Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,971
- 26,236
Maelezo mnayo ninyi wakuu.
NB:
PICHA HII NDO NAMNA CCM ILIPOTUFIKISHA.
NB:
PICHA HII NDO NAMNA CCM ILIPOTUFIKISHA.
Naunga mkono hoja bwasheeNisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
Maskini ni nani?Maskini ndio wanaongoza kwa kuwa na wanawake wengi.
Uwakika haupingwiNisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
Maskini ni watu wanaowaza chini tuMaskini ni nani?
Waarabu ni weusi? Mbona unakalili sana mkuuWatu weusi na itikadi zao 😏 ndomaana watoto wa mitaan wanazid kuongezeka
Chini uhakika mkuuMaskini ni watu wanaowaza chini tu
Huyu asiundiwe tume mkuu....😂
NakaziaMaskini ndio wanaongoza kwa kuwa na wanawake wengi.
😀😀Ukweli haujifichi mke mmoja hatoshi
Yani akiwa mwezini na ww upo mwezini kama artemis 11
Akijifungua na wewe umejifungua usubiri mpka apone
Akiumwa na wewe unaumwa kama donda ndugu
Dah mmoja hatoshi kabisaaa