dunia

  1. T

    Maziko ya Malikia UK uwenda yakatikisa soko la hisa la dunia siku ya kesho (Black Monday)

    Igweeee taarifa zisizo Rasmi kesho ni siku itakuwa ngumu kuanzia kwenye masoko ya hisa ya dunia sector ya mawasiliano. Taarifa zinasema uwenda system zika down kwa masaa kadhaa wakati wa mazishi ya Malikia wa UK. Kwa mataifa masikini soko la fx litakuwa sio zuri na uwenda kwa mtu anafanya...
  2. BigTall

    Hili la Wabunge kujua kusoma na kuandika tu halitoshi, TZ tubadilike Dunia inatuacha nyuma

    Ukifuatilia siasa za Tanzania kuna mambo mengi sana yanachukuliwa poa lakini kiuhalisia yanaweza kuwa kikwazo cha Tanzania kutofanikiwa kwenye mambo mengi. Kuna jambo ambalo najua mimi sitakuwa wa kwanza kulizungumza, hili suala la Wabunge wetu kuwa sheria au niite kigezo cha kwanza lazima ajue...
  3. Gama

    Rais Zelensky apendekeza dunia kumtambua Rais Putin kama gaidi

    Baada ya rais wa Ukraine kutembelea maeneo yaliyokombolewa na kukuta makaburi ya haraiki amependekeza viongozi wa dunia wamuorodhese rais wa Urusi katika orodha ya magaidi na wanaofadhiri ugaidi Soma hapa Tortured, shot, killed’: Zelensky accuses Russia of genocide after Izyum mass grave...
  4. H

    TANZIA Balozi Paul Milyango Rupia amefariki dunia nchini Afrika Kusini

    Nimehuzunishwa na kifo cha Balozi Paul Milyango Rupia Aliyekuwa na umri wa miaka 84. Mauti yalimkuta Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Paul alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wabobezi wa Tanzania na alikuwa muungwana. Kifo chake kimetupokonya busara na bashasha zake. Balozi Paul Rupia...
  5. Curtis De Mi Amor

    Nalazimika kuwa adui wa rafiki wa rafiki yangu

    Iko hivi, nina mshkaji wangu peace sana tunaelewana mtu wa kazi kazi. Nayeye ana mshkaji wake sasa ilitokea wakagombana kisa mikopo maana mwana alienda kopa na mwana ndio alimdhamini. Sasa kwenye marejesho mwana kala chocho, hivyo msala ikabidi mshkaji ausolve ukaisha. Ghafla mwamba huyu hapa...
  6. Chizi Maarifa

    Nimesikitishwa na hiki kitendo, kweli sasa naamini Dunia imebadilika!

    Nimeshangaa wamasai wanalia. Wamasai wanalia Sabaya aachiwe! Hii inashangaza. Zamani hili jambo lingeitishiwa kikao na Maleigwani huko kwao. Mmasai anatakiwa apandishe Mori siyo kulia. Miaka hii Mmasai analia? Wamasai walikuwa walinzi miaka yetu walinzi wa kuaminika. Sasa hivi wasusi, Daaah...
  7. Msitari wa pambizo

    TANZIA Askofu John Ramadhani afariki dunia

    Habari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia. Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani. Bishop...
  8. Nihilist

    Maisha bila korodani (Testes) hayana umuhimu kwa ulimwengu huu wa familia

    Ni miaka 36 imepita tangu pale mvulana huyu azaliwe kwa furaha ya wazazi iliyoje kupata mtoto wa kiume wakifahamu wameleta mwana wa kuwaongezea ukoo na kuwafanya wajivunie kwa kupata wajukuu na huenda vitukuu na vilembwe, masikini pasina kufahamu kuwa mtoto huyo ana mapungufu makubwa ambayo kama...
  9. BARD AI

    Saudi Arabia, Misri na Ugiriki kushirikiana kusaka kibali cha Kombe la Dunia 2030

    Msemaji wa Wizara ya Michezo Mohammed Fawzi amethibitha kuwa nchi hizo tatu zimekubaliana kuungana ili kuomba kibali cha FIFA na mazungumzo hayo yanahusisha wasimamizi wa michezo wa nchi hizo. Misri inataka kutumia uzoefu wake wa muda mrefu katika masuala ya michezo ikiwemo kuwa mwenyeji wa...
  10. MSAGA SUMU

    Kwanini Dunia haimpatii Mbowe heshima yake?

    Juzi nilikuwa nafuatilia mjadala wa demokrasia ndani ya Al Jazeera, majina kadha wa kadha ya miamba ya upinzani yalikuwa yanatajwa cha ajabu hamna hata mara moja jina la Mbowe lilitajwa hata kwa bahati mbaya. Utasikia Chagulanyi, Miguna, Ingabire Victore, Odinga, Malema nk. Sidhani kama dunia...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Upende usipende Dunia itakufundisha kutokudharau wengine

    Anaandika, Robert Heriel Vijana wenye Dharau na kiburi mnawaona Watu wazima wenye age 45-70. Msiwaone wapole😂😂 msiwaone Kama wamezubaa 😊 Walikuwa wanaringa Kama ninyi, walikuwa na Dharau na kiburi Kama ninyi. Ila Dunia imewafundisha, somo limewaingia. Ujana maji ya Moto wahenga walishasema...
  12. Kiranga

    Buriani: Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeth wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia

    Malika Elizabeti wa Pili Elizabeth Regina Elizabeth Regina with Julius Kambarage Nyerere of Tanzania. Royal Tour of Tanzania, 1979. Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeti wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia leo Septemba 8 2022 huko Kasri la Balmoral, Uskochi, Uingereza. Malika...
  13. FRANCIS DA DON

    Bei ya mafuta yaendelea kuporomoka kwenye soko la dunia

    Habari zinaeleza kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia inaendelea kuporomoka katika soko la dunia kutokana na wasiwasi wa mdororo wa uchumi. Habari zaidi ipo chini. --- An oil pumpjack operating as another stands idle in Los Angeles, California. Oil prices fell on Wednesday as Covid-19 curbs...
  14. L

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China yahimiza maendeleo ya uchumi wa dunia

    Maonyesho ya Kimataifa ya mwaka 2022 ya Biashara ya Huduma ya China yamefungwa hivi karibuni hapa Beijing. Ikiwa ni moja ya majukwaa matatu makuu ya China kufungua mlango, maonesho hayo yanaonesha nia ya China ya kufungua mlango zaidi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika biashara ya...
  15. Mr Kachila

    SoC02 Mapenzi kuiendesha Dunia

    Mapenzi; unaposikia neno mapenzi moja kwa moja unapata tafsiri yake binafsi katika ufahamu wako. Wengi huelezea maana yake kutokana na mtazamo aliopo nao, mfano; matazamo wa kidini, kimazingira yanayomzunguka na hata kimahusiano. Binafsi neno mapenzi, kwa kawaida hubeba hisia za ndani...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaosema watu wasipiganie urithi ni wajinga, wasio na uelewa wa dunia

    Anaandika, Robert Heriel, mwanasheria. Wewe kama huna cha kurithi kwenu usidhani kila mtu kwao yupo kama wewe. Vijana wa siku hizi sijui akili wamepeleka wapi. Sio ajabu Faizafoxy anasema; "huko shule mlienda kusomea ujinga", Kwa kweli wanashangaza. Kama mnashindwa kuelewa mambo madogo kama...
  17. BARD AI

    Unaujua ugonjwa wa Mafua ya Nyanya ulioanza kuivuruga tena dunia?

    Wakati dunia ikiwa bado na makovu ya ugonjwa wa Covid_19 ulioishambulia na kuua watu milioni 6.4, na ule wa MonkeyPox ulioua karibu watu 100 Afrika mwaka huu, kumeibuka homa ya mafua ya nyanya. Kumeripotiwa kuweko kwa visa vipya nchini India na kuanza kuibua hofu ya kuenea katika maeneo mengine...
  18. Nyankurungu2020

    Mch Lusekelo ya kaiskari mpe kaiskari na ya Mungu Mungu mpe Mungu. Tozo na kodi ziwe halali kulingana na kanuni. Dunia nzima hakuna double taxation

    Kodi inatakiwa isikatwe mara mbili. Kodi au tozo inatakiwa iwe halali na isiwe mzigo kwa mlipaji. Acha kutetea maonevu kwa njia ya tozo na kodi
  19. JITU LA MIRABA MINNE

    Nguvu ya mwanamke katika kujenga au kubomoa Familia, Taifa na Dunia

    Mwanamke ni kiumbe kinachoonekana ni dhaifu kwa mawazo yetu lakini shetani akimtizama mwanamke anaona ni mtu makini ambae anaweza kubomoa au kujenga dunia REFFERENCE (Mwanamke) 1.Aliongea na shetani katika bustani ya Edeni akashawishiwa kula tunda akala akamshawishi na Bwana wake wakala...
  20. J

    Serikali yaipa kongole Multichoice kutangaza Kombe la Dunia kwa Kiswahili

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini Qatar. Akizungumza Septemba 01, 2022 Dar es Salaam katika hafla ya Maonesho kwa Vyombo vya Habari...
Back
Top Bottom