Serikali ya Tanzania kukumbatia dini hasa viongozi wa kikristo na kiislam kutaiponza kwani hawa ndiyo chachu ya anguko la HAKI kwa kufanya kinyume na wanayoyahubiri wamekuwa wezi,vibaraaka,mafisadi,wango,matajiri,nk kwa maslahi yao na viongozi mafisadi.
Hawana hekima na busara za kutumika...
Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika.
Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya Bibi Titi Mohamed na Julius Nyerere kuhusu EAMWS.
Haukupita muda mrefu Baraza la Wazee wa TANU...
My people,
Haya yanayoendelea sasa ni kiporo cha mambo ya nyuma ila bahati mbaya kiporo hiki kinapashwa na ubwabwa wa leo,ndio maana tunaona huu msuguano ambao unaendelea hivi Sasa
Ukiangalia historia huko nyuma TEC imekuwa ikilaumiwa kama kizingiti cha baadhi ya mambo ya Waislamu au haki zao...
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8
Pia Soma:
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
amavubi gfsonwin
dini
king'asti asprin
madarakani
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
nyaraka
nyie
rais
rais samia
rais samia:
samia
serikali
tec
wanajua
Wanasiasa wote duniani ni wachumia tumbo wapo kwaajili ya matumbo yao na famila zao na ndiyo wasaliti wakubwa kwa jamii zao.
Viongozi wa dini na waumini wao ndiyo wasaliti wakubwa wa wananchi kwani wamesaliti UAFRIKAWAO na ASILI ZAO na kufuata imani,mila na desturi za WAKOLONI ambao ni warabu...
My people,
Katika kipindi hiki muhimu cha kihistoria, napenda kutoa pongezi za dhati kwa Watanzania wote kwa kuonyesha umoja, mshikamano na uthabiti katika kukataa udini. Kwa mara nyingine, mmethibitisha kuwa tuna nguvu kubwa katika kuwa kitu kimoja, bila kujali dini, kabila au itikadi zetu...
Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utashuhidia lugha chafu zisizo na staha pamoja na matusi mazito ya nguoni.
Hii ni ishara ya kuwa ushawishi wa taasisi zetu za dini kwa jamii umeshuka sana na upo ICU.
Ina maana watoto hawana mafunzo ya chuo(madrasa) au mafundisho na hivyo hawaoni kutenda...
Leo tupo tayari kuua kwa sababu ya dini hizi ila babu yako alilazimishwa tena kwa mabavu na damu ili afate hio dini uliyo nayo sasa hivi sio kwamba ibadirishe maisha yake for good ila aendane sawa na master wake.
WE CAN DO BETTER.
Kuna kitu lazima mamlaka zijifunze leo na hata kesho kea manufaa ya Dada na ya baadae
Gen Z sio kizazi cha wafia dini.. In fact hawako serious kabisa na dini.. Wana tafsiri za kushangaza kuhusu dini, na wameshuhudia mambo mabovu na ya kutisha kwenye dini kuliko kwenye sehemu ambazo si za dini...
Tafadhali sikilizeni hii.
Na huu ndio uhalisia wa maisha mtaani Tanzania yote.
Nb: Viongozi wa Kiislam jitafakarini sana.
Kama ni bahasha na uchawa basi mnajidhalilisha.
Kumetokea wimbi hatari la vikundi vya watu wachache wanaojiita waislamu au viongozi wa waislamu, lakini wanachofanya hakina uhusiano wowote na Uislamu. Vikundi hivi vinatumiwa na watawala na mitandao ya kisiasa kueneza chuki, kutukana na kushambulia Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) kwa sababu...
Nimeona clip ya masheikh ubwabwa wamepandwa na jazba wakitaka watu wasiandamane na wale watakaoandamana watawakata vichwa! Sijaona polisi wakitoa tamko kulaani au kukamata watu wanaotishia kuua watanzania ambalo kimsingi ni kosa la jinai.
Wamesema wanatuma wenzao 3500 kwenye misikiti ili...
Ni dhahiri watanzania kwa sasa ni yatima ni wapweke hawana msaizidizi wa kuwasemea wala kuwasaidia ni bora tujipambanie wenyewe maana sisi ndio wakazi wa nchi hii ni yetu hii wengine hao wanajiandalia makazi nje ya nchi hivyo hata wakiharibu hawajali
Naona walioko hapo juu mnaendelea kufanya kosa lile lile la kabla 29.10.2025. Kabla ya hayo maandamano mlitumia vyeo vyenu vya Uamiri Jeshi Mkuu, Ukuu wa Mikoa, U-IGP nk kuwatishia waandamanaji, kwamba wakiandamana watakiona cha moto.
Mkaanzisha na kupitisha maandamano ya Polisi na Wanajeshi...
Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
Bila dini za kigeni na kishenzi tusingetawaliwa wala kupelekwa utumwani.
Bila dini hizi, tusingeumizwa na kuawa hata kuuana na kuchukiana.
Bila dini hizi, tuzingenyonywa na kuibiwa hadi majina na mila zetu.
Bila dini hizi, tuzingegawanywa na kuchukiana huku tukishukiana.
Bila dini hizi...
Nyinyi mmekuwa sababu ya nchi nyingi balani Africa kukosa Amani kwa uchochezi wenu na kuingiza waumini wenu kwenye vita vya kidini huku nyinyi mkiendelea kuishi kwa raha na kwa Amani tele na familia zenu
Kwa Tanzania mtasubili sana kwa uchonganishi wenu
Tutawapuuza na tumewapuuza
Hamuwezi...
Viongozi wa Dini mbalimbali sasaivi wamekuwa ni sehemu ya kutetea mambo ovu yanayofanywa na wanasiasa.
Nasikitika kusema ya kwamba, huko mbeleni kuna watu hawatokuwa wakienda nyumba za ibada tena hususani zinazoongozwa na viongozi wachumia tumbo.
NOTE: Kadri dini zinavyojiingiza kwenye mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.