dini

  1. Clever505

    JamiiForums Tanzania Dini zinafundisha uongo kumhusu Mungu

    Mods, nilishawahi kuweka hapa threads mbili zinazohusiana na mambo ya dini ila sijui huwa mnazifuta au mnazihamishia kwingine maana baada ya muda kidogo nikipost huwa sizioni. Ikiwa mada hizi hazitakiwi humu niambieni sio mnaziondoa bila taarifa. Kwenye mada sasa, Dini zetu hizi kubwa mbili...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Dini vina Mafumbo kana kwamba ukiwa Kichwa nazi uwezi kuelewa au utaelewa tofauti

    Tatizo letu binadamu ni moja, vitabu vya dini tunataka tuvisome kama vitabu vya hadithi vya akina Nyemo, tunataka kuvielewa kama vilivyoandikwa, yaani hatutaki kujua walikuwa na maana gani. Tatizo huwa hapo tu. Sina uhakika na Kurani kwa kuwa sijaisoma sana, ila kwa Biblia, imeandikwa kimafumbo...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania DINI zimetugawa sana; Ikitokea Africa tukatawaliwa tena, basi tutasema ni mpango wa MUNGU

    Namsikiliza jamaa alikuwa anaongea kuhusu Afrika. Alisema kabisa dini zimetugawa pakubwa lakini ikatokea Afrika tukatawaliwa kama karne ile ya 15 basi miongoni mwetu, tena 80% watasema ni mapenzi ya Mungu. Unapitia shida.... MAPENZI YA MUNGU Unanyanyasika.... MAPENZI YA MUNGU Unateseka...
  4. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kwanini waumini wa dini ya haki kila wiki wanaua wakristo huko Nigeria?

    Dini ya haki dini ya haki! Kule Nigeria kula kukichwa wanaua makumi hadi mamia ya Wakristo. Halafu kuna mtu anazungumzia Qhamas. Kwenye hii dini kuna roho mbaya sana. https://twitter.com/visegrad24/status/1740517117882155219?t=NxTjtWOQhE8yVkNi4H5WfQ&s=19
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makonda ziara kwa viongozi wa dini zimezidi, huenda anaandaliwa kugombea Urais

  6. MK254

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Magaidi wa ADF wamuua bibi na wajukuu zake

    Magaidi ya ADF ambayo ni mlengo wa magaidi ya Islamic State (dola la kiislamu) wamechinja bibi na wajukuu zake na kuchoma maiti zao kijijini Uganda. Hivi mbona dini isiwe chanzo cha amani. Unayafanya yote haya kisha siku za kufa kwako ushangae 'mungu' ambaye unampigania kumbe siye, yaani miaka...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu miaka michache ijayo zaidi ya 80% ya watu wa dini watakuwa atheists vificho bila kutoka makanisani na misikitini

    Sababu kubwa ni laana za kuwapa wanadamu wenzao nafasi ya au karibu na Mungu. Hii laana husababisha wahusika kutoridhika na matunzo ya Mungu wao. Hivyo kumkinai Mungu, kuwakinai wanaowafuata wakiujua ubinadamu wao na kugeukia atheism kama faraja mbadala. Yesu akija atakuta kundi hili kubwa...
  8. fakhbros

    JamiiForums Tanzania Fikra yangu sio dini yangu

    Katika maisha ya kawaida jamii inakuwa na watu wa kila tabia na tabia ndio zinazoweza kuitambulisha jamii husika Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alianzisha kampeni yake yakupambana na wamiliki wa Madangulo katika viunga vya jiji la Dar Kwa hulka za waungwana ni kweli ukahaba sio...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Hamas na Israel ni kati ya dini na dini au ni kati ya Taifa na Taifa??

    Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!?? Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini??? Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael?? Uislam na Ukristo unahusikaje na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dini ya Kwanza Duniani Zoroastrianism na Mazda ambaye ni Mungu Mmoja wa Wote

    https://m.youtube.com/watch?v=CkV0dGk6XxA Zoroastrianism ni dini ya kale ya Kiajemi ambayo inaweza kuwa ilianza mapema kama miaka 4,000 iliyopita. Bila shaka imani ya kwanza ya Mungu mmoja ulimwenguni, ni moja ya dini kongwe ambazo bado zipo. Zoroastrianism ilikuwa dini ya serikali ya nasaba...
  11. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

    Hakika "Itakapofika nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, watu wataanza kuingia katika dini yake yeye makundi kwa makundi" Hatimaye bondia machachari kutoka Marekani Gervonta Davis (Tank) hatimaye siku ya leo amebadili dini na kuwa Muislamu. Hakika ni habari njema sana kwa kuamua kuifata dini...
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kwani wafia dini tunasemaje?

    Salaam!! Imani ni kuitakidi kuwa kitu fulani ni kweli na sahihi. Dini ni msingi wa kiimani ambao unatumika kwenye maisha kwa taafsiri fupi dini ni tamaduni na tamaduni ni mfumo wa maisha mfano kula,kuvaa,uchumi,siasa na hata malezi inahusisha dini mfano waislamu kwao wamekataza kula mkono wa...
  13. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wafuatao wamehujumu Tanganyika? Warudishe mabilioni waliyolipwa! Dini inasemaje kula mali ya maskini na yatima

    Maamuzi ya Mahakama , kwa kifupi yanakubali hawa walifukuzwa na CHADEMA , kwamba sasa si wabunge ila wasikilizwe rufaa ya kupingwa kufukuzwa. Maskini wa Tanganyika aliyebebeshwa mzigo wa Tozo za Simu zinazopanda, aliyebebeshwa Mzigo wa nauli kupanda wakati mafuta yanaendelea kushuka kwa niaba...
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania 99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

    Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wasiamrishe waumini kuombea Wanasiasa. Ifahamike wanasiasa hawahitaji Dua

    Wakati shujaa wa Tanganyika, Chuma Cha Mjerumani akiwa Hoi Bin Taaban[POMBE] 2015-21 watanganyika waliohoji walitishiwa kufunguliwa kesi, kipindi kilikuwa zama za giza, watu waliogpa hata watsup calls. Walihoji na wengine walisema pace maker imekata moto, walijitokeza akina Waziri namba moja na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mwana JF unamaoni gani kuhusu mjadala wa Dini ulioandaliwa kati ya Dkt. Sule na Pastor Ndacha tarehe 16 na 17 December 2023

    Wanazuoni wa Dini za Kikristo na Kiislam (Dr Sule na Pastor Ndacha ) wameandaa mdahalo wa Dini hizi mbili hapo Ukumbi wa PTA tarehe 16 na 17 December 2023. Katika mahojiano yao kupita Vivo online tv, wamejinasibu kuwa mdahalo huo utakuwa wa kistaarabu na wenye kuimarisha imani za waumini wao...
  17. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kuhubiri dini kwenye mabasi na standi za umma nao ni uhuru wa kuabudu?

    Tabia hii inazidi kukua kila kukicha japo inaudhi. Hawa watu wanalipwa na nani na wanatoka wapi? Lazima ifike mahali tukubaliane kwamba kila mtu ana imani yake kulingana na alivyolelewa na kwamba swala la imani ni binafsi na kuna maeneo mahususi ya kuabudu. Makanisa ya kilokole kina Mwamposa...
  18. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Naomba nijibiwe swali langu. Mtaala mpya wa elimu somo la dini

    Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu. Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi. Kipengele na: 8. Elimu ya Dini Itatolewa na viongozi wa dini inayohusika kwa kuzingatia mwongozo utakaotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwarabu popote alipo, aagize soda nitalipa, kawasuta sana waarabu na dini yao

    Kaeleza kama ilivyo tena bila chenga, muda umefika waarabu wajiulize maswali mengi sana. Kuna video yake hapa chini. ila kiukweli bado wamepofushwa na maupuzi ya karne za kitambo. Nafikiri wakibadilika na hata waliodandia hiyo dini yao nao watabadilika, ila wakiendelea kujifanya misukule...
  20. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Rabbi wa Kiyahudi na familia yake wasilimu

    Familia maarufu ya Kiyahudi yabadilisha dini kuwa Waislamu. Kiongozi wa kidini wa Kiyahudi aitwaye Rabbi Mort alitangaza kusilimu kwake rasmi. Hapo awali, Rabbi Mort alichukia sana na alikuwa na chuki kwa Waislamu. Hata hivyo, uongozi wa Mwenyezi Mungu ulimjia na akaugeuza kuwa Uislamu. Wakati...
Back
Top Bottom