Ditopile afuturisha Dodoma, wamuombea Rais Samia

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
320
412
Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameaandaa Iftari na Dua Maalum ya Watoto Yatima na Wajane kuiombea Nchi na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Hafla hiyo ya Iftari imefanyika katika Hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma ambapo Mgeni wa Heshima alikua ni Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Mustafa Rajabu ambaye aliambata na viongozi mbalimbali akiwemo Naibu Waziri wa Kilimo na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Antony Mavunde na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini David Kihenzile.

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe Mariam Ditopile anaendelea kuwatakia Waislamu wote nchini Ramadhani njema.
 

Attachments

  • IMG-20230328-WA0018.jpg
    IMG-20230328-WA0018.jpg
    83.8 KB · Views: 2
  • IMG-20230328-WA0013.jpg
    IMG-20230328-WA0013.jpg
    132.8 KB · Views: 2
  • IMG-20230328-WA0014.jpg
    IMG-20230328-WA0014.jpg
    76.4 KB · Views: 2
  • IMG-20230328-WA0015.jpg
    IMG-20230328-WA0015.jpg
    71.8 KB · Views: 2
  • IMG-20230328-WA0017.jpg
    IMG-20230328-WA0017.jpg
    72.9 KB · Views: 2
  • IMG-20230328-WA0016.jpg
    IMG-20230328-WA0016.jpg
    76.4 KB · Views: 2
  • IMG-20230328-WA0009.jpg
    IMG-20230328-WA0009.jpg
    88.5 KB · Views: 2
  • IMG-20230328-WA0008.jpg
    IMG-20230328-WA0008.jpg
    75.6 KB · Views: 2
  • IMG-20230328-WA0010.jpg
    IMG-20230328-WA0010.jpg
    85.3 KB · Views: 1
  • IMG-20230328-WA0011.jpg
    IMG-20230328-WA0011.jpg
    136.9 KB · Views: 1
  • IMG-20230328-WA0012.jpg
    IMG-20230328-WA0012.jpg
    72.9 KB · Views: 2
Mama awe makini na chawa, yatamkuta ya mwendazake kutoswa. Hawa chawa wote uangalia tumbo, wanachopenda cha mama ni madaraka yake tu
 
Yaani badala ajiombee dua yeye na watoto wake anamuombea samia, wakati samia hawezi kumuombea dua yeye. Atajiombea yeye na familia yake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom