dhambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kumzoesha Mtoto hela ni dhambi?

    Hii mada niliikuta sehemu imezua mjadala mkali sana baina ya mtoto (mwanafunzi) na mama yake wakati wakifanya manunuzi ya stationery za kwenda shule Januari hii. Mama anashikilia kwamba hela ni hatari kwa mtoto (hasa wa bweni) kwamba yeye mama enzi zake kama mwanafunzi hakupewa hela ambazo...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya kubagua wapinzani inawatafuna CCM

    Kuwepo kwa vyama imara vya upinzani nchini na wabunge wengi wa upinzani bungeni ndiko kunakowaunganisha wanachama na wabunge wa CCM na kujiona ni kitu kimoja dhidi ya vyama na wabunge wa upinzani. CCM kwa kufanya dhambi ya kuviua vyama vya upinzani na kuwa na bunge la Chama kimoja kunasababisha...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

    Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya. Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha. Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana...
  4. Deja vu27

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiingia peponi, wanaume wote hatuna dhambi

    Nimejaribu kuwaza sana mpaka nimefikia kusema hivyo bhasi nina uthibitisho kuhusiana nahili Mwanamke vs mwaume Tuanze na MAUMBILE Mwanamke Kaumbwa na viungo vyote lakini hajaridhika, kapewa kope anaona hazitoshi kaamua kuongeza za kwake za bandia aonekane mzuri, kapewa nywele asilia na za...
  5. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi ujenzi wa madarasa ya Uviko ukaenda sambamba na nyumba za walimu?

    Hivi nani katuroga? Hawa watoto tunaoenda kuwajaza maelfu na maelfu kwa pesa za msaada huku tukijipiga vifua na kutembelea vidole kana kwamba tumetoa mfukoni mwetu, Kuna ugumu Gani angalau kuweka nyumba mbili mbili kila shule Ili kurahisisha na kuongeza morali kwa walimu? Siamini kama akili...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu zinazofanya wanawake kuwanyima wanaume Unyumba

    SABABU KUU ZINAZOFANYA WANAWAKE WALIOOLEWA KUNYIMA WAUME ZAO UNYUMBA!. Na, Robert Heriel. Maelezo haya ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi ambao ulikuwa huru kabisa. Hivyo maelezo haya sio yakujitungia, ni matokeo ya uchunguzi huru nilioufanya. Aidha uchunguzi huu usichukuliwe kuwa Rasmi Kwa...
  7. kali linux

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini starehe nyingi ni dhambi?

    Hello bosses, Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values). Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga...
  8. A Peculiar people

    JamiiForums Tanzania Ijue dhambi

    Habari za wakati huu wakuu.. Hebu leo tujifunze kidogo Juu ya dhambi. Toka kuumbwa kwa ulimwengu halikuwa kisudi la MUNGU watu wake aliowaumba kwa sura na mfano wake(ambayo ni roho) wateseka iwe kwa maradhi, magonjwa ama Vita. Asili ya MUNGU ni wema, hivyo Kila atendalo ni jema. Sasa dhambi...
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kati ya kuchoma vifaranga toka Kenya na kuchoma vibanda vya machinga ipi dhambi kubwa?

    Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mnaobadili Maamuzi ya Awamu ya 5 ambayo mlikuwepo na hii ya 6 mnafanya yaliyokuwa hayatakiwi msisahau Kutubu Dhambi ya Unafiki wenu

    Na wengine kila Maamuzi ya Awamu ya 5 yalipokuwa yakifanywa mkialikwa Ikulu mkipewa muda wa Kuzungumza na Hadhira mlikuwa mkiyaafiki tena na mpaka Kupongeza leo mpo katika Awamu yenu hii ya 6 mmeyabadili bila hata Aibu ya Unafiki uliowajaa kutoka Bara mpaka Visiwani. Kwangu Mimi KEROZENE Mchawi...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tuacheni kumsingizia January Makamba mambo mazito namna hii

    Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi. Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumtega mhadhiri wa UDOM kwa rushwa ya ngono, sasa tuwatega madaktari hospitalini kwa dhambi hiyo hiyo

    Nasikitika hadi Kushangaa kuona Watanzania tukijikita zaidi katika Kupambana na Rushwa ya Ngono kwa Wahadhiri wa Chuo dhidi ya Wanafunzi wa Kike Vyuoni huku tukilisahau eneo lingine Muhimu. Sasa leo nawataarifu kama kuna Sekta ambayo kwa miaka ya hivi karibuni kama Miaka Kumi inaongoza kwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini shetani anatumia nguvu nyingi sana ku-promote ushoga (mapenzi ya jinsia moja) kuliko dhambi nyingine?

    Yani kuna dhambi za uzinzi, uongo, wizi, na vyote vinampeleka mtu motoni ila cjaelewa kwanini ibilisi anapenda sana kupigia promo ushoga kupitia filamu za hollywood, mitandao, nyimbo za wasanii, taasisi kubwa za kifedha duniani, na mataifa makubwa, hadi kufikia baadhi ya mataifa kuhalalisha...
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ray Vanny aongeze umakini la sivyo atatenda dhambi kubwa sana

    Sio kwa ubaya ni ushauri tu. Harmonize ilimshinda, Ray Vanny naye awe makini kidogo. Ni hayo tu.
  15. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Ndiyo kusema Kiswahili hakitambuliki kiasi hiki? Makala kama hii kutotaja Kiswahili ni dhambi

    Researchers want to expand scientific terms in African languages including Luganda, which is spoken in East Africa. Pictured: student-teachers in Kampala.Credit: Eye Ubiquitous/Alamy There’s no original isiZulu word for dinosaur. Germs are called amagciwane, but there are no separate words for...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya kuua humchukiza sana Mwenyezi Mungu

    Kitendo cha kutoa uhai wa mtu mwingine makusudi kinamchukiza sana Mwenyezi Mungu. Kitendo hiki kinaingilia na kuvuruga uumbaji na mipango ya Mungu kwa mwanadamu duniani. Kabla ya kushushwa kwa Amri kumi za Mungu, watu waliuana sana. Waliuana katika kuteka miji na utawala, visa vya...
  17. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Kwani kudai Katiba mpya kuna dhambi gani?

    Hebu tuambizane ukweli, kudai katiba mpya kuna dhambi gani katika taifa hili mpaka kufikia hatua ya kufungulia na kesi za ugaidi? Kwani mjadala tu wa kuidai katiba mpya una tatizo gani hadi kufikia kukamata viongozi wote wa chama kimoja kilichotajwa kufanya mjadala huo? Hivi ni kweli CCM...
  18. T

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka anaponzwa na sifa kutoka mitandaoni

    Kiufupi RC Mtaka ni mtu anayeamini katika kufurahisha watu washangilie kwa muda baadae kombe linafunikwa mwanaharamu anapita bila mabadiliko kutokea au kufanyika. RC ni mtu anayejijenga kupitia mitandao ya kijamii kwa lengo la umaarufu bali si utendaji. Nashangazwa sana ni kwa namna gani...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa lawama anazopewa Hayati Magufuli na Antony Diallo wa Sahara Media ni wazi CCM ya 2015 - 2021 ina Dhambi za Dhuluma

    Kama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na 'kudharauliwa' mno na uliokuwa Utawala wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na CCM yake. Na 99% ya Mazungumzo...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nimesababisha kutosamehewa dhambi nimejamba wakati nikiungama mbele ya padri

    Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nimeachia kiduchu duchu harufu ndio iliyoniumbua. Ghafla nimeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia. Je nitakuwa nimesamehewa kwel? Maana ushuzi haukuwa wa kawaida.
Back
Top Bottom