demokrasia

  1. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni yetu wote

    “Kuzuia uchaguzi au kuwapinga wengine wasishiriki katika kupiga kura si tu utoto wa kisiasa, bali ni kiashiria cha ugonjwa wa kijamii unaohitaji tiba ya haraka. Demokrasia isiyolindwa ni ishara ya jamii inayopoteza dira yake. Ni wajibu wa wale waliopewa dhamana kutunza dira ya jamii kwa kutimiza...
  2. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Kufungia Makanisa ni Tusi kwa Katiba, Unajisi kwa Demokrasia na Vita Dhidi ya Mungu Mwenyewe

    Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
  3. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA kurushwa live ni hatua ya kihistoria ya uwazi na demokrasia

    Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha misingi ya utawala bora, kwa kuruhusu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kesi ya kiongozi wa...
  4. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Afrika haihitaji Demokrasia bali inahitaji Viongozi wenye Maono: Matajiri na Viongozi wa Nchi hii wawaze wanawarithisha Nchi ya aina gani watoto wao

    Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi linaonekana dhahiri tunapoyaangalia mataifa ya Afrika kwa macho ya ukweli usiofungwa na siasa wala hisia...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAWACHA: Tanzania haina demokrasia ya kweli, tupiganie mabadiliko, CHADEMA hatuogopi uchaguzi bali tunadai haki za wananchi

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria, akisisitiza kuwa bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, hakutakuwa na uchaguzi. Akihutubia wakazi...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Kenya si demokrasia tena bali chombo cha kuwa pumbaza.

    Kinachonishangaza ni kwamba wanafanya uchaguzi mwaka 2027, but wapo busy as if uchaguzi unafanyika July 2025!... Jamii ya magharibi ilituweza sana kutupatia mfumo ambao baadhi bila kujielewa umewafanya wawe busy for nothing, the way wachache wanavyotaka tanzania yetu iwe hivyo! Wenzetu kila...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nchi kuvaa magwanda ya red army ya wakomunisti wa China inamaanisha nini katika nchi inayojinasibu ya demokrasia?

  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kama imeshindikana demokrasia basi upatikane mfumo wenye faida kama Asia mashariki

    Kama mfumo wa kidemokrasia umeshindikana kabisa kuwepo nchini jambo ambalo mpaka sasa nakiri kushindikana kwake basi upatikane udikteta wenye faida. Si jambo jema kukosekana vyote mnaweza kutunyima haki muhimu kama uhuru wa kisiasa,kimaoni,uchaguzi huru n.k lakini uhuru wa kiuchumi na kukuza...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe: Tukienda kwenye mikutano ya CCM wanatupa hela, tunazichukua na tutaendelea kuzichukua

    Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema: “Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na uhuru nchini umepitiliza mipaka mpaka akina Heche wanatukana Polisi na Wanaharakati wakivuka mipaka kuja kuleta uchochezi nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani. Uhuru umezidi mpaka sasa watu kama akina Heche wanafikia hatua ya kusimama kwenye magari yao...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa nchi za Afrika haukupatikana kupitia demokrasia na haitokaa itokee bali kwa mtutu wa bunduki

    Huu ndiyo uhalisia "no pain no gain"
  13. H

    JamiiForums Tanzania Demokrasia imeshindwa Afrika kwa sasa mapinduzi ndiyo suluhisho

    Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo. Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Kila mwenye sifa ana haki kugombea nafasi yoyote, demokrasia ni mapambano, wagombea nane wa ubunge wamechukua fomu Mkoani Songwe

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema kuwa Chama hicho kinaamini katika kuonesha demokrasia kwa vitendo hivyo hakuna mtu yeyote ambaye ana hatimiliki ya kugombea ndani ya Chama. Ndugu Ado amesema hayo kwenye tukio la Songwe Day lililowakutanisha watia nia wanaogombea nafasi za...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kuundwa kwa majimbo mapya ya uchaguzi ni kuboresha demokrasia na maendeleo ya kijamii

    🔹. Kuongeza uwakilishi – Wananchi wengi zaidi wanapata wawakilishi wa karibu wanaojua changamoto zao. 🔹. Kuhamasisha ushiriki wa wananchi – Inarahisisha wananchi kushiriki katika uchaguzi na masuala ya maendeleo. 🔹. Kusogeza huduma karibu – Majimbo mapya hurahisisha upatikanaji wa huduma za...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Mkapa alisimamia uchumi, Kikwete demokrasia, Magufuli maliasili, Samia kama hivyo vimekushinda hata UTU?

    Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care. Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata? Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu. Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
  17. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kweli Mbowe ni gwiji wa siasa. Atabadili jina la chapa (brand name) ya chama hicho kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ya Umma (CHADEMAU)

    Freeman Mbowe ni mtoto wa mjini, ni mfanya biashara hodari na siasa ni biashara kama biashara zingine za utoaji huduma. Ndiyo maana kwenye nchi ka Marekani huwezi kuwa rais wa nchi hiyo kama wewe siyo mfanyabiashara mkubwa (billionea wa USD) na rais wa Marekani huchaguliwa na kikundi cha...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu dini za kuja na demokrasia dhidi ya Waafrika

    Ukweli ni: 1.Dini iliundwa kuwazuia Waafrika kuhoji matendo ya wakoloni (wanaharakati), kupitia ujanja wa Brian. 2. Demokrasia iliundwa ili kulinda uamuzi wa viongozi wa Kiafrika kwa mapenzi ya wakoloni (wanaharakati), kiongozi yeyote ambaye anakiuka au kutowatii huondolewa kwa mapinduzi au...
  19. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni Kichaka cha Unyonyaji na Kura ni silaha ya Umaskini.

    Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ninakusudia kuliandikia barua nzito sana Bunge la Ulaya kulieleza kwa kina kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia katika kuimarisha Demokrasia na haki

    Ndugu zangu Watanzania, Nimegundua hawa ndugu zetu wazungu wanafanya mambo au kutoa matamko au kuzungumza jambo au mambo au kitu. Au kutoa taarifa au kujadili jambo au taarifa au kufanya maamuzi kwenye jambo fulani kwa taarifa au habari za kusikia tu au kuambiwa tu au kulishwa na kupotoshwa tu...
Back
Top Bottom