Yaani mfano Wanachadema au WanaCCM wa jimbo la Mchinga huko, wameamua kumpitisha mtu wao aende akagombee, halafu eti mwisho wa siku eti hichi kitu kinaitwa 'Kamati kuu' kinakaa na kuamua tofauti, eti ya kwamba aliyepitishwa kwa kura na wana Mchinga, hafai, halafu wanaamua kumpa nafasi mwingine...
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.
Mwananzila alishika nafasi ya...
Wakuu kwema? Hivi mmejiuliza kama mimi huu utitiri wa kila anayejiona anafahamika na watu kutaka kua mbunge umetokana na nini? Waigizaji, waimba muziki, watangazaji na hata wadangaji maarufu nao wanataka kua wabunge. Je ni kweli wanautaka ubunge au wametumwa kwa malengo fulani fulani?
Ikiwa...
Uchaguzi ndani ya CCM leo hii umeonyesha jinsi chama hicho kikongwe kilivyo bora katika kufanya shughuli zake pale walipomchagua mgombea wa Urais wa Zanzibar Dodoma leo hii.
Mwniyi ndiye atakiwakilisha chama chake mwaka huu. Je, vyama vya upinzani wanaweza kujifunza lolote? Je, CCM walipanga...
Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz
Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
Kuna wakati wakati kampeni za haki sawa kati ya Mwanamme na Mwanamke zilipoanza, wanawake wengi walizichukua katika muktadha tofauti kabisa na kile kilicholengwa. Walidhani kuwa huo ndo ulikuwa muda muafaka wa kufanya kila kitu ambacho wanaume walikuwa wakifanya hata kama kilikuwa kibaya. Kama...
Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma.
===
Updates:
Rais Magufuli anarudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Makao Makuu ya chama, Dodoma. Hadi sasa ni...
Nivipe pongezi vyombo vya dola vya Malawi kwa kutenda haki na nchi zingine zinifunze kutoka Malawi. Jeshi, Polisi, Mahakama, majaji na mkuu wa jeshi aliyekubali kufukuzwa kazi, lakini alisimamia msimamo wake palepale penye haki. Alikataa kupiga raia, Majaji waliktaa rushwa ya mabililioni...
Namchukulia Rais Magufuli kama yule tembo katika hadithi ya vipofu ambao waliambiwa wampapase halafu waeleze tembo ni mnyama wa aina gani. Baada ya kumpapasa vipofu walianza kubishana na hata kukaribia kupigana, kila mmoja akidai yeye yuko sahihi katika kueleza tembo ni mnyama wa aina gani...
Hadi sasa jumla ya wagombea 29 wamechukua fomu xa kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais Zanzibar kupitia CCM.
Kwa upande wa wapinzani CHADEMA ina wagombea 3 na NCCR Mageuzi 1
CCM ni baba wa demokrasia
Maendeleo hayana vyama!
Ijapokuwa demokrasia ndio mfumo wa siasa wenye ubore zaidi duniani hadi sasa ukilinganisha na mifumo mingine, hivyo kutufanya wengi wetu kuutetea mara kwa mara; kuna mambo kadhaa ya msingi tunapaswa kufahamu.
Demokrasia kamili na uhuru katika hatua yake ya juu kabisa, vinafanya kazi kwa ufanisi...
".... kwanza hana uhakika kama atashinda kura za maoni na inawezekana akashinda na bado nikamfuta, inategemea siku hiyo nimeamkaje..."
Tusome katikati ya mstari... "inawezekana akashinda na bado nikamfuta"
Mwenyekiti ana wagombea wake wa mfukoni, na wajumbe wa kura za maoni wasijisumbue.
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.
Maendeleo hayana vyama!
Huu ndio ukweli uliomkimbiza mzee Sumaye pale CHADEMA na kurejea CCM.
Mbowe hajawahi kushindwa uenyekiti wa CHADEMA wala uKUB ambapo alibadilisha utaratibu ili mwenyekiti ndio awe KUB.
Kwa sababu hiyo ya Mbowe kuwa na mizizi iliyojichimbia chini, Zitto na wenzake baada ya kugonga mwamba...
Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni
1. Lissu
2. Msigwa
3. Nyalandu.
Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel...
This is how a small clique of families control Kenya
- Kenya's Presidents Together Before 3 of Them Came into Power
- Jomo Kenyatta (seated) served from 1963-1978.
- Daniel Arap Moi (standing) served from 1978-2002.
- Mwai Kibaki (bending) served from 2002-2013.
- Uhuru Kenyatta (sitting...
CCM toka mwaka 2015 walitumika sana kuzuia kuenea kwa upinzani hasa kuzuia mikutano ya kisiasa ya upinzani na kuruhusu mikutano ya CCM pekee nchi nzima.
Ilitarajiwa kufika mwaka 2019 upinzani wote uwe ushakufa either kwa hila au kwa pesa, ndio kulichachamaa ununuzi wa wabunge na madiwani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.