Leo Jumapili October 8, tumemuona KELVIN KIPTUM akivunja record ya dunia ya Marathon hapo Chicago nchini Marekani kwa muda wa saa 2 na sekunde 35, akiizidi record ya KIPCHOGE aliyoweka Berlin Marathon (saa 2:01:09).
Hivyo bingwa mpya wa marathon ni KELVIN KIPTUM.
Tangu tarehe 01.10.2023 kumekuwapo na vuguvugu la muungano wa vijana wapiganaji kuvamia ngome za waasi wa M23.
Vijana hawa wanaojiita wazalendo ni mchanganyiko wa vikundi vidogo vidogo vya waasi na wanamgambo nje jeshi la nchi. Wengi ni vikundi maarufu kama Mayi Mayi na Nyatura.
Wazalendo...
Mwaka huu ni miaka 10 tangu rais wa China, Xi Jinping, alipotoa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja.
Zaidi ya miaka 1000 iliyopita, misafara ya ngamia ilipita katika Njia ya Hariri ya Kale, ikikabiliwa na upepo mkali na jua, ikichukua hariri na chai kutoka China na kuzipeleka katika nchi za...
Ehe bwana ehe, mimi kama Muhaya original kabisa, na thubutu kusema Dunia mpaka sasa bado inaupiga mwingi kabisa.
Mambo kama haya tuliyazoea kipindi kile cha Ofisa Bin Laden Mwamba kabisa aliyeitikisa Dunia na Marekani kwa mapigo yake na akili yake ya kipekee ambae kwa karne hii hakuna mtu...
“Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly.
Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu”
@andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC
Habari za huzuni jioni hii, kutoka katika kitongoji cha Cheshire, Greater Manchester ni kuwa Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia.
Wawili hao walioana mwaka 1966 na wamedumu kwenye ndoa mpaka mauti yalipomfika bibie Lady Cathy akiwa na miaka 85.
Ameacha watoto watatu...
Kila ifikapo Oktoba 6 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya Mtindio wa Ubongo/ cerebral palsy, ambapo kwa Mara ya Kwanza siku hii iliadhimishwa mwaka 2012.
Madhumuni ya siku hii ni kuielimisha jamii kuhusu tatizo hili pia kuhamasisha uwepo wa mazingira jumuishi na wezeshi kwa watu walioathiriwa...
Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya kwa Saudi Arabia kupata nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2034.
Kombe la Dunia la Soka...
Dunia kuna nguvu kuu mbili, umepewa free will uamue, uwe kwa shetani au Mungu. Shetani ndie mungu wa ulimwengu huu kwa wasio na Mungu.
Matatizo shida vurugu kila kitu kibaya chanzo ni shetani. Kila lolote lililo baya lina uzuri ndani yake.
Maendeleo ya dunia ni matokeo ya shida, shida ndio...
Uzi huu unakusudiwa uwe ni endelevu na uwe unapokea taarifa mpya mpya kila huo muda unavyokaribia.Kwa sababu imeelezwa kuwa matayarisho yanaendelea kukutana na wenzetu nje ya dunia.
Wanasayansi wengi wanaamini kuwa zipo dalili nyingi zaidi sasa kuwa binadamu hatuko peke yetu kwenye ulimwengu wa...
Marekani imethibitisha na kukubali kuwa kweli Iran imefanikiwa kuingiza satelite yake N3 kufikia orbit ambako huogelea satelite za mataifa mengine yaliyowahi kufanya hivyo.
Pamoja na kukubali huko Marekani imesema kitendo hicho cha Iran ni kukiuka maazimia ya vikwanzo kwa nchi hiyo jambo ambalo...
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.
Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.
Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale...
Zoleka Mandela: Nelson Mandela's granddaughter dies in South Africa at 43
Zoleka Mandela, granddaughter of South Africa's first democratically elected President Nelson Mandela, has died of cancer at the age of 43.
She passed away on Monday evening surrounded by friends and family, a...
Dee7 (jina lake maarufu) aliekuwa mtangazaji wa radio Kiss FM ya jijini Mwanza amefariki dunia hapo jana tarehe 23.09.2023.
Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kipindi cha African Beats pale Kiss FM mtakuwa mnaikumbuka vyema sauti yenye mamlaka ya huyu ndugu yetu na bila kusahau mchango wake mkubwa...
DUNIA INARUDI ILIPOTOKA, ITARUDI KWA MAUMIVU MAKALI SANA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kila kitu kitarudi katika sehemu yake. Kila mtu atarudishwa katika nafasi yake. Hakuna atakayevuka mipaka yake tena. Bahari itajidhibiti mawimbi yake, wala maji hayataenda sehemu ya nchi kavu, Usiku...
UPDATE: Aliyefariki ni Isore Mtegetu Marwa (28) Mkazi wa Mekomariro Wilaya ya #Bunda alijeruhiwa wakati wa vurugu zilizohusisha baadhi ya Wakazi wa Mekomariro dhidi ya Wananchi wa Kijiji cha Ryaming’orori Wilayani Serengeti ambapo pia watu wengine kadhaa wakijeruhiwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
WAZIRI MHAGAMA: TUWALINDE WATOTO, DUNIA IMEBADILIKA
Wazazi na walezi wametakiwa kuhakikisha wanawalinda watoto dhidi ya vitendo vya kikatili kwa kuhakikisha wanatoa taarifa ili hatua za kisheria zichukuliwe badala ya kuwa sehemu ya kuwaficha watu wanaofanya vitendo hivyo vinavyosababisha...
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Mkacha Mohamed (35), mkazi wa Soya wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kuanguka na pikipiki akiwa na mwenzake wakiwakimbia Polisi wa Kibaya waliokuwa kwenye doria kijiji cha Namelock.
Vijana hao walikuwa wanasafirisha shehena ya dawa...