Mkanganyiko wa dini usio na majibu

Mkanganyiko wa dini usio na majibu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
62,497
Reaction score
104,732
Mdau anauliza

Mungu alimwambia mtu aliyevaa joho jeupe anywe divai lakini asioe, kisha akamgeukia mtu aliyevaa kanzu nyeusi akamwambia asinywe divai lakini aoe wake wanne?
20260519_221210.jpg
 
Mdau anauliza

Mungu alimwambia mtu aliyevaa joho jeupe anywe divai lakini asioe, kisha akamgeukia mtu aliyevaa kanzu nyeusi akamwambia asinywe divai lakini aoe wake wanne?
View attachment 3591443
Amini na kumtumainia Mungu pekee gentleman,

jiepushe na imani potofu za kuabudi miungu ya kanzu na joho na ukifanya hivyo, itakusaidia sana 🐒
 
Back
Top Bottom