demokrasia

  1. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, kanuni za maadili ya uchaguzi wa mwaka 2025 ni nini? Kati ya nidhamu au udhalimu wa kisheria

    Je, KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2025 NI NINI? KATI YA NIDHAMU AU UDHALIMU WA KISHERIA I. DHANA YA MSINGI KANUNI ZINAZOVAA NGOZI YA DEMOKRASIA Kanuni hizi zinasisitiza maadili kama chombo cha kulinda uchaguzi huru, wa haki na wa amani. Lakini kama Mtanzania ninatoa onyo: "Si kila...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri demokrasia inafikia mwisho wake na inaenda kutoweka duniani, hakuna tena sababu za msingi kuumia ukipigania demokrasia

    Ukiangalia hali zote za kisiasa na uchumi zinazoendelea duniani kote kwa muongo mmoja uliopita inaashiria dhahiri demokrasia imechokwa na inaenda kufikia mwisho hivi karibuni. Watu watakaoendelea kuzungumiza demokrasia wataonekana ni wehu na wendawazimu tu wasioona na kukubali uhalisia. Ukweli...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Licha ya demokrasia kusitawi sana Tanazania, Je, kinachoonekana kwenye siasa za upinzani ni CHADEMA kujitenga yenyewe au imetengwa na upinzani?

    Na je, Chadema inafanya siasa kweli? Sote ni mashahidi, uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao...
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Demokrasia ya kenya ipo miaka 50 mbele? ndo hii ama kuna ingine?

    https://www.tiktok.com/@254show/video/7515130392211410194?is_from_webapp=1&sender_device=pc
  5. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Tukisusia uchaguzi tutakuwa tunaimarisha hujuma dhidi ya demokrasia. ACT Wazalendo tutaikabili CCM itakavyokuja

    Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu akizungumza katika mkutano wa hadhara Temeke ameendelea kusisitiza kuwa chama chao kitashiriki uchaguzi ili kuing'oa CCM Madarakati. Amesema ''Tumeona na tumejifunza tunaposusia uchaguzi, tunaendelea kuimarisha hujuma dhidi ya demokrasia, CCIM...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Demokrasia sio ruhusa ya kutukana wengine, kama Uhuru ni kutukanana tungeutafuta wa nini?

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi. Amesema lengo la uhuru ni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya haitaweza kufumbia macho serikali ya Tanzania tena! Lazima watasaidia demokrasia

    Serikali ya Kenya haitaweza kufumbia macho serikali ya Tanzania tena! Lazima watasaidia demokrasia. Kikubwa ni kwamba Kenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania. Lakini Tanzania na Kenya ni watu walewale waliotawaliwa na makoloni tofauti. Kuna maelewano sasa kwa Raisi Ruto wa Kenya na Odinga...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maswali yangu kwa Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Sheria za Uchaguzi na Demokrasia

    Ukiwa ni mwendelezo wa kuwafanya na kuwaona Watanzania wote kama mazuzu vile, leo Waziri wa Katiba na Sheria amesikika huko Tarime akisema hoja ya No Reforms No Election haina mashiko kwa sababu Marekebisho ya Sheria yalishafanyia ( Reforms zilishafanyika) Ili kumuonesha Waziri Ndumbaro...
  9. Kiranga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sharti la ubunge la kujua kusoma na kuandika tujiongeze? Vipi demokrasia?

    Mwaka wa uchaguzi. Mada za kifalsafa za uchaguzi. Watanzania wengi wamekuwa wakilitaja suala la kigezo cha elimu cha kugombea ubunge kuwa kujua kusoma na kuandika kama tatizo. Mantiki yao ikiwa, wabunge wasio na elimu rasmi kubwa, mfano angalau degree moja, ni tatizo bungeni, kwa sababu...
  10. DolphinT

    JamiiForums Tanzania "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma"

    "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma" Katika baadhi ya nchi za Afrika, hali ya kisiasa imeendelea kuonyesha mwelekeo wa kuporomoka kwa misingi ya utawala wa sheria, demokrasia, na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ipo juu sana tanzani. Hongera mama. Jpm aliogoa sana demokrasi kwa kuw hakujiamini.

    Wote tunakumbuka kipindi kile ukitokea we ni mpinzani unawindwa na akinq sabaya na makonda kwa maagizo ya yule nduli. Alifunga mikutano yote ya chadema kwa kuwahofia na hakuwa anapenda kabisa siasa ndo mana nchi iliongozwa kwa uongo mwingi mana hakukuwa na mkosoaji na aliogopa hilo Mama...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Demokrasia imara Tanzania chini ya Dkt. Samia

    DEMOKRASIA IMARA TANZANIA CHINI YA DKT. SAMIA Rais Samia Suluhu Hassan amechukua hatua kadhaa ambazo zimeonekana kuimarisha demokrasia nchini Tanzania tangu achukue madaraka mwaka 2021. Baadhi ya hatua hizi ni pamoja na👇 Kuruhusu Mikutano ya Kisiasa Tofauti na miaka ya awali ambapo kulikuwa...
  13. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni yetu wote

    “Kuzuia uchaguzi au kuwapinga wengine wasishiriki katika kupiga kura si tu utoto wa kisiasa, bali ni kiashiria cha ugonjwa wa kijamii unaohitaji tiba ya haraka. Demokrasia isiyolindwa ni ishara ya jamii inayopoteza dira yake. Ni wajibu wa wale waliopewa dhamana kutunza dira ya jamii kwa kutimiza...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Kufungia Makanisa ni Tusi kwa Katiba, Unajisi kwa Demokrasia na Vita Dhidi ya Mungu Mwenyewe

    Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
  15. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA kurushwa live ni hatua ya kihistoria ya uwazi na demokrasia

    Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha misingi ya utawala bora, kwa kuruhusu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kesi ya kiongozi wa...
  16. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Afrika haihitaji Demokrasia bali inahitaji Viongozi wenye Maono: Matajiri na Viongozi wa Nchi hii wawaze wanawarithisha Nchi ya aina gani watoto wao

    Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi linaonekana dhahiri tunapoyaangalia mataifa ya Afrika kwa macho ya ukweli usiofungwa na siasa wala hisia...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAWACHA: Tanzania haina demokrasia ya kweli, tupiganie mabadiliko, CHADEMA hatuogopi uchaguzi bali tunadai haki za wananchi

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria, akisisitiza kuwa bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, hakutakuwa na uchaguzi. Akihutubia wakazi...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Kenya si demokrasia tena bali chombo cha kuwa pumbaza.

    Kinachonishangaza ni kwamba wanafanya uchaguzi mwaka 2027, but wapo busy as if uchaguzi unafanyika July 2025!... Jamii ya magharibi ilituweza sana kutupatia mfumo ambao baadhi bila kujielewa umewafanya wawe busy for nothing, the way wachache wanavyotaka tanzania yetu iwe hivyo! Wenzetu kila...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nchi kuvaa magwanda ya red army ya wakomunisti wa China inamaanisha nini katika nchi inayojinasibu ya demokrasia?

Back
Top Bottom