dodoma

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

    Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge. Wote...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa 25 Julai, 2022: Mashujaa wa TANU watano Dodoma - 1955

    MASHUJAA WA TANU WATANO DODOMA MWAKA WA 1955: TUNAWAKUMBUKA SIKU YA MASHUJAA DODOMA 2022 Siku chache zilizopita nilipokea picha hiyo hapo chini ya kwanza kutoka Maktaba ya Ally Sykes. Picha hii nilikuwanayo kwa miaka mingi lakini ubora wake ulikuwa hafifu. Nilipoipata picha hii yenye ubora wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Dodoma walalamika kupateliwa mafuta kikao cha RC Mtaka

    Kuna malalamiko makubwa kutoka kwa waendesha Bodaboda na Bajaji walioshiriki kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka kuhusiana na hamasa ya sensa lakini awali wakati wanajiandisha asubuhi waliahidiwa kupewa lita 2 za mafuta. Baada ya kumaliza mkutano baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Kumbukumbu ya Mashujaa Dodoma. Apendekeza Dodoma pajengwe mnara wenye hadhi ya makao Makuu ya nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2022 - Rais amewasili katika viwanja vya mashujaa Dodoma. - Gwaride la kumbukumbu ya siku ya Mashujaa limefanywa -...
  5. JamiiForums Tanzania Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?

    Moja kwa moja kwenye mada, Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu. Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au? Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mtaka atoa siku saba kwa wadanganyifu wa ardhi Dodoma

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (RC), Anthony Mtaka ametoa siku saba kwa wakazi wa Msalato waliojiorodhesha kudai fidia ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato kwa njia ya udanganyifu kufika ofisi za Serikali ya Mtaa kuondoa majina hayo kwa hiari. Mtaka ametoa agizo hilo Ijumaa Julai 22, 2022 wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Wawili wauawa Dodoma kwa Wivu wa Mapenzi

    Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno, amethibitisha kutokea kwa vifo vya Dominick Kagula aliyekuwa dereva bodaboda na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Esta baada ya kudaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali. Vifo hivyo vinadaiwa kutokea mtaa wa Msangalale...
  8. JamiiForums Tanzania IGP Wambura Awasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma

    Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP. CAMILLUS WAMBURA amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi baada ya kuapishwa Ikulu, Chamwino Dodoma.
  9. JamiiForums Tanzania DODOMA: Rais Samia kuunda Kamati Maalumu kufuatilia mwendo wa Majeshi yote nchini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuunda kamati ya watu 12 na sekretarieti ya watu watano kwa ajili ya kufuatilia utendaji kazi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo. Rais Samia ametangaza kuunda kamati hiyo Jumatano Juali 20, 2022 mara baada ya kumuapisha Camillus Wambura...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta ofisi ya kupangisha - Dodoma

    Habari Natafuta sehemu kwa ajili ya kufungua offisi Dodoma. - Offisi hio iwe mjini Dodoma au karibu na mjini kabisa Sehemu tulivu Offisi iwe near karibu na public transport itapendeza sana ikiwa kwenye haya majengo marefu - Budget ni 450k kwa mwezi Kwa yoyote ambaye anaweza kusaidia...
  11. JamiiForums Tanzania Marais wa Tanzania kujengewa Makumbusho Dodoma

    Serikali inakusudia kuanza ujenzi wa Makumbusho ya Marais katika Mji Mkuu wa Taifa letu, Dodoma. Akizungumzia hatua hiyo, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana amesema wapo Viongozi wengi walioihudumia Tanzania na Wizara imeona ni wakati mwafaka kuanza ujenzi. Kwa mujibu wa Waziri...
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa aagiza shule zote za Sekondari za Dodoma kufunga CCTV Camera

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ametoa wito kwa Shule zote za Sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kuhakikisha zinafunga CCTV Camera ili kusaidia kubaini watu wanaojihusisha na vitendo vya kiuhalifu katika maeneo ya Shule. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya...
  13. JamiiForums Tanzania Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

    Tupo katika msimu wa baridi kali, jana nilikuwa Dodoma kikazi, nikamaliza mambo yangu muda ukiwa umesonga sana nikaona busara ni kulala ili asubuhi na mapema nianze safari kurejea mkoani kwetu. Nilitafuta Lodge nzuri mitaa ya Makole nikafanikiwa kupata, nikajifungia ndani kwa muda nikaoga...
  14. JamiiForums Tanzania Battle: Kati ya Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga na Iringa

    Habari za mchana huu wapendwa, hope mko wazima na wenye afya tele., wagonjwa na wafiwa poleni sana, Mungu awape wepesi!! Mada husika👇🏾 Wengi wetu tunatambua majiji makubwa in Tanzania ni mawili tu (Only two cities) 👉🏽 (Dar es salaam and Mwanza) Swali!👇🏾 Kati ya Miji hii ifuatayo, ni mji upi...
  15. JamiiForums Tanzania Dodoma: Majina matatu ya wagombea wa nafasi ya Skauti Mkuu, yapitishwa

    Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa Chama cha Skauti Tanzania uliofanyika jijini Dodoma umepitisha majina matatu ya wagombea wa nafasi Skauti Mkuu ambayo yatawasilishwa kwa mlezi wa Chama hicho Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya uteuzi. Akitangaza matokeo...
  16. JamiiForums Tanzania Kweli ukitaka huduma Wizara ya Kazi lazima uende Dodoma?

    Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma? Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali. WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
  17. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Wako watu wanaofikiria Rais Samia hapendi Dodoma, wanamsingizia. Hana kusudio kurudisha makao makuu Dar

    Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilifanya maamuzi ya kuhamia Dodoma mwaka 1973 na sasa taasisi zote muhimu zinakamilisha ujenzi wa majengo yake Dodoma ikiwemo Ikulu na wizara zote zimetengewa bilioni 20. Simbachawene amesema zipo taasisi zinazosita kuhamia Dodoma na wako watu...
  18. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza nafasi 221 za ajira katika kada mbalimbali

    Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira. Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali. Wenye sifa nafasi hii. Hivi lilikuwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Jengo la ofisi za TAMISEMI jijini Dodoma laungua kwa moto

    Jengo la Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Dodoma linateketea kwa moto muda huu ambapo Jeshi la Zimamoto na Ukoaji linaendelea na juhudi za kuuzima. #MwananchiUpdates ======== Waziri wa Tamisemi, Innocent Bashungwa, akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga chuo kipya cha TEHAMA Dodoma

    Salaam Wakuu, Wizara ya Elimu imesema Tanzania itajenga Chuo Kikuu cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Dkt. Francis Michael Mkoani Dar es Salaam tarehe 19 Juni 2022 wakati wa kutiliana saini za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…