Wakuu,
Hio ni Kauli ya Rais mstaafu wa Marekani Bwana Barack Obama akingumzia Demokasia mwaka 2018 alipokuwa Afrika kUsini.
Imesambaa tena hasa baada ya taarifa za uchaguzi Ushindi wa kimaajabu wa Rais Samia kuenea duniani.
"We have to stop pretending that countries that just hold an election...
Maandamano ya tarehe 29/10/2025 yalienda kinyume cha matarajio ila kuna upande yamefanikiwa. Sitaenda ndani sana kwenye uchambuzi huo kwa sasa ili naomba nielezee nini kifanyike kuanzia sasa ili nafasi nyingine ikipatikana iwe bora zaidi.
1. Ni muhimu kuwa na viongozi on the ground. Hawa...
Tundu Lissu wapewa heshima ya kuwa bingwa wa demokrasia barani Afrika hii huwezi kuona machawa wakipost
lissu sio muhaini ni kesi za vitoto vya shetani
Jerry John Rawlings anabaki kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na wenye utata mkubwa katika historia ya kisasa ya Ghana. Uongozi wake ulidumu kwa zaidi ya miongo miwili — kuanzia utawala wa kijeshi hadi mfumo wa vyama vingi. Swali la kama aliimarisha au alidhoofisha demokrasia ya Ghana linaweza...
Tafiti za Afrobarometer zimeonesha chini ya 50% ya Waafrika Kusini wanapendelea demokrasia kuliko aina nyingine za utawala. Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 25 ya tafiti nchini Afrika Kusini, idadi ya raia wanaounga mkono utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wale wanaoupinga...
Katika nyakati ambazo dunia inapiga hatua kuelekea ustaarabu wa kweli wa kisiasa, bado wapo viongozi wanaogandamiza misingi ya haki, uhuru wa kiraia, na demokrasia. Katika mazingira haya, haiwezi kuwa kosa kumuita kiongozi wa namna hii "shetani wa dunia", ikiwa hataki kukemea utekaji wa raia...
Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
Hizi taasisi japo hazina nguvu kali za kidola zimehusika sana kuvuruga mchakato wa mabadiliko, kufifisha na kurudisha nyuma hata jitihada kidogo za kutetea raia, siku moja kama tutafanikiwa kupata demokrasia ya kweli zinapaswa kufutwa kabisa.
1. Jukwaa la Wahariri(TEF)
2. BASATA
3. Chama cha...
Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo
Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya
1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai
Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni
2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki.
Watu...
Namheshimu sana na mno Kaka Andrew Nyerere na nimeuheshimu Mchango wake ila sikubaliani nae kwa 100% kumzuia Rais Samia asiende Kuzuru Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ni kweli kabisa kuwa Demokrasia kwa sasa nchini Tanzania iko mahututi ICU na Serikali ya CCM chini ya Rais Samia...
Simulizi ya Luhaga Mpina imebaki kama moja ya hadithi za kisiasa yenye kusisimua zaidi katika historia ya uchaguzi wa Tanzania. Fikiria Kutoka kwenye kura 92.3% za uteuzi ndani ya chama chake, kisha kuwekewa pingamizi mara ya kwanza na kulishinda kwa kesi mahakamani, kisha kuangukia pua kwa mara...
1 Heche na wenzake wapigania demokrasia, watumwa wa Bwana wetu Yesu Kristo, kwa Watanzania wote walioko katika mapambano ya demokrasia na katiba mpya, pamoja na viongozi wao na wanaharakati wote:
2 Neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo ziwe nanyi.
3 Namshukuru Mungu...
Leo Septemba 15, CHADEMA wanaadhimisha siku ya kimataifa ya Demokrasia kidigitali ka kuwakutanisha watoa mada #Barazani na kujadili hali ya kidemokrasia nchini.
Kauli mbiu ya mwaka huu "Demokrasia na Uchaguzi Bandia Tanzania." Watu mbalimbali wa ndani na nje ya Chama watashiriki...
Katika hali ya kustaajabisha African Media Barometer imefanya survey inayoonesha kuwa watz wanaamini wana demokrasia.
Kutokana na uhalisia wanasema kweli demokrasia iko kwenye macho ya anayetazama. Yaani demokrasia sio tena suala la kufuatwa kwa principles bali ni namna mtu anavyoona inafaa...
Serikali: Vita na demokrasia tayari Demokrasia imeshinda kwa Watanzania. Kuteka watu , kutisha, kufungia vyombo na kutumia mahakama na Bunge vyote vimeshindikana.
Kutumia pesa nako sasa kunashindikana. Kutumia Polisi na vyombo vya usalama sasa inashindikana.
Ikulu imezungukwa na watu waongo...
Taarifa kutoka Arusha
Wazee maarufu na wa CHADEMA hapa Arusha Baba Boni, Mzee Lenald Mao na Mzee William Lusingo wamekamatwa tar 07.09.2025, wanashikiliwa kituo kikuu cha police Arusha. Wamenyimwa dhamana..
#Mashujaaday💔
Habari watanzania
Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea.
Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu,
Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amesema kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi mikutano yote ya hadhara katika mkoa huo imewekwa wazi katika viwanja na tarehe za mikutano kuanzia tarehe iliyotangazwa na tume hadi karibu na uchaguzi Mkuu
RC Chalamila ameyasema...
Kumekuwa na kauli za "Hata hao wapinzani na wao wanapigania matumbo Yao, utasikia mtu anasema hata huyo LISSU anajipambania yeye na familia yake"
Ni ukweli kwamba hata tukiwapa nchi chadema wataila wanavyotaka, lakini ndio demokrasia inavyotaka.
Lengo la Demokrasia ni kuua tawala za kifalme na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.