dini

  1. THE FIRST BORN

    Mtu anaemubagua Mtu mwingine Kisa haamini katika Dini za Leo, huyo Mtu hajayaelewa Maisha hata Kidogo

    Currently watu wanaosali hizi dini za sasa hivi Ukristo&Uislam wanawaona Wasioamini katika hizi dini kama wasiojielewa hivi kama wakosefu na siku ya Mwisho wataenda Jehanamu. Ila ukijiuliza swali jepesi tu hizi Dini zimekuja kipindi gani? Ukilipita Jibu kua zimekuja Wakati wa Maandalizi ya...
  2. F

    Askofu wa Katoliki Jimbo la Bukoba atetea uwepo wa kiti cha Rais Kanisani

    Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali. Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo...
  3. M

    Kwa upande wangu huwa nawaona wanao zipinga dini za uislamu na ukristo kama binadamu walio firisika akili

    Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli Watu wengi wamekuwa na kasumba hii...... Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai...
  4. Chachu Ombara

    Mchungaji Nurdin Abdallah afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa miaka 6

    Mchungaji wa kanisa la kilokole Nurdin Abdallah, amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kosa la kumbaka kwa nyakati tofauti mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka sita. Chanzo: EA Radio ==== Mchungaji Nurdin Mahakamani kwa kumbaka mtoto wake Mchungaji wa kanisa la...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wahalifu wengi wakubwa duniani hujificha kwenye kivuli cha dini na siasa

    Halafu wengi wakubwa hujificha kwenye kivuli cha eidha dini ama siasa, na wahalifu wengine konki hujificha kotekote. Hufanya hivyo hivyo ili kuuhadaa umma usihangaike na kuuchunguza upande wao wa pili wa shilingi. Pia kwa kufanya hivyo huwapa ukaribu wa kukutana na viongozi mbalimbali wa...
  6. J

    Waziri Bashungwa: Serikali imetatua changamoto za ubia na Taasisi za Dini

    SERIKALI IMETATUA CHANGAMOTO ZA UBIA NA TAASISI ZA DINI- BASHUNGWA Eliud Rwechungura - OR TAMISEMI Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imeimarisha Ushirikiano na Taasisi na Mashirika ya kidini zinazotoa huduma ya Afya msingi kwa wananchi kwa kutatua changamoto zilizokuwepo baina ya...
  7. Prakatatumba abaabaabaa

    Hata uwe deep zaidi kwenye dini hizi dhambi za asili huwezi kuziacha

    Dini/madhehebu yapo kwa ajili ya kutufanya tuishi kwa amani na kutokutenda madhambi. Lakini kuna vitu hata uwe deep kwenye dini huwezi kuviacha kwa wepesi yaani ni ngumu sana. UZINZI Aisee kuchomoka hapa sio rahisi unaweza ukatoka masjid au umetoka kwenye mfungo wa siku nzima lakini ukafanya...
  8. zink

    Napata mashaka na huyu binti mshika dini na kauli zake

    Habari za wakati huu wakuu, natumai nyote wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi kuna binti mmoja hivi nilifahamiana naye kwenye harakati za kutafuta mkate wa kila siku, yeye ni mtu wa dini sana yani kwenda kanisani kwake Jumatano, Ijumaa na Jumapili zote hakosi na kiumri...
  9. J

    Shehe Ponda: Pawepo Mjadala wa kitaifa kuhusu Uzalilishaji wa Watoto unaofanywa " hata" na Viongozi wa dini

    Katibu wa Taasisi za Jumuiya za kiislam Sheikh Issa Ponda ameshauri kuwepo Mjadala wa kitaifa kuhusu Udhalilishaji wa Watoto unaofanywa hata na Viongozi wa dini Wachungaji, Mapadre na maustaadh Sheikh Issa Ponda amesema mmomonyoko wa maadili unatishia ustawi wa jamii hivyo ni lazima hatua...
  10. MK254

    Maandamano Iran: Vifo vyafikia 41 baada ya kisa mwanamke kufia mikononi mwa polisi kwa 'kutojisitiri'

    Nchi inaendelea kuwaka moto, watu wamechoshwa na uzombi wa kidini, na badala ya serikali kutafuta suluhu imekimbilia kulaumu Marekani na Israel kama ilivyo mazoea yao. ========= The number of people killed in Iranian protests that were sparked by the death of a woman in police custody rose to...
  11. kavulata

    Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

    Binadamu wote wake kwa waume wanazaliwa wakiwa uchi kabisa, kuvaa nguo ipi na ivaliwe wapi na nani kwa sababu gani ni utashi tu wa wanajamii wenyewe. Bahati mbaya au nzuri Mwenyezi kuna maeneo na viungo vya mwili ambavyo alishavifunika yeye mwenyewe kwa sababu zake kwa kutumia nywele ndefu na...
  12. MK254

    Mpiganaji wa dini ya kiislamu ajilipua bomu na kuua 15

    Cha ajabu, wote dini moja Somalia...kutwa kulipukiana kwa mabomu kisa wanampigania "mungu" wao. At least 15 people were killed Sunday in an attack by the jihadist group Al Shabaab in Somalia's capital Mogadishu on a Somali Army military training facility, officials said. The balance of the...
  13. MK254

    Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

    Mwanamke kuuawa kisa kijisehemu cha nywele zake kilionekana wazi, imesababisha wa-Iran waseme imetosha, uzombi wa kidini hawautaki tena. Miji 80 ya Iran inatamalaki waandamaji. Nilishangaa sana FaizaFoxy anatetea huu ukatili kwa wanawake wenzake kisa mzuka wa kidini. ===== Large protests...
  14. MK254

    Iran: Wanawake wavua hijab kulalamika mauaji ya mwenzao kisa sheria ya dini

    Wanawake wanaendelea kujitoa mhanga kama wafe basi wafe wote, mwenzao aliuawa kisa hakua amesitiri kichwa kama inavyotakiwa kwa dini ya waislamu, wameamua kuvua hijab na kuacha vichwa wazi liwalo na liwe. ============ A massive anti-hijab revolution has broken out in Iran after women came out...
  15. Lycaon pictus

    Dini hizi. Kwa hiyo King Charles atakuwa mkuu wa Anglikana na hali alitalikiana na kuoa tena?

    Hili litakaaje kwa waanglikana. Kwa kawaida mfalme au malkia wa Uingereza ndiye mkuu wa kanisa la Anglikana. Sasa huyu ndoa yake aliyopo leo haina baraka za kanisa. Atakuwaje kiongozi wa kanisa hilo?
  16. T

    Dini zinasema nini kuhusu wanawake?

    Ukiangalia mtazamo wa watu kwenye vitu vingi umechangiwa na vitu vikubwa viwili, tamaduni na dini. Leo nataka tutazame dini maarufu hizi mbili, Uislamu na ukristo zinazungumza nini kuhusu wanawake na mchango wao katika malezi na mtazamo wa waumini wao kwa wanawake. Tuanze na uislamu. 1...
  17. T

    You Tube kuniletea suggestions za nyimbo za dini ina maana gani?

    Mimi sio mtu wa dini, nimeshangaa leo na renew you tube premium membership yangu naletewa suggestions za nyimbo za dini wakati sijawahi kuzitafta kwenye huo mtandao hata siku moja. Mbaya zaidi you tube wameniletea ngoma za zamani za kina malebo, kina kijitonyama choir nk za enzi zile naelekea...
  18. Chachasteven

    Kajala yupo tayari kubadilisha dini kwa sababu ya penzi la Harmonize

    Nimeiona hii nikaona isinipite nishee na wenzangu. Hivi, kama mtu atasaliti dini, kumsaliti binadamu mwenzake je? Full story
  19. Prakatatumba abaabaabaa

    Utofauti wa dini ulivyonifanya nikamkosa wife material, nataka kubadilisha dini je, nimerogwa?

    Pamoja na kuzurura koote nikadondokea babati mjini nikakutana na binti age 22, binti fulani Mwenye asili ya kigoma but baba yake kazaliwa hapo babati na mama ake pia, Aisee binti anazo sifa zote za kua wife material mda mwingi amekulia kwa bibi yake maana wazazi wake wako endasaki (ni mji...
  20. Equation x

    Kuzikwa kwa ibada za dini tulizonazo au kuzikwa kipagani kuna manufaa gani kwa marehemu?

    Mwezi uliopita, nilihudhuria mazishi ya rafiki yangu mmoja. Kutokana na maisha yake aliyoishi hapa duniani, alikuwa haendi jumuiya, wala kutoa michango ya huko anakoabudia. Umauti ulipomfika, kukawa na utata; kule kwenye dhehebu lake wakakataa kumzika, kwa sababu alikuwa haudhurii jumuia, wala...
Back
Top Bottom