luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Kitendo cha uongozi wa Jiji la Dodoma kukataza mabasi yenye ofisi eneo la CBE kutopakia abiria eneo lile hakika huku ni kuumiza na kutesa wageni natoa sababu zangu ambazo kimsingi ni za kiubinadamu tu.
Unakuta mtu amefikia Lodge za hayo maeneo ya CBE au pale mitaa ya Chaduru (mkabala na Morena Hotel) then unakuta mtu ana paswa kusafiri alfajiri ya saa kumi na moja ndio basi lina toka stand ya 8 8, so huyu mtu ili awahi basi yampasa atoke saa kumi ivi alfajiri ...kwa hiyo midaa jiji la dodoma hakuna daladala wa teksi ni bodaboda tu.
Sasa charges wanazo charge bodaboda wa dodoma yaan ni kukomoa assume unatoka CBE to 88 stand unalipia 7000 Tsh ... This is unfair uongozi wa jiji la Dodoma Tazameni upya hili suala.
Isionekane kuja Dodoma ni Kuja kufujisha Pesa as if watu wote ni matajiri .other wise andaaeni vi coaster ambavyo vitakiwa vinawachukua abiria toka CBD kuelekea Stand.