Uchaguzi 2020 Je, mchujo wa washindi wa kura za maoni CCM kugubikwa na sintofahamu nyingi?

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,640
20,366
Tumemsikia mwenyekiti wa CCM Kinondoni akisema majina yote yanakwenda Dodoma na watawachunguza washindi wa kura za maoni kuhoji ushindi wao wameupataje pataje?

Kwa maana nyingine wanatumia vyote vya uchunguzi kupata taarifa, kwa maana hiyo mshindi wa kwanza ikitokea akawa na chuki na wachunguzi au wachunguzi wakiwa na mahusiano na walioshindwa ni lazima watamhujumu mshindi wa kwanza.

Huu ni mfumo wa hovyo na unaweza kupelekea uwepo wa Rushwa kwa washindi kuhitaji taarifa zao ziwe safi pia unaweza kusababisha CCM kuchuja watu safi na kuleta magarasa kwa kisingizio cha uchunguzi wao usio na tija, nini maana ya kura ya maoni? TAKUKURU walikuwepo ni kwa nini hawakumaliza kila kitu huko chini?

Kitendo cha kwenda kumkata mshindi kisha kumleta mtu wa nne au tano ni kuwanyima fursa, kuwakejeli wapiga kura na hapo ndipo upinzani hutumia vizuri madhaifu ya CCM.
 
Mtu kashinda kura za maoni mnaanza uchunguzi kisa Mwakyembe kashindwa au kisa Bashite kashindwa alafu mnambakia tuhuma mshindi wa kwanza jina likatwe huo ni mfumo wa hovyo kupata kutokea, kama kuna watu mliwatuma kuchunguza ni bora hao mlowatuma wawe wanatumwa mapema kusaka wagombea ili mtu akigombea awe anakubalika kuliko kupiga kura za maoni mshindi kwenda kukatwa Dodoma, huo mfumo umepitwa na wakati CCM amkeni.
 
Kama hamujui ni vyema mkauliza! You utaratibu sio mpya na hupo miaka yote ndani ya CCM, chaajabu umetolea mfano eti Kama wanachuku nawewe!! Yani jamati nzima imchukie mtu mmoja tu?

Ile ni kamati ya usalama na maadili ya chama hiyo ndio inatoa recommendation kuwa huyu alishinda ila aligawa rushwa hivo amekiuka maadili ya chama.
 
Mtu kashinda kura za maoni mnaanza uchunguzi kisa Mwakyembe kashindwa au kisa Bashite kashindwa alafu mnambakia tuhuma mshindi wa kwanza jina likatwe huo ni mfumo wa hovyo kupata kutokea, kama kuna watu mliwatuma kuchunguza ni bora hao mlowatuma wawe wanatumwa mapema kusaka wagombea ili mtu akigombea awe anakubalika kuliko kupiga kura za maoni mshindi kwenda kukatwa Dodoma, huo mfumo umepitwa na wakati CCM amkeni.
Hujui lolote banah kaa kando
 
Kama hamujui ni vyema mkauliza! You utaratibu sio mpya na hupo miaka yote ndani ya CCM, chaajabu umetolea mfano eti Kama wanachuku nawewe!! Yani jamati nzima imchukie mtu mmoja tu? Ile ni kamati ya usalama na maadili ya chama hiyo ndio inatoa recommendation kuwa huyu alishinda ila aligawa rushwa hivo amekiuka maadili ya chama.
Hivi CCM kuna mtu ambae hua hatoi rushwa kwny kampeni zake?
 
Hivi CCM kuna mtu ambae hua hatoi rushwa kwny kampeni zake?
Mwenyekiti wa Kinondoni kasema eti wataenda kuhoji mshindi kapata pataje ushindi? huyo ni mfumo wa hovyo waliweka Takukuru wa nini sasa kama kuna uchunguzi mwingine hufuata?
 
Kama hamujui ni vyema mkauliza! You utaratibu sio mpya na hupo miaka yote ndani ya CCM, chaajabu umetolea mfano eti Kama wanachuku nawewe!! Yani jamati nzima imchukie mtu mmoja tu? Ile ni kamati ya usalama na maadili ya chama hiyo ndio inatoa recommendation kuwa huyu alishinda ila aligawa rushwa hivo amekiuka maadili ya chama.
Waanze na mwenyekiti wao maana manunuzi ya wabunge wa upinzani ni doa kwake.
 
Kuwakata wagombea waliopitishwa na wingi wa watu kutawakatisha tamaa na kuwaudhi sana wananchi. Huyu mutu hatakiwi kabisa kyela. Watu walifanya mpaka sherehe za kunywa pombe mpaka asubuhi kushindwa kwa huyu mutu. Kwanza tu kejeri anazowatukana wananchi zimewakera sana.
 
Kamati kuu ndiyo kitu gan kwani? Ni Halmashauri kuu na Halmashauri kuu haikurupuki tu kuukataa mtu ila Kamati ya Usalama na Maadili ya chama ndiyo inatoa recomandition kuwa huyu mtu awekwe kando kutokana na hayahaya na haya huku ikiambatanisha na ushahidi.
Ushahidi waweza kupikwa vilevile, mfano mshindi wa nne akaamua kumkomoa mshindi wa kwanza lazima atapika Majungu fitna ili wakose wote , waliopo huko Dodoma wana chaguo lao moyoni pia huo mfumo yafaa utizamwe upya
 
Kama hamujui ni vyema mkauliza! You utaratibu sio mpya na hupo miaka yote ndani ya CCM, chaajabu umetolea mfano eti Kama wanachuku nawewe!! Yani jamati nzima imchukie mtu mmoja tu? Ile ni kamati ya usalama na maadili ya chama hiyo ndio inatoa recommendation kuwa huyu alishinda ila aligawa rushwa hivo amekiuka maadili ya chama.
Ikitokea mgombea mshindi ana chuki binafsi na wajumbe wa kamati ya maadili ni lazima watamhujumu huo mfumo wenu utizamwe upya.
 
Huko Dodoma wengine wana ndugu marafiki zao ambao wameshindwa kwenye kura za msoni ni lazima watafanya mbinu wawakomoe wale waliowashinda jamaa zao, huo mfumo utizamwe upya.
 
Kuwakata wagombea waliopitishwa na wingi wa watu kutawakatisha tamaa na kuwaudhi sana wananchi. Huyu mutu hatakiwi kabisa kyela. Watu walifanya mpaka sherehe za kunywa pombe mpaka asubuhi kushindwa kwa huyu mutu. Kwanza tu kejeri anazowatukana wananchi zimewakera sana.
INATEGEMEA AMEAMKAJE siku hio.
 
Huko Dodoma wengine wana ndugu marafiki zao ambao wameshindwa kwenye kura za msoni ni lazima watafanya mbinu wawakomoe wale waliowashinda jamaa zao, huo mfumo utizamwe upya.
CCM inawenyewe na wenyewe ni hao huko Dodoma
 
Akili za mwenyekiti wao tuu unajua kabisa hapa kuna walakini.Nanukuu alisema kumchagua mtu ni kutokana hiyo siku atavyoamka.
 
Back
Top Bottom