dubai

  1. econonist

    JamiiForums Tanzania Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai ni Batili kwenye sheria za kimataifa

    Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa. Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Kamati Kuhusu Azimio la Bunge Kuridhia Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai Kuhusu Ushirikiano wa Uendelezaji na Uboreshaji Bandari Tanzania

    MAONI YA KAMATI YA PAMOJA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA LA MWAKA 2023 SEHEMU YA KWANZA...
  3. SNAP J

    JamiiForums Tanzania Ijue Dubai Ports World (DP World) company

    Dubai Ports World (DP World) ni kampuni ya kimataifa ya usimamizi wa bandari na kuwezesha biashara iliyo na makao yake makuu huko Dubai, Falme za Kiarabu (UAE). Ni mmoja wa waendeshaji wakubwa wa bandari duniani na inasimamia mtandao wa bandari za baharini na ndani katika zaidi ya nchi 45 kwenye...
  4. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuweni wazalendo, chunguzeni zawadi walizopewa viongozi na watumishi waliokwenda Dubai.

    Moja ya mbinu ambazo hutumika na 'wawekezaji' wenye nia ovu ni kuandaa safari za nje ya nchi za 'kuwaelimisha' wafanya maamuzi wa nchi husika. Safari hizi huambatana na ukarimu wa hali ya juu kwenye mahoteli ya kisasa na utalii wa maeneo mbalimbali ya kuvutia kwenye hizo nchi. Pamoja na hayo...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge 30 wa Tanzania kwenda Dubai safari ya kimya kimya si kawaida

    Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joseph Kasheku Musukuma akiongea bungeni amesema walikwenda Dubai kuona mafanikio ya bandari za huko. ZIARA YA KAMATI YA MH. PROF. MBARAWA YA WABUNGE 30 DUBAI Jambo la kushangaza ni kuwa kamati ya Bunge wakitembelea miradi ndani ya Tanzania huwa...
  7. OLS

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Djibouti walivunja mkataba na DP-World?

    Haya mijadala inaendelea kuhusu uwekezaji wa bandari, hoja nyingi zikitolewa kutokana na masharti ya mkataba huo ambao unaonekana utaathiri uchumi wa Tanzania badala ya kuuendeleza. Kampuni ya Dubai inayosimamia bandari Zaidi ya 78 katika nchi 40 duniani imekuwa na kashfa kadhaa za ukwepaji...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Mwenye mkataba kati ya JMT na Dubai kuhusu bandari atuwekee humu

    Maneno yamekuwa mengi ila sijafanikiwa kuona mtu anatuwekea huo mkataba tajwa humu au kokote ukiachilia mbali ya amakubaliano ya awali. Kwa aliyenao ingependeza akaupandisha hapa ili tuanzne uchambuzi wa kweli kweli
  9. J

    JamiiForums Tanzania Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

    SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu. ============== Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya...
  10. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mkataba huu utamomonyoa 'sovereignty' ya Tanzania

    Usuli Mheshimiwa Rais Samia, Tanzania kama Taifa huru linayo haki ya kutowajibika kwa Taifa jingine lolote duniani, na haki hii ndiyo inaitwa "sovereignty" kwa Kiingereza. Hivyo, katika maneno 700 pekee, najadili Mapatano kati ya Serikali za Tanzania na Dubai kwa kugusia yafuatayo: utangulizi...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ili kuokoa Bandari yetu isitekwe na Dubai, tuanzie hapa

    Kuna kila dalili kuwa maamuzi ya kutoa sadaka Bandari yetu yalishafanyika kwa mujibu wa maelezo ya Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa kupitia BBC kwa madai "hatuna fedha Trilioni 4 kujenga gati Mpya 9" hivyo Waarabu wa Dubai wanazo fedha. Chambuzi nyingi zimeshafanyika lakini Kuna danganya toto...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika. Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
  13. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge wa kamati ya miundombinu waliotembelea Dubai wote walikabidhiwa nyumba

    Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao. Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX...
  14. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  15. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Dkt. Chamliho alitenguliwa Ujenzi ili Prof. Mbarawa akarahisishe ya Dubai Port?

    Sasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dkt. Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu. Duru zinadai Dkt. Chamliho alivimbisha shingo kwa kumkatalia bi tozo kuhusu mkataba ule mwanzoni kabisa kuwa haufahi na...
  16. Alex Fredrick

    JamiiForums Tanzania Waraka Mfupi Kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Awali ya yote natumai umzima wa Afya popote ulipo Rais pia nikupe pole Kwa majukumu ya kulitumikia Taifa hili letu pendwa ambalo lina changamoto lukuki! Rais naomba niende moja Kwa moja kwenye hoja ambayo imezua maswali pasi na majibu siku mbili hizi juu ya mjadala "Tata' kuhusu Serikali yetu...
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kutoa Msimamo wa CHADEMA kuhusu Sakata la Bandari ya Dar es Salaam, leo Juni 7, 2023

    Baada ya mashauriano ya viongozi waku waliopo safarini nje ya nchi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Makamu Mwenvekiti Bara Mheshimiwa Tundu Lissu a Katibu Mkuu Mheshimiwa John Mnyika kwamba, kwa sababu ya unyeti na uharaka wa suala hili la makubaliano kati ya Tanzania na...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

    MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII" Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari? Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa. Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana...
  19. NjavikeSoftcom

    JamiiForums Tanzania Biashara ya “Second hand Phones” kutoka Dubai / Europe

    Habari wakuu, Najaribu kutafuta biashara salama ya kufanya ambayo itanipa Mzunguko Mzuri. Nimefikiria kuhusu biashara ya used simu kutoka Dubai / Europe , changamoto ni sina experience na sijui naanzia Wapi . Nahitaji Msaada kujua soko likoje na upatikanaji wa bidhaa zake ! Au kama kuna...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used kutoka Dubai

    Habari Ndugu Zangu Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo. 1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai 2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji) 3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
Back
Top Bottom