TLS on intergovernmental agreement between the Government of Tanzania and Emirate of Dubai

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
Kwa watasha tuu karibuni msongoke

---
STATEMENT
IN RESPECT TO THE INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT (IGA)
BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE
EMIRATE OF DUBAI CONCERNING THE ECONOMIC AND SOCIAL
PARTNERSHIP FOR DEVELOPMENT AND IMPROVING THE
PERFORMANCE OF SEA AND LAKE PORTS IN TANZANIA DATED
25TH OCTOBER 2022
Tanganyika Law Society is a professional body established by the Tanganyika Law Society Act, Cap. 307 R.E. 2002. As stated in Section 4 of the Act, the Society's aims include, among other things: aiding the Government, Parliament, and Courts in matters affecting legislation, administration, and and practice of the law in Tanzania; representing, protecting, and assisting members of the Tanzanian legal profession in practice conditions and other areas; and protecting and assisting the Tanzanian public in all matters touching, ancillary or incidental to the law.

Besides, In addition, according to Article 27(1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania, Cap. 2, R.E. 2002, every person has the duty to protect the natural resources of the United Republic, the property of the state authority, all property collectively owned by the people, and also to respect another person’s property. Sub-article (2) obligates all persons by law to protect state authority's property and all property collectively owned by the people,, fight against all forms of waste and squander, and manage the national economy diligently as people in control of their nation's destiny.

The Tanganyika Law Society is conscious of the public discourse around the ratification process and content of the the Intergovernmental Agreement (IGA) between the United Republic of Tanzania and the Emirate of Dubai concerning Economic and Social Partnership for the Development and Improving Performance of Sea and Lake Ports in Tanzania. Given the agreement's characteristics, possible impact, urgency, and sensitivity, on 7th June 2023, the TLS Governing Council assembled a team of specialists to examine the IGA, which at the time was still pending before the Tanzanian Parliament for ratification. The IGA was ratified by the Parliament of the United Republic of Tanzania on 10th June 2023. Since then, the Tanzanian Government, Media, Civil Society, Faith-based organizations, Private Sector, and various other stakeholders have voiced their opinions on the IGA, leading to conflicting conclusions and general lack of consensus. When the TLS Governing Council nominated this team of experts, they were tasked with the following specific objectives:
1. To dissect the proposed intergovernmental agreement between the United Republic of Tanzania and the Emirate of Dubai concerning economic and social partnership for development and improving the performance of sea and lake ports in Tanzania, dated October 2022.​
2. To seek advice from relevant individuals who might provide additional insight to enhance the analysis, findings, and suggestions.​
3. To conduct a comparative study on similar inter-governmental agreements in other jurisdictions, specifically those involving the Emirate of Dubai.​
4. To submit a comprehensive analysis report with suggestions to the TLS Governing Council by 12th June 2023.​

On 12th June 2023, the team of experts delivered their report to the Governing Council as per their
mandate. The report was discussed and contemplated by the Governing Council, and it is now
intending to issue this statement.
 
Attachments

  • TLS-STATEMENT.pdf
    288 KB · Views: 11
Thanks TLs but i thought that its better to reefer the matter before the court of law than destruction of the nation affairs. Since the contract threat our freedom, dignity and our ownership its the time now to make better decisions for the future.
Lawyers in the promises of protection of state power let all unite!!!

cc. Boniface luhende
 
Thank you TLS for your observation, advice and recommendations...

Maoni yenu, Mashaka yenu, wasiwasi wenu na ushauri wenu hauna tofauti na wananchi wengine wengi walioshitukia hii kitu mapema..

Tofauti yenu ni kuwa presentation ya mtazamo wenu, maoni yenu na ushauri wenu mmeuwasilisha kwa umma kwa lugha ya Kiingereza..

Nashauri, wekeni hii kitu kwa lugha ya kiswahili ili umma wote usome na kuelewa...

Aidha, sijawaona kuwa mko critical kwa kusema waziwazi kuwa, mkataba huu unavunja muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar Kwa kuwa suala la bandari ni la Muungano lakini exclusively, limeziacha bandari za upande wa pili wa Muungano (Zanzibar) nje ya mkataba huu..!

Swali linabaki kuwa: Ni Kwanini??
 
Hakika
 
TLS kama wawakilishi wa wananchi tena wenye mamlaka ya kisheria wana kila sababu ya kupeleka shauri hili mahakamani likaamuliwe huko. TLS wanapaswa pia kuwa ACTIVE kwenye mambo mengi tu ya kisheria yanayovunjwa wazi wazi na Serikali, kwa mfano haki ya ardhi kwa raia, mchakato wa uchaguzi na namna ya kuwapata viongozi na mambo yote yanayohusiana na uraia na mambo ya muungano.

TLS.... Igeni wenzenu wa LSK ya Kenya jinsi wanavyopambana pale wanapoona uvunjwaji wa sheria ukifanyika.
 
TLS imefanya kazi nzuri sana. Kama hawataelewa hata uchambuzi huu, basi hawa itakuwa hawakuusaini na kuupitisha huu uchafu kwa bahati mbaya au kwa kukosa maarifa, bali walinuia kuliangamiza Taifa.

Na hapo itabidi tuchukue hatua dhidi ya hao waovu wanaotaka kuliangamiza Taifa.

Kama mwanasheria mkuu alishiriki kwenye mkataba huu, baada ya uchambuzi huu, ajiuzulu mara moja au afukuzwe haraka kwa namna yoyote inayotatikana.

Wale vidomodomo wasiojua chochote waje sasa, tuwasikie. Sijui kwa nini mara zote watu ambao huwa wanaipongeza na kuitetea serikali hata kwenye uovu, huwa ni wale ambao wana upeo na akili ndogo!!
 
Safi sana.

Haya vibaraka wa shetani semeni sasa.

Wanasheria hao wamechambuwa kama karanga.
 
Nashauri, wekeni hii kitu kwa lugha ya kiswahili ili umma wote usome na kuelewa...
Inashangaza kweli kwa watu kama hawa kutojua umuhimu wa kuwasilisha jambo hili kwa wananchi katika njia rahisi na inayoeleweka.

Hawa watu wanaishi dunia gani hawa, hata wasione umuhimu wa kufanya hivyo?

Kutafsiri taarifa hii inaugumu gani?
 
TLS imefanya kazi nzuri sana. Kama hawataelewa hata uchambuzi huu, basi hawa itakuwa hawakuusaini na kuupitisha huu uchafu kwa bahati mbaya au kwa kukosa maarifa, bali walinuia kuliangamiza Taifa.

Na hapo itabidi tuchukue hatua dhidi ya hao waovu wanaotaka kuliangamiza Taifa.

Kama mwanasheria mkuu alishiriki kwenye mkataba huu, baada ya uchambuzi huu, ajiuzulu mara moja au afukuzwe haraka kwa namna yoyote inayotatikana.

Wale vidomodomo wasiojua chochote waje sasa, tuwasikie. Sijui kwa nini mara zote watu ambao huwa wanaipongeza na kuitetea serikali hata kwenye uovu, huwa ni wale ambao wana upeo na akili ndogo!!
Wamefanya uhaini.
 
Mmoja wa hao ni huyu hapa tayari kisharopoka, hata bila kujua anachoropokea.
Safi sana.

Haya vibaraka wa shetani semeni sasa.

Wanasheria hao wamechambuwa kama karanga
 
Kwa watasha tuu karibuni msongoke

---
STATEMENT
IN RESPECT TO THE INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT (IGA)
BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE
EMIRATE OF DUBAI CONCERNING THE ECONOMIC AND SOCIAL
PARTNERSHIP FOR DEVELOPMENT AND IMPROVING THE
PERFORMANCE OF SEA AND LAKE PORTS IN TANZANIA DATED
25TH OCTOBER 2022
Tanganyika Law Society is a professional body established by the Tanganyika Law Society Act, Cap. 307 R.E. 2002. As stated in Section 4 of the Act, the Society's aims include, among other things: aiding the Government, Parliament, and Courts in matters affecting legislation, administration, and and practice of the law in Tanzania; representing, protecting, and assisting members of the Tanzanian legal profession in practice conditions and other areas; and protecting and assisting the Tanzanian public in all matters touching, ancillary or incidental to the law.

Besides, In addition, according to Article 27(1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania, Cap. 2, R.E. 2002, every person has the duty to protect the natural resources of the United Republic, the property of the state authority, all property collectively owned by the people, and also to respect another person’s property. Sub-article (2) obligates all persons by law to protect state authority's property and all property collectively owned by the people,, fight against all forms of waste and squander, and manage the national economy diligently as people in control of their nation's destiny.

The Tanganyika Law Society is conscious of the public discourse around the ratification process and content of the the Intergovernmental Agreement (IGA) between the United Republic of Tanzania and the Emirate of Dubai concerning Economic and Social Partnership for the Development and Improving Performance of Sea and Lake Ports in Tanzania. Given the agreement's characteristics, possible impact, urgency, and sensitivity, on 7th June 2023, the TLS Governing Council assembled a team of specialists to examine the IGA, which at the time was still pending before the Tanzanian Parliament for ratification. The IGA was ratified by the Parliament of the United Republic of Tanzania on 10th June 2023. Since then, the Tanzanian Government, Media, Civil Society, Faith-based organizations, Private Sector, and various other stakeholders have voiced their opinions on the IGA, leading to conflicting conclusions and general lack of consensus. When the TLS Governing Council nominated this team of experts, they were tasked with the following specific objectives:
1. To dissect the proposed intergovernmental agreement between the United Republic of Tanzania and the Emirate of Dubai concerning economic and social partnership for development and improving the performance of sea and lake ports in Tanzania, dated October 2022.​
2. To seek advice from relevant individuals who might provide additional insight to enhance the analysis, findings, and suggestions.​
3. To conduct a comparative study on similar inter-governmental agreements in other jurisdictions, specifically those involving the Emirate of Dubai.​
4. To submit a comprehensive analysis report with suggestions to the TLS Governing Council by 12th June 2023.​

On 12th June 2023, the team of experts delivered their report to the Governing Council as per their
mandate. The report was discussed and contemplated by the Governing Council, and it is now
intending to issue this statement

Ahsante sana chama cha mawakili Tanzania (TLS) kwa ushauri mzuri wa kisheria , ni ushauri wenye jicho la kizalendo na upendo kwa nchi yenu, najua wengi ni mmejitolea muda wenu kutumia taaluma yenu bure pasipo malipo yeyote, kwa upendo wa nchi yenu, na upendo wa watu wenu wa Tanganyika, mumeonyesha upendo mkubwa sana.

najua kwa sababu ni maandishi watz wengi hawapendi kusoma, lakini itoshe kusema kazi yenu ni nzuri kwa ajili ya taifa, lenu, kiufupi Hamtadaiwa leo wa kesho kwa sababu mmetekeza wajibu wenu kwa Tz na watu wake, kwa kutumia taaluma yenu.

Mung awabariki, kamati yote
binafsi nimeridhika, kama ushauri utafanyiwa kazi, utaziba sintofahamu zote ambazo si za kizalendo kwa kweli, na wengi zilitupa hofu, ushauri umetoka sehemu sahihi kwa watu wenye taaluma zao na uzoefu wa mambo ya uwekezaji.

ombi langu:
wanasiasa, wafanya biashara, waandishi wa habari, machawa, wanyonge, na wengine wote na hata mimi mwenyewe nchi hii ni yetu sote, tuipende, hakuna mwenye haki miliki na nchi hii isipokuwa TZ yenyewe, tusiwafanye wengine kuwa watumwa kwenye nchi yao, kisa umepewa madaraka, mali, vyote ni kuwatumikia wengine.

tukumbuke vyama vyenu vya siasa visitugawe tz, kama mmechagua kuwa wanasiasa wengine sio kazi zetu wala sio wafuasi wenu ila ni Watanzania. fanyani vyote kwa manufaa ya nchi si siasa zenu wala maisha yenu binafsi.
 
Inashangaza kweli kwa watu kama hawa kutojua umuhimu wa kuwasilisha jambo hili kwa wananchi katika njia rahisi na inayoeleweka.

Hawa watu wanaishi dunia gani hawa, hata wasione umuhimu wa kufanya hivyo?

Kutafsiri taarifa hii inaugumu gani?
Umesahau wao ni wanasheria wasomi!
Hiyo huenda ndo inawatofautisha na wasio wasomi
 
Kwanza; niwapongeze TLS mmefanya kazi nzuri na kitaaluma katika kuchambua hoja hii. Mmewaeleza kinaga ubaga wale walioona wamesoma kwamba suala hili siyo la mzaa ni suala nyeti kwa Taifa. Hongereni

Pili; nadhani Mhe. Rais sasa niwakati wakufanya refom ofisi ya AG na maeneo mengine ambayo yamepewa jukumu la kukushauri kuhusu maslahi ya Taifa. Haiwezekani tuwe na wasomi waliosoma vyuo vinavyofanana wanaotofautishwa na taasisi (TLS vs AG) then kuwepo na gap kubwa la utofauti wa uelewa kwenye jambo hili. Ni aidha hauna watu sahihi serikalini au serikali haina nafasi ya kuwasikiliza watu sahihi.

Tatu; Bunge la Tanzania jitahidini kujitathmini, madhara yakupitisha hoja hizi kishabiki yamewafanya wananchi wavunjike sana moyo. Leo hata bajeti wamegoma kujadili means nchi haina wananchi

Nne, namwelewa Waziri Mkuu aliposema serikali inayo nafasi ya kusikiliza wananchi...huu uchambuzi utoshe kusema kwamba waliowakilisha nchi walikuwa siyo watu sahihi. Huu mkataba haukupitiwa na wazalendo wenye kuona kesho......tujirekebishe ili Marais wanaokuja nao waongoze Taifa huru siyo Taifa lililopoteza sovereignty kama TLS wanavyotukimbusha. Tumeuza Utaifa wetu kwa mwekezaji wala tusibishe

Tano; siamini kama yote waliyosema TLS yatafanyiwa kazi. Mwanasheria mkuu wa serikali alivyozungumza tukubali tu kwamba hata tuambiwe vipi tayari uhuru wetu umeshanunuliwa. Rostam kuhita vyombo vya habari siyo kazi ndogo...huyu ni mwekezaji mkubwa hadi afike mahali apige kampeni tambua wapo matajiri zaidi yake
 
Thanks TLs but i thought that its better to reefer the matter before the court of law than destruction of the nation affairs. Since the contract threat our freedom, dignity and our ownership its the time now to make better decisions for the future.
Lawyers in the promises of protection of state power let all unite!!!

cc. Boniface luhende
Excellent work of our TLS. We are waiting for legal professional response from the office of our AG on the above issues raised by TLS. Politics and politicians should stay away from this legal professional debate.
 
Back
Top Bottom