Rais Samia: Serikali Itajenga Viwanja 2 vya Mpira wa Miguu Dodoma na Arusha kabla ya AfCoN 2027

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,100
49,795
Akihutubia kama mgeni Rasmi siku ya Simba Day, Rais Dk. Samia amesema Serikali yake Itajenga Viwanja vya Mpira wa Miguu vipya 2 kwenye Miji ya Arusha na Dodoma Ili kujiandaa na kuwa mwennyeji wa AfCoN 2027.

Rais Samia amesema viwanja hivyo vitakuwa na uwezo wa kuchukua Watazamani elfu 30,000 Kila Kimoja.


My Take: Ni jambo zuri na Jema na la kupongezwa ila binafsi ningependelea ijengwe Sports Complex Moja Dodoma yenye uwezo wa watazamaji 50,000 lakini ikiwa na viwanja vingine vya michezo mbalimbali kama arena, kuogelea, mbio,viwanja vya mazoezi nk.

Kwa Arusha kijengwe Kimoja tuu Cha kizuri Cha watazamaji 30,000

View: https://www.instagram.com/p/CxsvKhPoVET/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Wavijenge viwe vya kisasa kweli sio vya mchongo
Renders
Arusha 👇
Screenshots_2023-08-28-22-06-22.png
Screenshots_2023-08-28-22-06-29.png


Dodoma 👇
Screenshot_20230927-172135_1.jpg
 
Kwa gharama za Sasa za ujenzi hapo unatakiwa kuwa na takribani Bilioni 400 Sasa kama Rais anaficha Bilioni 💯 nyumbani kwake huku nyie mkitakiwa kuwa.Wazalendo unadhani itakuaje?
Unataka kusema mzilankende alikuwa anatuhubiria uzalendo wakati kwenye moja vya vyumba kuna MARUNDO ya noti?
 
Tunataka viwanja vya michezo yote ili watoto na vijana washiriki kwenye michuano ya kitaifa
Mpira sawa ila uwezo hamna kabisa, hivi kuna wangapi wanacheza kimataifa

Sasa uwanja wa mpira peke yake wa nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom