HARRISON ONE
Member
- Jan 8, 2014
- 42
- 30
Awali ya yote, napenda niwapongeza TARURA kwa juhudi zao za kuimarisha barabara za mijini na vijijini, kazi ambayo wanaifanya vizuri pamoja na kuwa na bajeti ndogo.
Hivi karibuni nimefanikiwa kutembelea Makao Makuu ya nchi Dodoma na katika mizunguko yangu nimekutana na maeneo yenye hali mbaya ya barabara, mjini kabisa mita chache toka Makazi ya Mh. Waziri Mkuu mitaa ya nyuma ya Ofisi za UN Dodoma na kukutana na barabara ambazo hazileti picha nzuri kwa hasa tukizingatia Dodoma ni Makao Makuu ya nchi.
Natumai kwa picha hizi Wahusika walione na kulifanyia kazi kwa haraka.