dr magufuli

Hamisi Andrea Kigwangalla (born 7 August 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Nzega constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. I am Groot

    Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

    Makonda katika sherehe za kuipokea ndege mpya ya ATCL (BOEING 737-9 MAX) jijini Dar; amekemea tabia inayoonekana kuanza kukua na kukomaa kwa baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ngazi mbalimbali ya kujaribu kutenganisha mafanikio yanayoendelea kutokea chini ya Rais Samia na kipindi cha awamu ya...
  2. B

    Hayati Dr Magufuli Alipiga Stop Vyeo vya Watoto UVCCM, alijua ni mbinu za Undugunisation

    Ktk kile kinachodaiwa kuwa ni Uzalendo ndani ya Chama cha Mapinduzi Dr Magufuli( R.I.P) alikomesha na kuonya Tabia ya kurundika watoto wadogo kwenye vyama na kuwanyima haki yao ya Kusoma na kufanya mambo yao ya Utotoni. Dr Magufuli alijua hizo ni mbinu za Vigogo( mafisadi) kupenyeza watoto wao...
  3. B

    Jinsi Tundu Lissu alivyofanana sana na Hayati Magufuli

    Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa. Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa. Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita. Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli...
  4. B

    Vyama vya Upinzani vilimtoa Jasho Hayati Magufuli. Je, upinzani ndani ya CCM, Serikali na Vyama vya Upinzani Rais Samia atauweza?

    Ni wazo tu. Tujaribu kuwaza kwa pamoja kwenye siasa za Tanzania. Rais Dkt. Samia ni Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambapo kwa mujibu wa Katiba Yao wanasema Rais akianA awamu ya kwanza sharti apewe nafasi kuendelea na kipindi cha Pili. Lakini wenye macho na masikio tumeona kuna vugu vugu la...
  5. Erythrocyte

    Hayati Magufuli alifanikiwa kutengeneza kundi lililomuamini na kumtii mithili ya wafia Dini

    Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi, lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni, yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni, kwamba angalau pamoja na kuiba kura, angalau viongozi wa ccm...
Back
Top Bottom