demokrasia

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwa uhalifu wa demokrasia unaofanywa na CCM, bado kinastahili kuitwa chama cha siasa?

    Sote tumeshuhudia uvuruga wa demokrasia unaoendelea nchini chini ya usimamizi wa CCM. CCM imesimika sheria za kiimla na za kidikteta ambazo hata wakoloni hawakutunga sheria za kihalifu za kiwango kikubwa kiasi hiki. Sote tumeona kwa macho na tumesikia kwa masikio katibu mkuu wa CCM akiikana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi amehudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti ya Building Bridge Initiatives (BBI) nchini Kenya ambayo imehudhuriwa na viongozi wote wakuu wa Jamhuri ya Kenya. Miongoni mwa mapendekezo ya BBI ni haya: 1. Uwepo wa cheo cha Waziri mkuu ambaye ni lazima awe Mbunge wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nzega: Rais Magufuli asema Demokrasia imeimarika sana nchini ndio maana wengine walijitoa kwenye uchaguzi, wengine wakashinda na kushindwa

    Aman iwe juu yenu wakuu, Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa. Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya uenyekiti na ngazi nyingine kikanda zinavyominya demokrasia ndani ya CHADEMA

    Uchaguzi wa chama cha demokrasia na maendeleo unaoendelea mpaka sasa tumeanza kushuhudi uminywaji wa demokrasia, ukabila na ukanda vimeshika kasi kubwa. Kwa wazoefu wa uchaguzi ndani ya chama hicho wameeleza wazi kuwa ndani ya chama kumekuwa na ngazi za uongozi zimeonekana kuwa ni za baadhi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Serikali ya awamu ya tano inatumia propaganda ya kuminya Demokrasia katika kivuli cha kuleta maendeleo?

    Tumekuwa tukiwasikia sana watetezi wa utawala huu wa awamu ya tano wakitetea sana uminyaji wa demokrasia unaofanywa na serikali hiyo kuwa ni sahihi kwa madai ya kutumia kivuli cha kuleta maendeleo ya nchi hii. Mifano mikubwa wanayotoa hao watetezi wao ni kasi ya maendeleo wanayodai inafanywa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demokrasia Tanzania yazidi kukita mzizi, Kenya tupate funzo gani hapa?

    HAPA KAZI TU, ASILIMIA MIA BIN MIA....!!!!! UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: CCM YASHINDA KWA ASILIMIA 99.9 - Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza kuwa CCM imeshinda Vijiji 12,260 sawa na 99.9% - Pia, kimeshinda Mitaa 4,263 sawa na 100% na kikishinda Vitongoji 63,970 sawa na 99.4% Soma...
  8. JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema: CCM wamenichezea rafu Uchaguzi Serikali za Mitaa, aonya

    Mwenyekiti wa TLP amesema CCM na wasimamizi wa serikali za mitaa wamemchezea rafu, anasema mfano Moshi, mawakala wa chama chake wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura. Ameonya kama hali ndo hii, kuna uwezekano wa kutokea machafuko huko mbeleni. **** Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Demokrasia Tanzania: U-Magufuli na mabadiliko yasiyo na baraka za Watanzania

    Kwenye viunga vya wasomi na wanasiasa, wachambuzi na wanaharakati hili jambo linaendelea kujadiliwa sana. Katika dhamira ya kuleta mabadiliko Rais Magufuli anaonekana kuwa na dhamira lakini amekosa wapi na lipi ashike. Amekosa mipango ambayo ingeihakikishia Tanzania mabadiliko aliyokusudia...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi watakiwa kujitokeza kwa wingi, uchaguzi kuwa huru na wa haki, demokrasia kushamiri, washindi halali kutangazwa

    Wanabodi, Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa hapo kesho, wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi, kuwachagua viongozi bora, huku wasimamizi wa uchaguzi, kutakiwa kutenda haki kwa washindi halali kutangazwa. Wito huo, umetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
  11. JamiiForums Tanzania Chama Cha Demokrasia makini chasema tutapata ushindi wa “kisulisuli” katika uchaguzi wa serikali za mitaa

    Chama cha Demokrasia Makini kimesema ili kujihakikishia ushindi wa “Kisulisuli” kwa wagombea wake wote, viongozi wote wa ngazi ya juu ya chama hicho wamegawana kwa kila mmoja kwenda katika mkoa wake na kufanya kampeni kwa kadri wanavyoweza kwa kushirikiana na wagombea pamoja na wanachama...
  12. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan

    Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam tangu Novemba 17, 2019. Mbowe ni miongoni mwa viongozi tisa wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi namba 112/...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani hapa nchini na mabingwa wa demokrasia kwa kuiiishi, leo kupitia Karibu Mkuu Vincent Mashinji, kimetangaza rasmi kufungua mchakato wa kupata wagombea watakaochuana kwa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda na Jamhuri ya Demokrasia Kongo zafikia makubaliano ya kuboresha miundombinu baina ya nchi zao ili kurahisisha biashara

    Uganda na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo zimesaini mkataba wa kufanya maboresho ya miundombinu hasa barabara zinazounganisha nchi hizo mbili katika kipindi cha ndani ya miezi 24 kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji ndani ya nchi hizo mbili. Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museven na Rais wa...
  15. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale

    IGP SIRRO ATOA ONYO KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA "Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale kabla hujafika mbali na kwenda kuleta madhara kwa watu wasio na hatia,- Mkuu wa Jeshi la Polisi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana na mwendendo wa demokrasia Tanzania

    Tanzania ni nchi kati ya nchi za Africa ambayo inauwezo wa kwenda mbali sana kiuongozi kwenye kila eneo. Tuna rasilimali karibu zote na kwasasa tunaanza kuona jidihata za uwekezaji na uzuiaji wa rushwa. Kitu kimoja ambacho kinaturudisha nyuma na tumerudi nyuma sana ni demokrasia. Nchi yetu...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kipi kianze Afrika kati ya demokrasia na maendeleo?

    Na Elius Ndabila 0768239284 Katika mapitio yangu mengi nimeona kuna malalamiko na mijadala mingi juu ya kipi ni muhimu kati ya demokrasia au maendeleo? Wapo wanaodhani demokrasia ni mhimu kuliko maendeleo na wapo wanaodhani maendeleo ni mhimu kuliko demokrasia. Hii imekuwa ni changamoto kwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Namuona Mzee Mwinyi kama Baba wa Demokrasia nchini kwani mwaka 1995 kila "aliyestahili" kushinda alishinda bila figisu

    Mwaka 1995 wakati Mzee Mwinyi anamaliza muda wake wa kikatiba kama Rais wa Tanzania alituachia zawadi ya viongozi imara sana. Kiukweli katika uchaguzi ule wa kwanza wa vyama vingi kila aliyestahili kushinda kwa haki alishinda iwe ni kutoka CCM na hata upinzani. Ndio tukawapata akina Dr Slaa...
  19. JamiiForums Tanzania Chagua CHADEMA upate Demokrasia na maendeleo Mtaani kwako

  20. JamiiForums Tanzania Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

    AMNESTY INTERNATIONAL HUMAN RIGHTS WATCH TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani umeongezeka tangu mwaka 2015, zinasema ripoti mbili tofauti za mashirika ya Amnesty International na Human Rights Watch zilizotolewa leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…