa. Ushawahi jiuliza mfumo wetu wa elimu wa Sasa ni mfumo gani? na je umepitia mabadiliko gani mpaka kufika hapa?
Wakati wa Mwalimu Nyerere tulikuwa na mfumo wa elimu ya kujitegemea, mfumo huu ulikuwa na lengo la kuhakikisha kila...
Na Godian Method
Kombe la Dunia ndiyo michuano mikubwa zaidi ya kimataifa katika mpira wa miguu, ambapo watu, Sanaa na tamaduni za mataifa mbalimbali huungana.Michuano hii ya soka, hudumu kwa muda wa mwezi mmoja, tukishuhudia mataifa bora 32 yakichuana vikali katika jitihada za kuhakikisha...
China inayofahamika kuongoza kwenye uchafuzi wa mazingira duniani, imetishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira, maana kwamba itaendelea kuchafua kabisa wa kujifia ajifie, hii ni mojawapo wa mbinu za kulipiza kisasi dhidi ya Marekani baada ya Pelosi kutua Taiwan licha ya mikwara...
Russia ndiyo hivyo, Tumaini pekee lilikuwa Kwa Mchina. Na yeye Jana ndiyo hivyo. Kapigwa biti na MBABE na wote tumelishuhudia pambano live bila chenga.
Yale maneno ya XI (you will be met with fire) tulikuwa tunayasubiria Kwa hamu lakini ndiyo hivyo wote tumeona kilichotokea. Sasa case ni...
Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists.
China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani.
Vilevile kwa namna...
Wakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini...
Huku na huku nafsi imekata tamaa na kuendelea kuwepo duniani. Sijui nini kinafuata baada ya roho yangu kuacha mwili labda huko mbeleni baada ya kifo nitafahamu.
Siri ya mtungi aijuaye kata, siwezi kuelezea yote ninayoyapitia hata nguvu ya kuandika sina. Malapa na viatu vimeisha kwa kutafuta...
Hapo vip!
Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke.
Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu...
NB: Tukumbuke...
Timu ya taifa ya Tanzania ya mchezo wa kabaddi imefuzu kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini India mwishoni mwa mwezi Oktoba. timu hiyo imefuzu baada ya kushika nafasi ya pili katika mashindano ya afrika ambayo yalimalizika mnamo julai 28 katika mji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.