Rais wa Benki ya Dunia adai Mikopo ya China kwa Afrika imejaa Mitego na haina uwazi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,361
8,095
1680430076463.jpeg

Rais wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass, amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya Mikopo inayochukuliwa na Mataifa yanayoendelea Kiuchumi Barani #Afrika kwa maelezo kuwa Masharti yake mengi hayana uwazi.

Kauli hiyo inafuatia mvutano wa madeni kwa baadhi ya Nchi zikiwemo #Ghana na #Zambia ambazo zimetatizika katika urejeshaji mikopo, licha ya China kudai ukopeshaji wake unazingatia Sheria za Kimataifa.

Ongezeko kubwa la Riba za Mikopo kutoka Mataifa tajiri ikiwemo #China, Ulaya na #Marekani kwa Nchi za Afrika, limetajwa kusababisha Mikopo hiyo kuzigharimu baadhi ya Nchi kwasababu Ukopaji na Urejeshaji unafanywa kwa Fedha za Kigeni.

===============

The president of the World Bank has told the BBC that he is concerned about some of the loans China has been making to developing economies in Africa.

David Malpass says the terms and conditions need to be "more transparent".

It comes amid worries that countries including Ghana and Zambia are struggling to repay their debts to Beijing.

China says that any such lending is done within international rules.

Developing countries often borrow money from other nations or multilateral bodies to finance sectors that will grow their economies such as infrastructure, education and agriculture.

However steep increases in interest rates in the US and other major economies over the last year are making loan repayments more expensive because lots of that borrowing is done in foreign currencies such as US dollars or euros.

It is a particularly acute problem for developing economies who can struggle to find the extra money that is required as the relative value of their own currency falls.

It is a "double whammy and it means that [economic] growth is going to be slower", says Mr Malpass.

US-China rivalry
Tackling that challenge and its consequences was one of the main reasons for this week's visit by US Vice-President Kamala Harris to three African countries. It is a visit that comes with big commitments of financial support to Tanzania and Ghana.

There is a growing rivalry with China for influence in the continent, whose abundance of natural resources include the metals, such as nickel, crucial for the batteries needed for technology such as electric cars.

Speaking in Ghana's capital, Accra, she said "America will be guided not by what we can do for our African partners, but what we can do with our African partners".

While highlighting a new nickel processing facility in Tanzania Ms Harris said the project would be supplying the US and other markets by 2026 and that it would "help address the climate crisis, build resilient global supply chains, and create new industries and jobs".

BBC
 
View attachment 2573923

Sharti la ushoga ndo tufuate?
 
Afu yakwao imejaa ushoga.
Miaka yote walikuwa wapi - wanaona Wachina wameoisaodoa sana Afrika kwenye nyaja za miundo mbinu, mawasiliano, vyuo vya ufundi nk.

Nani ambaye hajui Merikani na mataifa mengine uanavyo pinga/hawatako ujio wa Wachina barani Afrika hasa hasa Wamerikani wanaisema sema vibaya Uchina wanajtia kusahau taasisi zake za kifedha zilivyo liweka bara la Afrika katika hali ngumu za kifedha/kiuchumi kutokana na masharti na riba zao kubwa bazo ni ngumu kulipika - taasisi za IMF,World BANK Merikani ndio yenye share kubwa na final say. Blaming China wholesale is not far at all.
 
Mwisho wao umefika wanahangaika
 
Back
Top Bottom