dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

    Israel iko tayari kumaliza huu ugomvi wa muda mrefu, ifahamike moja kuwa nani mbabe ukanda huo, nani anayemuabudu Mungu wa kweli, hamna haja ya mikwara oohh masaa 48, yaani fanyeni kweli, mlipigwa tena kwenye unalozi. IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari in a press statement says Israel is...
  2. JamiiForums Tanzania GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

    Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi Mwenye nacho ataongezewa Nimeongea na kapteni wa timu ya Yanga na amenihakikishia kuwa magoli ya kutosha yapo hiyo kesho na...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wakubwa duniani wajitokeza kulaani shambulio la Israel dhidi ya watu wa msaada

    Moja kwa Moja.. Baada ya Jeshi la Israel kufanya Sbambulizi la anga katika mwa Gaza na kukenga gari la shirika la msaada la chakula na kuuwa wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa ndani wakiweno raia watatu wa Uingereza , raia wa Poland , Australia na Palestina viongozi mbalimbali wamejitokeza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mbona shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi dhidi ya dollar ya Marekani?

    Leo dollar moja ya Marekani ni T.shs. 2580 kulikoni?
  5. JamiiForums Tanzania Uturuki wajitetea kwamba matamshi yao dhidi ya Israel ilikuwa siasa tu, wasichukuliwe serious

    Kwamba jameni ile ilikua siasa tu, msiwe mnachukulia kila kitu kwa uzito. ============ While Turkish President Recep Tayyip Erdogan has been attacking Israel since the war in Gaza began, he actually wants to improve diplomatic relations with Israel, Maariv reported on Tuesday. Last week, the...
  6. JamiiForums Tanzania Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

    Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
  8. JamiiForums Tanzania Wacheza kamari hivi mnajua Yanga kapewa odds ndogo dhidi ya Mamelodi, kuna ishara gani hapa?

    Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELODI hapa kuna ishara gani? Ila wale Ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly . Wacha inyeshe.
  9. JamiiForums Tanzania Maoni: Mbinu ya Ushindi kwa Simba SC Leo 29.03.2024 dhidi ya Al Ahly

    Shalom, Simba SC Leo inatakiwa icheze kwa namna ifuatayo. 1. Umakini kwa dakika zote 2. Kucheza kwa speed dakika zote 3. Ujumuishi na haraka katika kulifikia lango la Al Ahly. 4. Kushambulia kwa pamoja na kukaba kwa pamoja, tunaenda wote na kurudi wote. 5. Wanaocheza 7 na 11 wajibu wao pia ni...
  10. JamiiForums Tanzania Israel maji ya shingo yakiri bila msaada wa Marekani haiwezi kushinda vita dhidi ya Hamas

    Israel may not be able to destroy Hamas despite five months of intense fighting in Gaza, intelligence officials have admitted. The main objective of the Gaza invasion faces failure as international support turns against Israel, sources warned. Israel believes it has dismantled Hamas’s main...
  11. JamiiForums Tanzania Napendekeza Kikosi cha Simba SC dhidi ya Al Ahly FC Ijumaa kiwe hiki, wewe je, chako ni kipi?

    1. Ayub Lakred 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Che Malone Fondo 5. Henock Inonga 6. Babacar Mtu Chuma 7. Kibu Denis Kiboko ya Djigui Diarra 8. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma 9. Saido Ntibanzokinza 10. Clatous Chama 11. Luis Jose Miquissone Haya nawe Shuka na Chako hapa kwani...
  12. JamiiForums Tanzania Mganga atabiri matokea ya Simba na yanga yatakavyokuwa dhidi ya wapinzani wao mwishoni mwa week hii

    Wadao wa simba na yanga mnasemaje? 😃😀
  13. M

    JamiiForums Tanzania Eee Mola uipe ushindi mkubwa Al Ahly dhidi ya Simba

    Wape ushindi wale wanaokuabudu kwa dhati ya Moyoni. Na wanyime wale wanafanya ushirikina ili washindi. Eee Mola iwapo kuna mwana Simba yeyote atakayeshirikiana na waganga na washirikina basi iadhibu timu yao ifungwe goli 5. Pia nakuomba usiwape ushindi Simba kwa kuwa wamejaa dhihaka na...
  14. JamiiForums Tanzania Ripoti:Saud Arabia na Falme Za Kiarabu Zachochea Vita Ya Israel Kujilinda Dhidi Ya Magaidi Wa Hamas

    My take :Waarabu pia wamechoshwa na ugaidi wa Hamas. .... https://www.middleeastmonitor.com/20240321-saudi-uae-among-states-fuelling-israels-offensive-on-gaza-report-finds/
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ili Kujustify Ngono Zembe, Jamii imejitengezea Myth Mpya, Njia Nyepesi ili Kujikinga na Maambukizi dhidi ya Ukimwi

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuhalalisha ngono zembe tumejitengenezea dhana mpya eti zinatukinga dhidi ya UKIMWI!

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Shauri dhidi ya Mbunge Gekul lasikilizwa Mahakamani, Wakili Madeleka asema DPP hakuwa na Mamlaka ya kufuta kesi

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imesikiliza shauri la Jinai namba 577/2024 mbele ya Jaji Devotha Kamuzora, linalomhusu Hashim Ally ambaye ni Mrufani dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul ambaye ni Mrufaniwa. Katika rufaa hiyo, Ally anapinga maamuzi yaliyofanywa na Mahakama ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya Tshs dhidi ya USD tatizo ni nini?

    Thamani ya Ksh inaonekana kuimarika dhidi ya Dollar lakin kwa Tsh inazidi kuporomoka na dollar inazidi kuwa adimu ni jambo gani hawa majiran zetu wanafanya vyema zaidi sisi hatukifanyi?
  19. JamiiForums Tanzania Je, unajua mahali pa kuripoti ukifanyiwa uhalifu mtandaoni?

    Kuna muda serikali ilichukua hatua muhimu za kupambana na uonevu wa mtandaoni, udanganyifu, na wizi wa mtandaoni kupitia simu za mkononi. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Andrew Kundo, alitangaza hatua hizi: - Kuundwa kwa kamati ya kitaifa ya kudumu kushughulikia...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi tutakavyoshangilia magoli ya timu yetu ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga

    Kumekuwa na mwamko mkubwa wa wapenzi na mashabiki wa Mamelodi Sundowns kujiandaa kuhudhuria mechi dhidi ya Deportivo de Utopolo itakayofanyika tarehe 30/03/2014. Sasa tumekubaliana kila goli letu likifungwa tutacheza style inayotrend sasa hivi ya amapiano iitwayo Tshwala Bam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…