Vibaka kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
Naandika thread hii kwa huzuni Sana.

Leo Alfajiri nimeamka katika Mji wa Dodoma.

Nilipofika kituo Kikuu cha Mabasi kabla sijaingia getini nimeshuhudia kundi la Vijana wakivamia abiria wanaotembea kwa miguu au abiria wanaoshuka Kwenye daladala na kuingia kituoni kwa miguu.

Mamlaka za usimamizi wa Usalama Dodoma zifanyie kazi kadhia hii.
 
Watakuwa ni wapiga debe bila shaka. Wameanza kuwaiga wale wapiga debe wenzao wa stendi ya Msamvu Morogoro.
 
Back
Top Bottom