Tangu baada ya uchaguzi wa 2015 ni ukweli usiofichika kuwa Demokrasia ya vyama vingi imepitia katika mtihani mkubwa.
Zuio la shughuli za kisiasa kwa vyama pinzani,hamahama ya waliochaguliwa toka upinzani kwenda kuunga mkono juhudi, kesi za hapa na pale, uondoaji wa viongozi wa kisiasa katika...
Wabunge wawili wa Chadema, David Silende (Momba) na Peter Lijualikali (Kilombero) wamehudhuria bungeni leo licha ya chama chao kuwataka wabunge wake kutohudhuria vikao vya Bunge ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona
Mbunge wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali,
Hivi karibuni...
Hivi Tanzania tuna misingi ya demokrasia? Tangu kuingia mfumo wa vyama vingi Tanzania hadi sasa kumekuweko kweli na mazingira huru ya harakati za vyama vya kisiasa? kama kama kweli kwa nini upinzani umeshindwa kuitoa CCM?
========
Demokrasia (kutoka neno la Kigiriki δημοκρατία, dēmokratía...
Muda huu mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa corona
Updates
Kama chama mwenyekiti ametangaza kusitisha shughuli za mikutano hapo April waliotangaza kuianza baada ya muda kutokana na katazo batili la mh. Rais
“Mnazunguka huko duniani, mnaenda ulaya mnacheka cheka mnapewa na vitiketi vya uwongo unakuja hapa mnakuja kukuta maendeleo ya nchi, baadhi ya mataifa mengi yaliyokuwa yakiendelea yameuawa na neno Demokrasia,”- RC, Paul Makonda.
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
Salama wakuu,
Wakuu wana JF, Tunafanya utafiti kuhusu Mchango wa mitandao ya kijamii kwenye demokrasia Tanzania.
Lengo la utafiti huu ni kutafuta taarifa zitakazojibu maswali mbalimbali kuhusu uhusiano wa mitandao ya kijamii na demokrasia.
Maswali yanayohitaji kupatiwa majibu ni pamoja na...
Viongozi wa ziara hiyo inayoanza mara moja ni Zitto Kabwe na Nassor Mazrui , ambao wamepanga kuonana na watanzania walio nje ya nchi pamoja Mabeberu ili kuzuia ukandamizaji wa demokrasia nchini Tanzania ambao umefikia kiwango cha kutisha .
Watanzania wote makini wako tayari kuthamini mchango wa...
Yaani wakati wa kinana kidogo ulikuwa unaona kabisa kuna sera za kukampeni na wabunge na wagombea wengine walikuwa wanashindana na kishinda na kushidwa.
Sasa huyu Profesa ambaye hajui, hapendi na wala si mwana siasa sera yake ni kupambana na viongozi wa uchaguzi kuzuia wagombea, kuingiza wakuu...
Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla,
PEOPLE'S
Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika Mwaka Mpya unaokuja.
Pili, naomba kuwapongeza kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Chama chetu katika...
Salamu!
Katika taifa linalo jinasibu kuwa ni la 'Kidemokrasia' na pia lenye 'Hazina Kubwa' ya viongozi (wa kila rika na jinsia), kuna ulazima ama umuhimu gani kwa kiongozi wa taifa hilo kuongezewa ukomo wa muda wa kukaa madarakani?
Nafahamu kuna watakaosema kuwa "kama wananchi wanahitaji...
December 11, 2019
Dar-Es-Salaam, Tanzania
Mada : Sera pacha ya Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu
Dr. Azaveli Lwaitama akizungumza na wazee wa CHADEMA ameainisha jinsi sera pacha ya Demokrasia na Maendeleo inavyoshika kasi ushawishi miongoni mwa watu-huru.
Sera hii pacha ina kwenda...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano.
Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
Demokrasia ya vyama vyetu vya upinzani hapa kwetu inatia mashaka sana maana vyote vimekuwa vinahubiri yale wasiotenda wala kuyafanya katika vyama vyao.
Vingine tena vimekuwa sio tena vyama vya upinzani bali vyama vya kiharakati maana wameshindwa kutofautisha ule mstari unawagawa kati yao...
Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019.
Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani.
Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76.
Kulingana na taratibu za chama hicho...
Ni kiherehere changu tu kujiuliza swali la kimsingi kabisa la demokrasia ndani ya CHADEMA. Mimi si mwanachama wa chama hiki cha upinzani lakini ndio chama rasmi kinachoongoza kambi ya upinzani bungeni.
Sasa hivi CHADEMA wamo katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama na kati ya vinyang'anyiro...
Sote tumeshuhudia uvuruga wa demokrasia unaoendelea nchini chini ya usimamizi wa CCM. CCM imesimika sheria za kiimla na za kidikteta ambazo hata wakoloni hawakutunga sheria za kihalifu za kiwango kikubwa kiasi hiki.
Sote tumeona kwa macho na tumesikia kwa masikio katibu mkuu wa CCM akiikana...
Waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi amehudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti ya Building Bridge Initiatives (BBI) nchini Kenya ambayo imehudhuriwa na viongozi wote wakuu wa Jamhuri ya Kenya.
Miongoni mwa mapendekezo ya BBI ni haya:
1. Uwepo wa cheo cha Waziri mkuu ambaye ni lazima awe Mbunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.