Msaada wa maelekezo kwa wakazi wa Dodoma

Kaluluma

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
454
584
Wasalaam wakuu,

Naomba mwenye kufahamu jinsi ya kufika Kizota ukitokea Sabasaba Stendi au Nyerere Square, natanguliza shukrani🙏
 
Kama upo Sabasaba panda daladala za Nkuhungu zinapita Kizota, au bodaboda haiwezi zidi buku mbili
 
Nadhani umeshafika. Kama ukipotea rudi barabara kuu upande daladala zikushushe palepale 77 ulipoanzia
 
Back
Top Bottom