Natafuta kazi Dodoma

Status
Not open for further replies.
Aug 23, 2021
54
87
Habarini wakuu,

Mimj kijana wa kiume, muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mkazi wa Dodoma mjini.

Natafuta kazi yoyote mjini Dodoma itayoweza nipatia mahitaji yangu ya msingi iwe ya taaluma au ya nguvu.

Nimeshindwa kutafuta internship maana sina mtu yoyote nnaemjua aneweza nisaidia nipate hata intern tu.

Naomba msaada wenu wakuu, mimi ni muaminifu na mchapakazi sana nipe kazi hata kwa week moja bure upime uaminifu wangu
 
Kila la kheri mkuu, ila angalau ungeweka professional yako ni IPI , maana hapo hawatajua wakeupe kazi ya kada IPI
 
Wagogo mbona kazi ya kuomba mnaimudu sana, njoo Dar nikupe chimbo la kuombaomba kwa siku hutakosa 50k
 
Wagogo mbona kazi ya kuomba mnaimudu sana, njoo Dar nikupe chimbo la kuombaomba
Boss ingekuwa nataka kuomba omba nsingekuja huku,hata wewe hapo ulipo kuna mtu alikupa msaaada binadamu tunasaidiana kwahiyo kuomba msaada wa kazi ni kosa hapa duniani?

Ukija kuanguka na huo utajiri wako hutaomba msaada?
 
Habarini wakuu
Mimj kijana wa kiume,muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mkazi wa Dodoma mjini.
Natafuta kazi yoyote mjini Dodoma itayoweza nipatia mahitaji yangu ya msingi iwe ya taaluma au ya nguvu.
Nimeshindwa kutafuta internship maana sina mtu yoyote nnaemjua aneweza nisaidia nipate hata intern tu.

Naomba msaada wenu wakuu, mimi ni muaminifu na mchapakazi sana nipe kazi hata kwa week moja bure upime uaminifu wangu
Fafanua vizuri taaluma yako, na ikiwezekana hata hizo kazi za kutumia nguvu weka preferences zako mfano je unataka kuuza duka au kubeba zege? Je unaweza kusukuma mkokoteni sokoni? Kuwa houseboy?...n.k.

Pia inapendeza wewe unayehitaji ndiye uweke mawasiliano yako kwa anayeamua kukusaidia anakupataje.
 
Kuuza duka la nguo au bidhaa nyingine, kubeba zege, kusimamia kazi, msaidizi wa kubeba vitu duka la jumla,kuuza vitu sokoni, kufanya kazi stationary, ukuzaji na uoteshaji mimea, plant breeding au animal breeding, mshauri mambo ya kilimo, mtu anayeweza nipa boda boda pia kwa kurudisha hela kila siku

Mawasiliano:0714597997
Location: Dodoma
 
Habarini wakuu,

Mimj kijana wa kiume, muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mkazi wa Dodoma mjini.

Natafuta kazi yoyote mjini Dodoma itayoweza nipatia mahitaji yangu ya msingi iwe ya taaluma au ya nguvu.

Nimeshindwa kutafuta internship maana sina mtu yoyote nnaemjua aneweza nisaidia nipate hata intern tu.

Naomba msaada wenu wakuu, mimi ni muaminifu na mchapakazi sana nipe kazi hata kwa week moja bure upime uaminifu wangu
Njoo nisaidie kuuza Kitimoto hapa njenya Royal Village Hotel
 
Habarini wakuu,

Mimj kijana wa kiume, muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mkazi wa Dodoma mjini.

Natafuta kazi yoyote mjini Dodoma itayoweza nipatia mahitaji yangu ya msingi iwe ya taaluma au ya nguvu.

Nimeshindwa kutafuta internship maana sina mtu yoyote nnaemjua aneweza nisaidia nipate hata intern tu.

Naomba msaada wenu wakuu, mimi ni muaminifu na mchapakazi sana nipe kazi hata kwa week moja bure upime uaminifu wangu
Umesoma kozi gani kwa level gani.
Halafu pia tuma maombi pccb nimeona TANGAZO humu
 
Kazi Utapata Hapa Hapa
Upo Chako Ni Chako, Swaswa, Mipango, Chadulu, Kikuyu, Kizota, Mji Mpya, Nkuhungu, Area A
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom