Mheshimiwa Tundu Lissu hivi kule Dodoma 'uliposhambuliwa' hukuweza 'Kumkariri' hata 'Muuaji' Mmoja pekee?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,615
2,000
"Namshukuru sana Rais aliponiamini na kuniteua kuwa Mkuu wa DSM, mpaka leo hii nakabidhi ofisi kwa RC mpya,...nitaamka hata saa tisa za usiku katika mapambano ya kumlinda Rais,..sio vizuri kumchezea Dkt. Magufuli mkahisi Makonda hatamtetea kwa kuwa hayuko kwenye kiti cha ukuu wa mkoa,..ingekuwa ni jeshini ningekuwa nina medani za kivita....ni askari mmoja aliyepo benchi la nyuma lakini mwenye uwezo mkubwa wa kupigana vita yoyote ile. Kwa hiyo Mh RC,.... Mambosasa na timu yenu mkihitaji uzoefu wangu katika mapambano ya kumlinda Dkt.John Pombe Magufuli, hata kama ni saa 9 usiku nitaamka...kwangu yeye ni zaidi ya cheo na ni baba".

Habari Star TV Tanzania

Kwa mbali sasa nami naanza Kuuona Moshi Mweupe kwa wale Wahusika Wakuu waliotuondolea Machoni Mwetu upesi akina Ben na hadi Azory pia.
 
HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,096
2,000
Kuhitajika usiku sio lazima umuombe RC na Mambosasa, mtaani kwako jiunge na kikundi cha Sungusungu utalazimika kumlinda vizuri.
Ila Bashite tunakuonya, wewe ni nyanya sana kiasi kamba huna uwezo hata wa kurusha ngumi 2, acha mzaha na watoto wa mjini we jamaa utachezea za uso. Kumbuka wewe ni mzurulaji tu kama sisi, Sasa jitie ufundi uingie anga zetu utajuta kuishi Dar badala ya Koromije.
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,128
2,000
"......akina Ben na Hadi Azory pia" . Kiswahili cha Bunda vijijini. FaizaFoxy njoo umfundishe Kiswahili huyu Jamaa wa mkoani
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
7,341
2,000
Kuhitajika usiku sio lazima umuombe RC na Mambosasa, mtaani kwako jiunge na kikundi cha Sungusungu utalazimika kumlinda vizuri.
Ila Bashite tunakuonya, wewe ni nyanya sana kiasi kamba huna uwezo hata wa kurusha ngumi 2, acha mzaha na watoto wa mjini we jamaa utachezea za uso. Kumbuka wewe ni mzurulaji tu kama sisi, Sasa jitie ufundi uingie anga zetu utajuta kuishi Dar badala ya Koromije.
Jiulize kwa nini uzi una kichwa cha habari kuhusu mtu mwingine ila uzi unamuongelea huyo nyanya na wengine wasiojulikana walipo.
 
Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
271
1,000
"Namshukuru sana Rais aliponiamini na kuniteua kuwa Mkuu wa DSM, mpaka leo hii nakabidhi ofisi kwa RC mpya,...nitaamka hata saa tisa za usiku katika mapambano ya kumlinda Rais,..sio vizuri kumchezea Dkt. Magufuli mkahisi Makonda hatamtetea kwa kuwa hayuko kwenye kiti cha ukuu wa mkoa,..ingekuwa ni jeshini ningekuwa nina medani za kivita....ni askari mmoja aliyepo benchi la nyuma lakini mwenye uwezo mkubwa wa kupigana vita yoyote ile. Kwa hiyo Mh RC,.... Mambosasa na timu yenu mkihitaji uzoefu wangu katika mapambano ya kumlinda Dkt.John Pombe Magufuli, hata kama ni saa 9 usiku nitaamka...kwangu yeye ni zaidi ya cheo na ni baba".

Habari Star TV Tanzania

Kwa mbali sasa nami naanza Kuuona Moshi Mweupe kwa wale Wahusika Wakuu waliotuondolea Machoni Mwetu upesi akina Ben na hadi Azory pia.
Mwishoni atajitaja maaana hapo ameanza kuweweseka, huyu ndio muuwaji Mkubwa na huko mbele atakuja kujuta wewe Subiria, umri wake lazima atakuja tu kuwajibishwa wewe vuta tu Subira, huyu ndio kawawua Ndugu zetu na ndio kamshambulia lisu huyu
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,819
2,000
Sauti ya njugu kuanzia tano unafikiri utakumbuka kitu, wapiga njugu unafikiri wanakuja tu kifalafala with open identity?
 
Sirdirashy

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
2,423
2,000
Mkuu una ushahidi na unayoyanena hebu funguka
Mwishoni atajitaja maaana hapo ameanza kuweweseka, huyu ndio muuwaji Mkubwa na huko mbele atakuja kujuta wewe Subiria, umri wake lazima atakuja tu kuwajibishwa wewe vuta tu Subira, huyu ndio kawawua Ndugu zetu na ndio kamshambulia lisu huyu
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
19,366
2,000
Ndani ya gari risasi zinamiminika kama mvua wala hajui zinakotoka aweze kukariri sura badala ya kuhangaika kujificha?
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
7,922
2,000
Kuhitajika usiku sio lazima umuombe RC na Mambosasa, mtaani kwako jiunge na kikundi cha Sungusungu utalazimika kumlinda vizuri.
Ila Bashite tunakuonya, wewe ni nyanya sana kiasi kamba huna uwezo hata wa kurusha ngumi 2, acha mzaha na watoto wa mjini we jamaa utachezea za uso. Kumbuka wewe ni mzurulaji tu kama sisi, Sasa jitie ufundi uingie anga zetu utajuta kuishi Dar badala ya Koromije.
Makonda anamiliki Bastola
Wewe unamiliki rungu jeusi
Halafu unajilinganisha nae.
 
Mcharo son

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
2,656
2,000
Kuhitajika usiku sio lazima umuombe RC na Mambosasa, mtaani kwako jiunge na kikundi cha Sungusungu utalazimika kumlinda vizuri.
Ila Bashite tunakuonya, wewe ni nyanya sana kiasi kamba huna uwezo hata wa kurusha ngumi 2, acha mzaha na watoto wa mjini we jamaa utachezea za uso. Kumbuka wewe ni mzurulaji tu kama sisi, Sasa jitie ufundi uingie anga zetu utajuta kuishi Dar badala ya Koromije.
kauli hizi ndio zilimpa cheo baada ya kusakamwa, HANA BUDI KUZILUDIA ATEULIWE TENA KAMA MBUNGE MTEULE!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom