dodoma

  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Warudisha mahari ili kunusuru watoto wao

    MTENDAJI wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya, amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri wa miaka 14, wamekubali kurejesha fedha na mifugo waliyopokea kama mahari na kurudi na watoto wao nyumbani baada kugundua kuwa watoto wamekuwa wakiteseka...
  2. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma. Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za...
  3. Muha wa mjini

    JamiiForums Tanzania Walioitwa kwenye usaili wa askari magereza Dodoma

    Habari viongozi. Samahani sana ningependa kujua kama kuna mwanajamii forums yoyote alie itwa kwenye usaili Tujuane. Na Tuulizie kwa wale wazoefu wanaojua maswali yanayo patikana kwenye Usaili ni ya aina gani?
  4. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania LGTI Dodoma mnawasumbua Watanzania

    Yaani kama kuna Mtanzania anaweza kuomba Chuo LGITI Dodoma online ajitokeze hapa. Ukute Muda huu IT wa Chuo anasubiri Mshahara wakati hakuna kinachowezekana. Simu hawapokei, wanakosesha mapato serikali, yaani shida tupu. Hii nchi inakuwa na vijana wa hovyo sana.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

    Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge. Wote...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa 25 Julai, 2022: Mashujaa wa TANU watano Dodoma - 1955

    MASHUJAA WA TANU WATANO DODOMA MWAKA WA 1955: TUNAWAKUMBUKA SIKU YA MASHUJAA DODOMA 2022 Siku chache zilizopita nilipokea picha hiyo hapo chini ya kwanza kutoka Maktaba ya Ally Sykes. Picha hii nilikuwanayo kwa miaka mingi lakini ubora wake ulikuwa hafifu. Nilipoipata picha hii yenye ubora wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Dodoma walalamika kupateliwa mafuta kikao cha RC Mtaka

    Kuna malalamiko makubwa kutoka kwa waendesha Bodaboda na Bajaji walioshiriki kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka kuhusiana na hamasa ya sensa lakini awali wakati wanajiandisha asubuhi waliahidiwa kupewa lita 2 za mafuta. Baada ya kumaliza mkutano baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Kumbukumbu ya Mashujaa Dodoma. Apendekeza Dodoma pajengwe mnara wenye hadhi ya makao Makuu ya nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2022 - Rais amewasili katika viwanja vya mashujaa Dodoma. - Gwaride la kumbukumbu ya siku ya Mashujaa limefanywa -...
  9. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?

    Moja kwa moja kwenye mada, Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu. Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au? Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mtaka atoa siku saba kwa wadanganyifu wa ardhi Dodoma

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (RC), Anthony Mtaka ametoa siku saba kwa wakazi wa Msalato waliojiorodhesha kudai fidia ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato kwa njia ya udanganyifu kufika ofisi za Serikali ya Mtaa kuondoa majina hayo kwa hiari. Mtaka ametoa agizo hilo Ijumaa Julai 22, 2022 wakati...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wawili wauawa Dodoma kwa Wivu wa Mapenzi

    Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno, amethibitisha kutokea kwa vifo vya Dominick Kagula aliyekuwa dereva bodaboda na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Esta baada ya kudaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali. Vifo hivyo vinadaiwa kutokea mtaa wa Msangalale...
  12. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura Awasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma

    Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP. CAMILLUS WAMBURA amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi baada ya kuapishwa Ikulu, Chamwino Dodoma.
  13. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Rais Samia kuunda Kamati Maalumu kufuatilia mwendo wa Majeshi yote nchini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuunda kamati ya watu 12 na sekretarieti ya watu watano kwa ajili ya kufuatilia utendaji kazi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo. Rais Samia ametangaza kuunda kamati hiyo Jumatano Juali 20, 2022 mara baada ya kumuapisha Camillus Wambura...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta ofisi ya kupangisha - Dodoma

    Habari Natafuta sehemu kwa ajili ya kufungua offisi Dodoma. - Offisi hio iwe mjini Dodoma au karibu na mjini kabisa Sehemu tulivu Offisi iwe near karibu na public transport itapendeza sana ikiwa kwenye haya majengo marefu - Budget ni 450k kwa mwezi Kwa yoyote ambaye anaweza kusaidia...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Marais wa Tanzania kujengewa Makumbusho Dodoma

    Serikali inakusudia kuanza ujenzi wa Makumbusho ya Marais katika Mji Mkuu wa Taifa letu, Dodoma. Akizungumzia hatua hiyo, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana amesema wapo Viongozi wengi walioihudumia Tanzania na Wizara imeona ni wakati mwafaka kuanza ujenzi. Kwa mujibu wa Waziri...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa aagiza shule zote za Sekondari za Dodoma kufunga CCTV Camera

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ametoa wito kwa Shule zote za Sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kuhakikisha zinafunga CCTV Camera ili kusaidia kubaini watu wanaojihusisha na vitendo vya kiuhalifu katika maeneo ya Shule. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya...
  17. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

    Tupo katika msimu wa baridi kali, jana nilikuwa Dodoma kikazi, nikamaliza mambo yangu muda ukiwa umesonga sana nikaona busara ni kulala ili asubuhi na mapema nianze safari kurejea mkoani kwetu. Nilitafuta Lodge nzuri mitaa ya Makole nikafanikiwa kupata, nikajifungia ndani kwa muda nikaoga...
  18. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Battle: Kati ya Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga na Iringa

    Habari za mchana huu wapendwa, hope mko wazima na wenye afya tele., wagonjwa na wafiwa poleni sana, Mungu awape wepesi!! Mada husika👇🏾 Wengi wetu tunatambua majiji makubwa in Tanzania ni mawili tu (Only two cities) 👉🏽 (Dar es salaam and Mwanza) Swali!👇🏾 Kati ya Miji hii ifuatayo, ni mji upi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Majina matatu ya wagombea wa nafasi ya Skauti Mkuu, yapitishwa

    Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa Chama cha Skauti Tanzania uliofanyika jijini Dodoma umepitisha majina matatu ya wagombea wa nafasi Skauti Mkuu ambayo yatawasilishwa kwa mlezi wa Chama hicho Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya uteuzi. Akitangaza matokeo...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kweli ukitaka huduma Wizara ya Kazi lazima uende Dodoma?

    Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma? Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali. WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
Back
Top Bottom