Katiba mpya nitakayounga mkono lazima izingatie mambo makubwa matano.
1. Ushoga uondolewe kuwa kosa la jinai. Serikali isiingilie kabisa mambo ya mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana katika mambo ya ngono.
2. Kutenganisha kabisa dini na siasa na shughuli za umma. Hakuna kusali kwenye...
Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki.
Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki.
Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa...
Kuna kijana mmoja kwenye mitandao ya kijamii naona kawa mwiba kwa waislamu wenzake.
Ila nacho jiuliza kama mtu anajenga hoja,elimu na jinsi dini kama kuna sehemu waumini wamesahau ni kukumbushana na kuona dunia inavyo kwenda.
Kinachoendelea hata zile chuki za kuonesha muwapendi wakristo...
Nyie sio dini,
Mlitengeenezewa category ya dini na institutions za kidunia baadae sana ila hakuna mahala Yesu, Petro na Paulo walisema wanaanzisha dini mpya au waliacha maagizo mji-organize kama dini, hapana, walichowahimiza nyie ni kufuata ya njia ya Bwana Yesu Kristo.
Hizi zinazoitwa dini na...
Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni...
Habari zenu wadau.....
Najiuliza kati ya dini na kabila, kipi hasa kina umuhimu na maana zaidi katika maisha ya hapa duniani kwa mwanadamu?
Mtu anazaliwa katika kabila fulani bila kuchagua, hawezi kubadili kabila lake. Lakini dini mtu anaweza kuichagua, kuifuata au hata kuibadili.
Sasa kama...
Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni)...
Kichwa cha habari kiko wazi. Kwanini Mungu ambaye haonekani wala hana uhitaji asanye sadaka? Tuzinduke.
Nawasilisha. Kama wahusika hawaibi wala kula sadaka, huu utajiri wanaupata wapi na lini? Kwanini wanapenda sana kuweka matajiri hata wanaopingana na itikadi zao mbele? Kwanini wengi wamo...
Huu wimbo wa Israel Mabinti huwa unanifanya nitafakari sana kuhusu waamini Mungu na dini.
"Ukiniponya nitaamini, hata usiniponya bado nitaamini. Ukinijibu nitaamini, hata usinijibu bado nitaamini."
Ngamia hachinjwi hovyo hovyo kama wanavyochinjwa wanyama au ndege wengine.
Ngamia ili achinjwe lazima asomewe dua na aridhie kuchinjwa na anaye msomea dua asiwe mtu wa makando kando mengi kinyume na hapo ataumbuke peupee.
Hii iliwahi kutokea hapa hapa TZ kuna masheikh walikesha kuomba ili...
Namba 1
Dini za asili.. Zina doctrine nzuri Sana bahati mbaya sana zilikosa waandishi wa kuziweka kwenye vitabu hivyo ikawa rahisi kwa wakoloni kuzifilisi na sass zimebaki historia
Namba mbili..
Dini za wapagani.. Wakijinasibu hawaamini kitu lakini wamejaa mikanganyiko na ugomvi wao mkuu ni...
Kwenye dini ya Kiislamu hakuna 40 baada ya msiba au mtoto kuzaliwa, hili ni jambo ambalo Waswahili wamejiongeza kuipimp dini!
Kwa nini huwa ni lazima kufanya 40 baada ya msiba wa Kiislamu ikiwa dini haina maamrisho hayo?
Binafsi sidhani kama mwanamke wa kiislamu mjane na ambaye inasemekana ni rais akumbatiwe namna hii.
Kwa maoni yangu ninavyoona sio sahihi.
Jamaa ukumbatiiaji umevuka mipaka.
Katika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka wao.
Kwamba wanyama, miti, Samaki, ndege na viumbe wengine wote vimewekwa kwa ajili yao, huu ni...
Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini.
Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Yule Shujaa.
Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
Viongozi wa Dini Baraza la Maaskofu Katoliki,Baraza Kuu la Waislamu Tanzania,Jumuiya ya Wakristo Tanzania ,wanayo nafasi kubwa sana kuchangia upatikanaji wa Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa na hatimaye Taifa kuanza safari ya kupata Katiba mpya. Tukumbuke kwamba kwenye mapendekezo ya...
Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho.
Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe
Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila...
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tunaomba viongozi wa Dini (BAKWATA,CCT,TEC) kuunda Kamati ili kukutana na kufanya mazungumzo na wadau Serikali,Vyama vya Siasa kwa ajili ya kufungua mlango wa Mazungumzo ya Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa.KKMK tunaamini kwamba viongozi wa dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.