Kachina95
Member
- Mar 7, 2019
- 62
- 211
Wanajukwaa, 1.nimeshuhudia viongozi wa dini wakikemea zinaa na kusifia mauaji. Uhuni sio uhuni?
2. Waislamu walijinadi kuwa dini yao ni dini ya haki, baada ya kuona uvunjwaji wa haki umetamalaki na wao hawawezi kukemea, hivi sasa wanajiita dini ya amani, hawataki tena haki. Wahuni sio wahuni?
2. Maaskofu na manabii wame manipulate wafuasi wao, wanatembea kama mazombi wasiowaza chochote kuhusu kesho yao, wanafuata chochote wanachoambiwa na nabii/askofu wao. Wahuni sio wahuni?
4. Wanakemea uzinzi na hawataki kukemea utekaji, mauaji na uminywaji wa haki. Wahuni sio wahuni?
TUKIIKOMBOA NCHI, SERIKALI MPYA ITATAKIWA KUPITIA UPYA HAYA MADHEHEBU YALIYOPO NCHINI 90% YAFUTWE KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU!
AHSANTENI KWA KUNISIKILIZA