dini

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waislamu kuna mada yenu hapa.Kwa nini mnapenda kukimbilia nchi ambazo sio dini yenu.

    Wakitoka south afrika kufukuza waafrika naona wazungu wataanza na hii operation ya imani. Kama dini imewapenda sana kwa nini mnakimbilia nchi ambazo sio dini yenu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa dini: Vita vya Leo Ushindi wa Kesho (Audio + Video are using AI)

    Vita vya Leo Ushindi wa Kesho ni wimbo wa kutia moyo unaobeba ujumbe wenye nguvu kutoka Waamuzi 3:1–2. Katika kifungu hiki, Mungu aliwaacha baadhi ya mataifa ili kuwafundisha Waisraeli namna ya kupigana vita—hasa wale ambao hawakuwa wamepitia vita hapo awali. Hii inaonyesha kuwa wakati mwingine...
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe umuhimu wa Imani na Dini

    Imani haina tofauti na itikadi. Imani inakupa mwelekeo wa kusimamia masuala yanayohusu utawala usioonekana kwamba ndiyo unaotawala fikra na hisia kuhusu uwepo, uumbaji na yanayodhanika kujiri baada ya nafsi na roho kuachana na mwili. (Hii ni tafsiri yangu) Dini, ni utaratibu uliobuniwa na...
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mods kitendo chenu cha kuzuia Post ya Mistari 135 ya nukuu za HAKI kwenye Bibilia ni cha kuuona ukiristu ni dini ya Uchochezi.

    Leo nikuweka Post inayohusu HAKI kwenye Bibilia kwa makusudi na nia ovu mkaiondoa, Bibilia si kitabu cha uchochezi kama mnavyodhani, ni kitabu Kitakatifu hivyo nukuu zake lazima ziheshimike kama zilivyo. Ninawashauri muirejeshe ile Post kwa heshima ya Wakiristu.
  5. Mhandisi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Je, kwa dini ya kiislamu ni ruksa kuvuta sigara?

    Wasalaam waleikhum ndugu zangu waislam na wakristo.... Ni kawaida kwa waumini wa kislamu kukuta hawatumii pombe kwa kuwa imekatazwa kwenye maandiko. Ila sigara kwao ni kama chanda na pete!! Ukitembelea nchi nyingi za kiislamu kuna uvutaji mkubwa wa sigara na siku hizi shisha. Je ni ruksa kwao...
  6. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliewahi kuchanganya dini na kazi na akafanikiwa. Wamarekani imani yao ni capitalism, warusi ni ukomonisti, sasa walinganishe na sisi.

    Najua hautaelewa kwa sababu umelewa dini. Umevaa lishuka lako hapo unashindwa kwenda nje ya box kisa tu sijui hadithi ya shemeji ya nabii hakufanya hivyo basi ni haramu Umekaa hapo unajiandaa kesho kupeleka 100,000 ya kujimaliza kwa jamaa akutoe nuksi ili ufanikiwe na unapakwa mafuta usoni...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waislamu ni lini mtajua dini madhehebu na siasa kama ilivyo dini nyengine.

    Shida kuelimisha mtu kama kobe kujiondoa kwenye gamba lake. Dini zetu zimetumia nguvu nyingi kumwaga damu zaidi ya history za vita ya dunia zote. Dini zimekuwa kujificha kwa watawala kuanzia imani zao na kabira zao japo wanaweza kutumia haya. Kuna mada wengi wanadanganywa uislamu ulikuwepo...
  8. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Ila hizi dini bhana! 😀 Wanajua kabisa sina kazi, nauza pombe; lakini kanisani wanataka nitoe sadaka na zaka. Kwao, zaka si haramu?

    Ila hizi dini bhana! 😀 Wanajua kabisa sina kazi, nauza pombe; lakini kanisani wanataka nitoe sadaka na zaka. Kwao, zaka si haramu? 😆
  9. Kachina95

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine hizi dini zinatumika vibaya

    Wanajukwaa, 1.nimeshuhudia viongozi wa dini wakikemea zinaa na kusifia mauaji. Uhuni sio uhuni? 2. Waislamu walijinadi kuwa dini yao ni dini ya haki, baada ya kuona uvunjwaji wa haki umetamalaki na wao hawawezi kukemea, hivi sasa wanajiita dini ya amani, hawataki tena haki. Wahuni sio wahuni? 2...
  10. Marcy

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutambua kwamba mfumo uleule uliomuuwa Yesu ndio uleule uliotengeneza dini ya kuzungumzia juu yake

    Viongozi waliopo katika mfumo walimuuwa Yesu, kisha wakaanzisha dini ili watu waendelee kumzungumzia tu badala ya kuishi kama alivyofundisha. Yesu hakuja ili aabudiwe, alikuja kufunua kitu—njia ya kuendesha na kuunda uhalisia. Lengo lake lilikuwa kutufundisha “code” au kanuni za jinsi ulimwengu...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waislam, kwanini mnawafanya watu mediocre na laymen kuwa viongozi wa dini yenu tukufu?

    Dini ya uislam pamoja na kuwa na mafunzo mazuri ila Bado watu makini hawataki kuwa viongozi wa dini hiyo Kwanini hao mashehe wasijielimishe ili kupata haiba na kutoa maoni yanayoendana na uelewa na ustaarabu Jiulize Muislam kama Bakhresa anakaa kwenye zulia anamsikiliza Shehe Mazinde😂...
  12. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Unaamini katika dini Uislam/Ukristo budha/indu/wayahudi kuwa ukifa wewe sio dini flani hautaingia mbinguni

    Yess Kuna ile dini zinaamini kuwa wewe kama ukifa kama sio dini fulani hautaingia mbinguni, hautamuona M/Mungu na utaangamia milele motoni How dini zina ubaguzi kiasi hichi yaani waislamu pekee ndio wataingia peponi au wakristo/waisrael pekee ndio wataingia mbinguni, mtu wa dini tofauti...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanauza kitimoto viwanjani kombe la dunia! Mpira ni zaidi ya dini.

    Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden! Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mufti aomba mapumziko mwaka mpya wa kiislamu,naam uislamu ni dini ya haki

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kumshawishi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ili siku ya mapumziko ya Mwaka Mpya wa Kiislamu (Hijriyya) itambuliwe Tanzania nzima. Mufti Zubeir...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Je, Dini ni Sawa na Vyama?

    Chama chochote kiwe cha Siasa au kikundi katika Jamii kinakuwa na Katiba na miongozo yake, na iwapo unahitaji kuwa mwanachama wake inabidi ufuate masharti, taratibu na miongozo yake, na kinyume cha hapo inabidi ujitoe na usipojitoa watakufukuza. Katika Dini, upande wa sisi wakristu iwapo...
  16. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kabla ya waislamu kuichukua kinguvu uajemi, je waajemi walikuwa ni watu wa dini ipi?

  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wazungu wanavyotumia sinema zao kuichafua dini ya Kiafrika ya Voodoo

    Voodoo (pia huandikwa Vodou, Vodun au Vodun) ni dini na mfumo wa imani ulioanzia Afrika Magharibi, hasa katika maeneo ya Benin na Togo. Baadaye uliendelea na kuenea katika maeneo ya Karibiani, hasa Haiti, kupitia biashara ya utumwa. Baadhi ya vipengele vya Vodou ni: Imani katika Mungu mkuu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watoto hawawezi kuchagua dini, ni wazazi au walezi huamua! Kwanini baadhi ya dini hukataza kuhama na hutoa vitisho vya adhabu kali ikiwemo KIFO?

    Watoto hawawezi kuchagua dini ipi inawafaa; mara nyingi ni wazazi au walezi ndio huamua. Mtoto hukua akipokea anachoambiwa bila nafasi kubwa ya kuuliza au kuchambua kwa kina. Anapofikia utu uzima na kuanza kuelewa maisha kwa undani zaidi, wakati mwingine hutambua kwamba imani aliyopewa...
  19. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Watu wamechoshwa na Serikali, Dini na Siasa: Wanataka kuwa huru

    Katika hali ya kipekee sana Jamii ya Binadamu leo katika maeneo mengi Duniani inaonesha kuchoshwa sana na Serikali , Dini na Siasa. Taasisi hizo ziliiaminisha Jamii kuwa zitaleta utaratibu katikakati ya vurugu " to bring order out of chaos". Watu waliipokea imani hiyo na kukasimisha mamlaka yao...
  20. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Watu wa dini wanaamini wasichokijua

    Labda na wewe utaongeza kitu hapo chini. 1. Binafsi siwezi kuamini kitu ambacho sikielewi. Watu wa Sayansi walikataa kuamini wakachagua kuelewa na ndio wameleta ustaarabu duniani. Hii ni tofauti na watu wa dini. 2. Dini ni Chombo cha kijamii(social agency) Chenye kazi ya kuhimiza Maadili, na...
Back
Top Bottom