dini

  1. jo5

    Dini na mahusiano

    Wakuu habari, Kiukweli issue ya dini tofauti katika mahusiano inatesa sana, usiombe ikukute. Huyu mwanamke ameamua kubadili dini na kuwa mlokole wakati tulikuwa Catholic wote, saizi muda wote fireeee, fireeeee, fireeee.😬😬😬 Kazi hataki kufanya kazi kushinda kanisani, yaani hata akiona mjusi tu...
  2. Mung Chris

    Udhaifu wa miili ya viongozi wa dini wasio ruhusiwa kuoa je vinahusiana na magonjwa

    Wadau naomba mnijuze, je wadhifa wa mtu unaweza kumfanya achoke mapema na kuanza kujisikia kuumwa sana hadi kufikia kuachia kiti. utakuta kiongozi wa dini haruhusiwi kuoa ila anapofikia umri wa 80 bas anakuwa mgonjwa na magonjwa makubwa ambayo humfanya aachie ngazi kuendelea na majukumu. Sisi...
  3. mdukuzi

    Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

    Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya. Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
  4. MK254

    Al Shabaab walipua mabomu Somalia na kuua 19 na kujeruhi 52

    Al Shabaab wamelipua mabomu Somalia hakukaliki. Nineteen people have been killed in twin car bombings in central Somalia claimed by Al-Shabaab, a local militia commander in the Hiran region said. Two cars packed with explosives were simultaneously detonated in Mahas, a town in Hiran where a...
  5. Fbn

    Kama Dini zimegundua sayansi mbona sijaona mpaka leo mlichozindua zaidi ya kukata mwanadamu na vya Duniani?

    Nakasirika sana unasikia mtu ana kwambi sijui dini imegundua sayansi tena hawa ndugu zangu ndio kabisa ana kwambia sijui wanasayansi wanakopy kupitia kitabu kilichoshushwaz " hata ukiwauliza kilishushwaje kimya". Vitu vyote mnavyo tumia leo mnawaita makafiri !. kumbukeni teknolojia ilitoka kwa...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Kuna dini inawafanyia 'brain wash' washirika wake kila mwisho na mwanzo wa mwaka

    Twende kwenye mada direct. Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya. Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake...
  7. MK254

    Al Shabaab wauana wenyewe ndani kwa ndani kule Somalia

    Al Shabaab) waanza kupigana wao kwa wao hii ni baada ya tofauti kuibuka kati yao, kuna baadhi ambao walitaka kujisalimisha kwa serikali, ila wengine wakagoma na kuapa kuendelea kumpigania "mungu" wao. The Federal government of Somalia has issued a statement announcing fresh fighting in the...
  8. Samia atosha tukutane2030

    Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
  9. TODAYS

    Mwaka Mpya: Mawazo ya viongozi wa dini yaliyonajisiwa kwa binadamu, nani mkweli?

    Happy New Year!. Hiyo ☝🏾 ndiyo salamu inayotolewa na kila mmoja kutakiana amani, furaha na shangwe kwa kuingia mwaka namba mwingine. Ilikuwa kama jambo la kawaida tu kupitia pitia misahafu na zamu ya mwezi huu unaopita ilikuwa ni Bibilia na nilibahatika kusoma kitabu cha Mwanzo eneo hili hapa...
  10. BARD AI

    Viongozi wa Dini waonya tabia ya Viongozi wa Serikali kupenda kusifiwa

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu. Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
  11. DR HAYA LAND

    Nimelelewa na kusoma shule za Mapadri lakini ni Muislam safi tu. Habari za kubishana kuhusu dini hazina maana

    Kwa sisi watu tuliopata bahati ya kusoma maandiko Bible na Quruan huwezi kuona tunabishana kuhusu dini, maana maandiko ndiyo Maisha tulionza kuyaishi takribani miaka 7 hadi leo tumekuwa watu wazima. Kwahiyo, hizi ligi zenu kuhusu dini sahihi kati ya christian na uislamu, jibu ni moja; soma...
  12. MK254

    Hadi sasa wananchi 500 wameuawa Iran, ila maandamano yako pale pale

    Serikali inaendelea kuua wananchi kwa kile inadai kumpigania Mungu, ila maandamano yapo tu. Yote hii ilianza baada ya mwanamke kuuawa kisa nywele zilichomoza kichwani dhidi ya sheria za kiislamu... More than 500 protesters, including 69 children, have been killed, according to the Human Rights...
  13. ASIWAJU

    Je, dini ni upendo au ni chuki? Vita na mauaji yaliyokithiri

    Habari za saa wanachama natumai ni njema. Mjadala wa leo kupitia maswali umejikita katika kufahamu,je upi msingi wa hizi dini zilizopo hapa duniani kwa sasa hasa hasa hizi dini kubwa tatu maarufu ukristo, uislam na uyahudi ni nini?. kutokana na wanayo ya hubiri na wanayo ya tenda. Ukiifuatilia...
  14. TODAYS

    Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

    Jamaa ame_tweet hii picha sasa hizo comments kutoka kwa jamii ya kiislam wamegoma kumuelewa jamaa wakidhani anataka kuokoka!.
  15. Unique Flower

    Tulianza dini na sasa tupo kwa waganga na watatuzi

    Waganga ni watu walioridhishwa kutibu watu na shida zao mbali mbali . Ikiwemo kutoa majini, Kutoa vifungoo Kutoa uchawi uliowekwa mwilini au katika nyumba za watu . Kurudisha nyota zilizochukuliwa na akili ya mtu iliyochukuliwa. Watu huwaona vibaya pale wanapokibali kuwapa utajiri watu...
  16. Girland

    Dini za kilokole na imani za ajabu

    Imeandikwa: MTAIJUA KWELI NAYO KWELI (Siyo uongo) ITAWAWEKA HURU, kumekuwepo ongezeko kubwa la makanisa na madhehebu mbalimbali huku kila moja wakija na vimbwanga vyake. Achana na maji ya upako, yanayotumika na makanisa au Chumvi, au Uvumba na vitu vingine kedekede ifuatayo ni list ya...
  17. S

    Kufuru hizi anaziona mwenye Mamlaka Mbinguni na Duniani .Viongozi wa dini semeni neno mhesabiwe

    Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii. Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu. Kuna mtu alifananishwa na Mungu wakati ule bado yupo ofisini. Watu wakaonya wakapuzwa, ila leo mtu huyo hayupo na bado hamjajifunza...
  18. DR HAYA LAND

    Utakatatifu ndiyo dini yenyewe, haya mambo mengine mnalisha upepo tu

    If you want God to change your destiny make sure you live with God, saidia Masikini wenye uhitaji wa kweli ukifanya hivi hautokuwa miongoni mwa masikini Maisha yako yote. Saidia wazazi wako wakiwa bado hai . Hakikisha unaitunza Familiya yako vizuri . Walipe wafanyakazi wako ujira mzuri...
  19. NetMaster

    Baadhi ya Wakristo wa CCM mmeanza uchochezi, huu upuuzi wa kulalamika dini kwenye vyeo vya juu muuache. Chama hakina dini

    Nashangaa sana kuona watu wanalalamika udini kisa tu viongozi wengi wa ccm ni wa dini ya kiislam, Kwenye fomu za uongozi CCM, hakuna kuulizwa dini!, unaulizwa sifa na vigezo, hakuna kigezo cha dini ya mtu!. Kwenye kupendekeza majina wakristo walikuwemo hawakujipendekeza, kwenye kupiga kura...
  20. Last Seen

    Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

    Mwanamke Mmoja jijini Arusha amechora picha yenye jina la mtumishi wa Huduma ya Ngurumo ya Upako anayefahamika kwa jina la Nabii Mkuu Geor Davie. Mwanamke huyo alipoulizwa kwa nini amechora tatoo yenye jina la nabii huyo, alijibu anampenda licha ya kuwa anapitia mwengi. "...Ni jambo la baraka...
Back
Top Bottom