demokrasia

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dira ya 2050 inaanza kwa kujidanganya!!!! eti kuna demokrasia na uhuru wa mahakama!!!!

    Hapa Mbowe kasema ukweli https://youtu.be/lJ_VHuVjKnc?si=MhaK0MDr-HUhBDeW
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimealikwa Dira 2050 kama Mtanzania, nina haki ya kuja, tuache unafiki

  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Dira ya taifa ya maendeleo 2050 bila Haki, Demokrasia na Katiba mpya ni uchafu mtupu

    Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu. Watanzania wa sasa...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  5. Fanfa

    JamiiForums Tanzania Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

    Hivi karibuni ndugu Polepole baada ya kujiuzuru ubalozi ame-trend sana na kujipatia maujiko (umaarufu) kuwa ni mpigania haki, demokrasia na utawala Bora. Swali la kujiuliza ni kweli Polepole ana uchungu na mpigania haki, demokrasia na utawala Bora???. Hebu tujiulize maswali mengine haya tena...
  6. rushanju

    JamiiForums Tanzania Mjadala halisi wa wabunge la Ulaya kuhusu demokrasia za Afrika

    Hapa unaweza kujionea mwanzo mwisho wa kilichodiliwa jana kuhusu demokrasia za nchi zetu. https://www.youtube.com/live/UKi9Fg-SmT8?si=kWlHqF6ElFu-bIDb
  7. Comred Mbwana Allyamtu

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu UTV Azam media- juu dhana ya viongozi wengi Afrika kusalia madarakani kwa muda mrefu kwa kofia ya demokrasia na namna

    https://youtu.be/DfwL5QaP64Q?si=VfdAw3erDx0hThYP Uchambuzi wangu UTV Azam media- morning trumpet juu dhana ya viongozi wengi Afrika kusalia madarakani kwa muda mrefu kwa kofia ya demokrasia na namna wanavyo itumia kofia hiyo vibaya ili kujitajirisha...
  8. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Polepole kaonyesha kivitendo maana ya Demokrasia: Usipokubaliana na Kiongozi wako, unajiuzulu!

    Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia. Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa. Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya nafsi. Kujiuzulu kwake Polepole kutamjengea heshima in the long run. Bila kuonyesha sababu zake za...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uteuzi wa Wabunge ndani ya CCM unatoa changamoto kubwa, Rushwa na hauna haki katika kujenga demokrasia ya kweli nchini Tanzania

    Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Kimataifa: Balozi wa Tanzania nchini Cuba kajiuzulu kuonyesha Kupingana na Uminywaji wa Haki na Demokrasia Nchini humo!

    Wakuu, Kama Kuna Jambo Polepole kalifanyia Taifa hili, na Atabakia kwenye Historia ya Watu Muhimu nchini, ni Hilo la yeye kujiuzulu. Sasa hapa ieleweke, Tatizo sio yeye kujiuzulu, NI TITLE YAKE 'BALOZI' ...yaan BALOZI alochaguliwa na Rais, kajiuzulu. Vyombo vya Habari Kimataifa, Mashirika ya...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watu watano waliohusika pakubwa zaidi kumsaidia Magufuli kuharibu demokrasia ya Tanzania

    Utazunguka kokote ila hawa ndio walikuwa mstari wa mbele na jiwe muda wote kuturudisha kwenye chama kimoja. 1. Bashiru Ally 2. Polepole 3. Ndugai 4. Makonda 5. Afande Sirro Historia ya Tanzania mpya itakapoandikwa hawa watano hawatakosekana kama sehemu ya wawezeshaji wakuu wa utawala wa giza wa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA mjifunze demokrasia hii ya CCM upatikanaji wa wagombea

    Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote. Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Mazuri yake Hayati Magufuli ndiye aliyepanda Mbegu Mbaya sana ya kuua Demokrasia Nchini

    GT. Haya tunayoyana sasa ni mwendelezo wa ukandmaizaji uliopitiliza kuanzia awamu ya tano iliyoamini katika chama kimoja. Kwenye demokrasia Kikwete hatuwezi kumlaumu sana japo ufisadi ulimshinda. Uhuni unaotendeka sasa hivi ni matokeo ya 2020 aliyopanda Hayati Magufuli.. No reforms no election.
  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Witara akimwaga machozi baada ya kuliwa kichwa na wajumbe

    Waitara analia. Magufuli hayupo Wajumbe wamemla kichwa tayari
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

    Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia? Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu? Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usitumie Demokrasia na uhuru ambao haukuutafuta kutaka uhuru na demokrasia Ya watu utakwama. Usijenge nyumba kwenye msingi ambao hukuujenga wewe

    Habari za Jumapili! Kuna mambo watu hawayaelewi yanayohusu uhuru, utawala, kujitawala na mambo yake. Mimi kazi yangu ni kufungua minyororo yako na yajamii! Uhuru wowote ambao hukujenga msingi wake unamipaka! Weka akilini hiyo. Yaani ukishaona jambo Fulani hukulianzisha, hukujenga msingi wake...
  17. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Wagombea CCM Wafungwa Midomo: "Tunazuiwa Kukosoa, Huu Sio Uhuru Wala Demokrasia"

    Wimbi la ukimya linatawala mchakato wa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wagombea na watia nia wakizuiwa kuzungumza hadharani kuhusu matarajio yao, hoja zao za msingi, au mapungufu ya wabunge na madiwani waliomaliza muda wao. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la uchukuaji wa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha demokrasi kuharibika nchini ni awamu ya tano

    Awamu ya tano haikutaka kabisa vyama vya upinzani viwepo ndo mana yule jamaa alizuia mikutano yote ya upinzani tukabaki tunalazimishwa kuipenda ccm na ukiwa kinyume tu ama unapigwa risasi au unapotezwa mazima. Udicator nchini umeanzia kwa jamaa. Jk alipromote sana demokrasia na siasa zilikuwa...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kenya ni demokrasia inayoharibiwa na mzigo wa madeni uliokithiri.

    Kwa miaka mingi Tangu nyakati za Uhuru Kenyatta na sasa Ruto serikali ya Kenya ilikuwa katika bonanza la kukopa pesa ndani na nje ya nchi kwa pupa huku ikiwaaminisha raia wake deni lao ni himilivu na kwa ajili ya maendeleo yao. Umefika wakati sasa madeni yameiva, theluthi mbili(60%) ya mapato...
  20. funaku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matunda ya "demokrasia" kenya inashuhudia vifo zaidi ya 16 kutokana na maandamano

    Hii ni aibu kubwa kwa wote wanaopigania ule uhuru usio na mipaka au heshima. Hii ni demokrasia gani inayoleta maafa na chaos?
Back
Top Bottom