dini

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

    Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti. Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua kikwazo? Ushauri Wana JF
  2. JamiiForums Tanzania Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

    Tunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini, iepukeni dhambi hii

    Kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali kuwaalika viongozi wa Dini kwenye matukio mbalimbali. Lakini pia kumekuwa na kawaida ya viongozi wa serikali kutoa mamilioni ya shilingi kama michango ya...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Akifanyiwa mahojiano na kituo cha Habari cha Global TV Dkt Sule ameeleza masuala mbalimbali yanayohusu kupata mali kwa kutumia majini. Akifafanua kwa imani yake kuwa kupata mali kwa Majini si haramu Sule anasema: Kupata mali kwa njia ya majini ambao sio wachafu sio haramu, nitasema na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Dini ijikite kuelimisha waamini wa Dini husika, Vitumike vitabu vya Dini husika kukazia maarifa ya Dini husika ndani ya Mafundisho husika.

    Mafundisho ya Dini yenye uwalakini. Kuna Mafundisho ya Dini yamekua na mapungufu. Muislam hufundishwa na kuelimishwa kupitia Quran, Imani ili ijitetee yenyewe hauhitaji kufundisha mapungufu ya Ukristo (Ku ingilia Mafundisho ya Ukristo na misingi ya Iman yake) nikuonesha Imani husika inayo...
  6. JamiiForums Tanzania Katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, Waziri wa Mambo ya Ndani akutana na viongozi wa Dini

    Katika kukabiliana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jamii, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya Kikao Maalumu na Viongozi wa Dini lengo ikiwa kuhusisha kundi hilo maalumu katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, mmomonyoko wa maadili, matumizi ya dawa za...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaze kurusha setilaiti badala ya tahasusi za dini

    Maajabu na vimbwanga vya Serikali. Yaani kosa kuongeza masomo ya ubunifu wa sayansi na teknolojia au hata watoto wafundishwe elimu ya fedha mtandao. Kuangalia namna ya kukuza vipaji vya ubunifu lakini wajuba wanajiwazia Islamic knowledge na divinity mambo ya ajabu sana. Binafsi watoto wangu...
  8. JamiiForums Tanzania Dini italeta utengano kwa wanafunzi tangu wakiwa wadogo, Tuwe makini

    Ni kweli, kwa ajili ya kulinda maadili, wanafunzi/watoto wetu wanapaswa kufundishwa dini. hoja ni wafundishwe wapi? makanisani au shuleni? tukiweka shuleni si tutaleta hadi makazini? zamani nilipokuwa mdogo waalimu wakristo walikuwa wanakuja kutufundisha darasani siku ya jumatano na jumamosi...
  9. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wazidi kushambulia Msumbiji

    Yote hii kwa ajili ya kumtukuza 'mungu' wao.... Mozambique's army is fighting Islamist insurgents who launched a major attack on the northern town of Macomia on Friday morning, President Filipe Nyusi said in a televised address. The town is in Cabo Delgado, a gas-rich northern province where...
  10. JamiiForums Tanzania Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

    Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wanashindwa kuwashauri viongozi wazuie nyimbo zenye matusi

    Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili. Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Katika kila Watanzania 10, tisa wamewahi kwenda kwa waganga hasa matatizo yakiwaelemea. Je, dini ni pambo?

    Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga wahalifu hasa wa kusafirisha magendo, wizi, utapeli hawa karibu wote wanaenda kwa waganga Wengi wakiumwa hospitali...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

    Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko. Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga Biashara ikiwa na wateja...
  14. JamiiForums Tanzania Usitumie kigezo cha dini katika kuoa au kuolewa

    Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini. Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa. Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k. Watu wengi wapo...
  15. JamiiForums Tanzania Ona jinsi wakristo wanavyoteseka nchini Nigeria na jeshi liko upande wa islamist

    Je ni kweli dini yao ni ya amani kama wasemavyo wenyewe humu? https://twitter.com/visegrad24/status/1781802292548673704?t=u-VrM9jzxIx-C2pXqt8iog&s=19
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwahiyo Rais Ruto amebadilisha dini?

    Embu Wakenya tujulishe
  17. JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo aache kuchanganya dini na siasa, anatukera

    Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
  18. JamiiForums Tanzania Vitabu vya dini vinamuonaje/vinatoaje taswira ya Mungu?

    Maandiko ya dini yanaamini kuwa binadamu wa kwanza ni adamu hii inakubaliwa katika pande zote za imani ya kiislamu na ukristo. Kwenye maandiko ya Bibilia yanasema kuwa mungu amekuumba kwa mfano wake na hata ukiangalia mwanzo wa ulimwengu aliummbwa adamu hivyo kwa nadharia hii wengi wa waandishi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwa sasa kuna kiongozi wa dini asiyefungamana na maovu ya kisiasa na kusimama na Mungu wakati wote anapojaribiwa?

    Zamani tulifundishwa tusiwaseme vibaya viongozi wa dini; tukaishi na huo utamaduni na kutufanya kushindwa kulijenga kanisa la kweli na uislamu wa kweli. Kutokana na kufundishwa kuwa waongo mbele ya viongozi wa dini ilituwia ngumu kuwakemea pale wanapokosea. Tukawa tunakwenda kanisani na...
  20. JamiiForums Tanzania Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

    Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu. Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe. Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu. Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…