Hofu tuliyo nayo dhidi ya Mkataba wa Tanzania-Dubai inao msingi thabiti katika ubaya unaoambatana na historia ya "makoloni ya walowezi wa kigeni" katika Afrika.
Kwa mujibu wa "TPA Handbook, 2019-20," kwenye ukurasa wa tisa, TPA inasimamia bandari 88 zifuatazo:
Bandari 18 zilizo katika Ukanda...
Kwenye sakata la Bandari tumegundua kumbe Dubai sio nchi na haina hadhi ya kuridhia mikataba ya kinchi, hivyo kilikuwa ni kimbelembele cha kijinga cha bunge la Tanzania kuingia kichwa kichwa na kuridhia ule mkataba wa kifedhuli.
Sasa wataalamu wetu wanasema lile deal la makubaliano ya...
Kwa asili Mwanawake amejaliwa kwa neema ya mwenyezi Mungu kuwa msikivu. Ni msikivu mzuri na hasa 'anaposomeshwa' na mwanaume. vinginevyo, ndoa zisingekuwepo duniani.
Tumeshuhudia siku za hivi karibuni mjadala mkali kuhusu bandari zetu zilizopo upande wa pili wa Muungano. Wabongo tumegawanyika...
Kutokana na upotoshaji ambao umekuwa unaendelezwa na viongozi wetu, binafsi kama raia nimeshindwa kuvumilia.
Hii imekuja baada ya leo kumsikia tena Mh. Kassim Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu, kusema kilichopitishwa na bunge ni makubaliano kati ya nchi mbili. Nchi ya Tanzania, na nchi ya Dubai...
1. Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa.
2. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua "kunyuti" kusubiria teuzi ambazo awamu hii zimekua adimu kwao.
NB: Poleni wa-Tanganyika.
**Wao mwaka mzima...
Wakuu, Sabalkheir na Eid Mubarak!
Sakata letu la Bandari limechukua taswira tofauti tofauti mitandaoni, wengine wakisema “Bandari imeuzwa” wengine wakilalamikia Mkataba, wengine wakipotosha, basi alimradi tafrani.
Lengo la uzi huu ni kuweka wazi na kwa ukweli kuhusu Mkataba huu. Kwa dhamira ya...
Mwanazuoni Profesa Issa Shivji amekosoa mkataba baina ya Tanzania na Dubai unaohusu uboreshaji na uendeshaji wa bandari, huku akishauri Bunge kubatilisha azimio la kuridhia mkataba huo wa awali.
Profesa huyo ambaye ni nguli wa sheria amependekeza njia hiyo leo Jumatano Juni 28, 2023 wakati...
Steve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
"
Can Dubai on its own enter the intergovernmental...
Kwa watasha tuu karibuni msongoke
---
STATEMENT
IN RESPECT TO THE INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT (IGA)
BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE
EMIRATE OF DUBAI CONCERNING THE ECONOMIC AND SOCIAL
PARTNERSHIP FOR DEVELOPMENT AND IMPROVING THE
PERFORMANCE OF SEA AND LAKE PORTS IN TANZANIA...
Habari za asubuhi wana JF,
Tunaendelea na hili jambo ambalo sasa lipo katika ngazi ya familia kabisa. Tunaulizwa majumbani mwetu. Kuna mambo kadhaa ambazo ni facts kabisa katika mkataba huu na zinaufanya ukose sifa.
Wao wanasema ni makubaliano tu, lakini makubaliano ni mkataba. Baadhi ya facts...
Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12
Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu
Msigwa amesisitiza Bandari lazima...
Hakuna kitu kinarudisha Nyuma maendeleo ya wafanyabiashara wengi kama utapeli wa Mtandaoni.
Mtu unafanya kazi unajikusanya alafu mtu anakuja kukutapeli.
Nimekutana na tapeli ambaye anaishi Dubai na kazi yake ni kutapeli Watanzania kwa kudanganya kuwa anauza magari. Ametutapeli zaidi ya watu...
Utangulizi:
Naheshimu sana mawazo ya watu, ila kama taifa tuna shida mahali, nadhani ni sababu ya rushwa ikitamalaki inapofusha macho (sitaki kuhukumu sina uhakika ila kwa jicho la tatu DPW kuna harufu ya rushwa kubwa sana, maana sio kwa udalali unaofanyika sasa katika ngazi zote, kwenye media...
Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu.
Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai...
Niambieni, kwa jinsi walivyosimama hapo na mwonekano wao,unadhani ni nani anayedhaniwa kuwa ndo anatakiwa asainishwe mikataba ya DP word?
Kati ya nchi ambazo watu wake ni jeuri, walisharidhika na umasikini wao, na mambo yao ni poa sana, na wenye uwezo wa kuuza chochote bila kufikiri ya badaye...
Jangwa halikuwa mbali sana na milango ya Dubai. Mji mkuu huu, ambao sasa umegeuzwa kuwa kituo cha kisasa cha fedha ambacho, pamoja na wakazi wake milioni tatu ndio jiji lenye watu wengi zaidi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), umepakana na bahari, kwa upande mmoja, na kwa upande mwingine...
Hivi mkataba kati ya Tanzania na Dubai una uhalali wowote wa kuitwa ni IGA? Yani una uhalali wa kuitwa mkataba kati ya nchi na nchi?
Inaonekana waliosani ni Dubai na Dubai ni mkoa tu katika UAE. Je mkoa wa Geita unaweza saini na Ujerumani huo mkataba ukaitwa IGA na kama siyo huu mkataba...
Tukiitazama historia ya Dubai au UAE kwa ujumla, Oman, mwambao wote wa Zanzibar na bandari takriban zote za nchi za mashariki ya kati mpaka India na Asia ya mbali,utakuta kulijuwa na mwingiliano mkubwa wa kibiashara kati yao.
Bila shaka ni historia ndefu sana na ya zamani sana, kwa ufupi, leo...
Nimejaribu kuwaza kwa kina haya yanayoendelea hapa Tanzania kuhusiana na sekta ya bandari.
Sote tunajua tayari Serikali na bunge wamepitisha na kusaini mkataba wa uendelezaji na uendeshaji shughuli za bandari zote za Tanganyika kuwa chini ya umiliki na usimamizi wa milele wa muarabu wa Dubai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.