Makonda: Mkapa hakuwa mbaguzi alinichangia fedha kwenda Dodoma kuanza safari yangu ya Siasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,858
141,793
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dsm ndugu Paul Makonda amefika nyumbani kwa mzee Mkapa rip na kusaini kitabu cha maombolezo.

Makonda amemuelezea mzee Mkapa kama mtu aliyeuchukia ubaguzi na akatoa ushuhuda wa yeye kupewa fedha na Mkapa wakati anaanza safari yake ya kisiasa.

Makonda anasema mzee Mkapa alifurahishwa sana na uchapa kazi wake uliopelekea kuwa mkuu wa mkoa unaoongoza kiuchumi Tanzania wa Dar es salaam.

Rip mzee Mkapa!
 
Back
Top Bottom