Wakati CCM kushirikiana na magereza na polisi kupandisha bendera Dodoma, jeshi la polisi Same washusha bendera za CHADEMA

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Hapa makada watiifu wa CCM Same wakishusha bendela za CHADEMA ambao wana kikao cha ndani kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Bendera.jpg
 
CCM inajua kuwapoteza maboya sana,sasa mada zitakuwa hizi rasmi.
 
Tunasubiri wafanye hivi mkoa flani hivi, kitakachofuata maiti zitaokotwa asubuhi, maana za kwao wanaweka ulinzi usiku, ulinzi wa bunduki! Pesa za walipakodi wa Danganyika
 
Back
Top Bottom