dubai

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hayati Lyatonga Mrema angetuambia ukweli juu ya waliohongwa huko Dubai. Alikuwa super spy Mzalendo wa kweli

    Ushahidi wa kimazingira. Circumstantial evidence ni kuwa huu mkataba mbovu kuna watu wamekula rushwa. Taifa letu linahitaji mashushushu kama hayati Lyatonda Mrema. Leo hii tungejua kila mtu namna alivyohongwa na kuisaliti Tanganyika.
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

    Baada ya China Kughairi kutoa pesa ya mkopo kujenga reli ya kulinganisha Nchi za Kenya,Uganda na DRC ,UAE Kupitia Dubai wamesema wako tayari kutoa Trilioni 15 kujenga reli hiyo Kwa Sharti kwamba wapewe share kubwa ya uendeshaji wa Bandari ya Mombasa. Haijajulikana kama Serikali ya Kenya...
  3. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Tatizo la bandari ya Dar ni ufisadi uliokubuhu. Dubai hawana tatizo hili, sasa IGA inakujaje? Hata HGAs ni batili

    Hauhitaji kuwa mwanasheria kufahamu maana na dhana ya haya maneno ya IGA na HGA. Makubaliano ya taifa moja na taifa moja jingine au zaidi yenye nguvu za kisheria (legal binding), yanayohusu kushirikiana kutatua matatizo fulani yanayozikumba nchi zote husika yanaitwa Treaty. Maneno mengine...
  4. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

    Mda huu nakuandika habari hii saa 23:56 Dar Es Salaam! Radar zinaonyesha ndege ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliondoka nchini Tanzania saa 15:56 ila ilipotezwa kwenye radar dakika kadhaa baada kuruka! Muda huu naleta taarifa hii ndege ya Rais imeonekana kutua tena Dubai. Je...
  5. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji Mwanasheria au Waziri kutuambia kuwa Dubai sio State

    Ndiyo huitaji mwanasheria wala Waziri kukupa maelekezo kibao kukuaminisha kuwa eti Dubai ni state kama ilivyowekwa kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai. Nenda google tu andika "Dubai is a state?" Utajibiwa vizuri tu ila chakushangaza wanasheria wetu waliotumwa huko Dubai kwenda kutuwakilisha...
  6. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tutafakari pamoja: Kwa nini Dubai wanalazimisha mfumo wa mikataba unaojumuisha IGA na HGA wakati miradi yote itatekelezwa nchini Tanzania?

    Mchoro wenye kuonyesha: Mtindo wa Mikataba ya Kimataifa Unaotumiwa na Dubai (The Dubai BIT Model) wenye sura ya piramidi la mikataba ifuatayo: (1) Inter-Governmental Agreement (IGA), ambacho ni kitako cha piramidi; (2) Host Governmental Agreement(HGA) ; (3) Project-level Lease Agreement (PLA)...
  7. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Kwa nini DP World ya Dubai wako kimya kweye hili suala la mkataba?

    Nimekuwa najiuliza hili swali lakini bado sijapata majibu. Huu mkataba ni baina ya sehemu mbili, The said Tanzania na DP World ya Dubai. Huku Tanzania viongozi wa nchi na CCM wanajitahidi kutotoa ukweli kuhusu huu mkataba, na wameshajiwekea uadui mkubwa na watu wanao oji uhalali wa mkataba...
  8. Imalamawazo

    JamiiForums Tanzania John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

    Akihutumia maelfu ya wananchi wa Muleba 29.07.2023, mh Heche amesema Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na DP world hadi vijiweni. My take: Ngoma inazidi kuwa tamu. Hakuna neno litakalo baki limestirika. Wanabaki uchi wa mnyama.
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya Bandari na DP World, SGR imeanza kuwanyima usingizi CCM

    Mkataba wa usimamizi wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya Dubai unampa Rais Samia Suluhu na Chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukosa usingizi usiku huku upinzani ukiendeleza kampeni za kuibua hisia za kisiasa. Na kabla ya mzunguko ujao wa uchaguzi utakaoanza mwaka ujao, Rais ambaye...
  10. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

    Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia! Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA. Chuma hiki hapa kimeonekana kimetua Oman jana...
  11. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Mkataba kati ya Tanzania na DP World ya Dubai na Uchaguzi 2025

    Heshima kwenu wana JF. Nimekuwa natafakari sana kwa muda sasa juu ya huu mkataba, kuna pande kama tatu hivi zinazozingana. 1: Kuna upande unaodai kuwa huu mkataba una madhaifu fulani hivyo hautakuwa na manufaa kwa taifa, na wameonesha baadhi ya vifungu vyenye makosa. 2: Kuna upande ambao...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi: Montevideo Convention na Vienna laws to Treaty hairuhusu Dubai kuingia mkataba na nchi yoyote

    "Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,la kwanza,mpuuzi na mpumbavu tutamkabili kwa upuuzi na upumbavu wake" Wakili Boniface Mwabukusi. "Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,kumekuwa na tabia ya kubadili upumbavu kuwa hekima,na unapoongea...
  13. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Fifteen dirty tricks being used by Dubai Investors to divide and rule Tanzania

    DP A Video Clip for DP World Foundation from Dubai Handing Over 'Futari ' Gifts to Mbeya Muslims in Tanzania I. Abstract Based on a rich history of treaty making in the world for the past 2000 years, we argue that, the following are the fifteen dirty tricks which were used to get the...
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania A Letter to President Samia Suluhu Hassan: Five reasons explaining why Tanzania has been sold to the Dubai

    POLITICAL INTELLIGENCE MEMORANDUM FROM; Mama Amon Desk TO; Samia Suluhu Hassan, The President of Tanzania RE: Five reasons explaining why the Republic of Tanzania has been sold to the Dubai Monarchy WORD COUNT: 1300 Words DATE: 22 July 2023 Dear President Samia , The President of Tanzania...
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Picha: Jamaa Dubai ghafla akutana na Mfalme ndani ya lift

  16. comte

    JamiiForums Tanzania Wanasheria mnaosema Dubai au DP World wanaweza kutushtaki kwa kukiuka IGA mnapotosha na kujiabisha

    Baadhi ya wanasheria wanasema tujitoe kwenye IGA kwa sababu tukishindwa kutekeleza tunaweza kushitakiwa. Mwanazuoni huyu anakataa- soma:- Intergovernmental agreements Authors: Daryl R Williams Abstract Intergovernmental agreements are made by a variety of parties and in differing ways, take a...
  17. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kenya Quashes Port Deal with Dubai Firm DP World: "There's No Such Proposal"

    Wajanja walikutana na wajanja wenzao... In 2021 Kenya turned to port operator Dubai Port World (DP World) to manage Lamu Port due to a lack of capacity at the state-run Kenya Ports Authority. It was then alleged that... Kenya signed a deal with the Dubai government to allow Dubai Port (DP)...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar tuachane na Dubai tuwape Wachina

    Ukitazama kitu ambacho Dubai wanafanya ni mtego ambao umbumbu wa waafrika tunashindwa kukiona. Hoja siyo kuleta mwekezaji bali umlete nani na kwa maslahi gani yanayotoka wai. Dubai wamekamata bandari zote kwenye ukanda wa mashariki mwa Afrika, kuanzia embe ya Afrika huko Djibout maka kusini...
  19. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Aliyeelewa Mkurugenzi wa DP World kusaini mkataba wa nchi ya Dubai na Tanzania anieleweshe

    Moja ya jambo ambalo linafikirisha katika IGA ya Tanzania na Dubai ni sehemu ya watia sahihi! Upande wa Serikali ya Dubai amesaini Mkurugenzi wa Bandari! Yani huu ni mkataba wa nchi na nchi anakuja kusaini Mkurugenz wa Bandari kwa niaba ya nchi yake? Mawaziri, na makatibu wakuu hamna huko...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

    Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—. .
Back
Top Bottom