Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,449
- 4,478
Ukifatilia kwa ukaribu dini zilianzishwa na GREAT ELITES purposefully kuja kuneutralize na kutoa hope kwenye mikwamo ya kila iitwayo leo kwenye maisha ya mwanadamu.
Siku kama ya Ijumaa,jumamosi na jumapili watu wapo bize na kupayuka,wengine wanaimba kwa nguvu kwa matarajio na imani kwamba mambo yao yatatimizwa kama wanavotamani.
Maisha hayapo fair ila kwakua imani inanguvu kuliko LOGIC hawa GREAT ELITES waliamua kucheza na saikolojia ya mwanadamu kwa kuanzisha DINI na wakaigawanya gawanya ili Ukifeli kuwa huku, utaangukia kule, na ukifeli kule, utaangukia kwingine. All in all, kila mtu awe na sehemu ya kumpa faraja. Maana maisha ya dunia bila faraja, wengi wangekata ringi na nati zingekuwa loose balaa😀
Ila kiuhalisia hakuna kitu kama DINI.Yaani viongozi wote na ELITES wote dini kwao ni tool ya kufikia mipango yao.