Ni kipi kianze Afrika kati ya demokrasia na maendeleo?

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Jul 17, 2019
322
645
Na Elius Ndabila
0768239284

Katika mapitio yangu mengi nimeona kuna malalamiko na mijadala mingi juu ya kipi ni muhimu kati ya demokrasia au maendeleo? Wapo wanaodhani demokrasia ni mhimu kuliko maendeleo na wapo wanaodhani maendeleo ni mhimu kuliko demokrasia.

Hii imekuwa ni changamoto kwa nchi zinazoendelea kwa kuwa zenyewe zimeburuzwa na upepo wan nchi zilizokwisha endelea. Bahati mbaya sana nchi zinazoendelea zimechagua kwenda navyo vyote, yaani Demokrasia na Maendeleo. Sababu ya kwenda navyo vyote ni kwa kuwa kipi ni muhimu kati ya vyote viwili inakuwa kitendawili kama ilivyo kwa kipi kilianza kati ya kseserikali.

Ni dhana inayofikirisha na ambayo inahitaji mjadala mpana kwa watu wote, hususani katika kufikia mkutadha wa maafikiano ya pamoja hasa kwa wajuvi wa mambo haya.

Tukubaliane kuwa ili taifa liweze kunufaika na utaifa wake lazima mzani upande wa maendeleo uwe na uzito mkubwa. Maendeleo na Demokrasia yakienda kwa uwiano sawa yaani kama inavyoeleza kanuni ya Archimedes Principles ya uzito wa ukubwa wa kitu kinachozama kwenye maji ni sawa na maji yanayotoka nchi zinaweza kukwama.

Nchi haziwezi kwenda kwa Demokrasia:Maendeleo, bali Demokrasia/Maendeleo.

Nini hasa maana ya Demokrasia? Wapo wanafalsafa mbalimbali walioweza kueleza maana ya demokrasia. Lakini mwanataaluma wa hivi karibuni ni Abraham Lincolin.

Abraham Lincoln, Rais wa 16 wa Marekani, alisema Demokrasia ni serikali ya watu/mfumo wa utawala wa watu, kwa ajili ya watu na unaotokana na watu. Watu wanaunda serikali.

Hivyo kwa ujumla wake tunaweza kusema, Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo wananchi wote ni sawa mbele ya sheria na wanashiriki katika kufanya maamuzi ya kitaifa juu ya masuala ya umma.

Wakati mwingine wananchi hushiriki moja kwa moja - hii ina maana kwamba wao hupiga kura moja kwa moja kwenye masuala kama vile sheria na katika chaguzi. Wakati mwingine huwakilishwa na viongozi wao waliowachagua. AU Ni utawala wa watu, na watawala hutawala kwa ridhaa ya watu. Kwa hiyo kwa kifupi Demokrasia ni mfumo unatoa fursa ya madaraka kwa umma moja kwa moja au kutokana na uwakilishi. Demokrasia imegawanyikakatika aina mbili, yaani Representative democracy na Direct Democracy.

W
akati huo tunasema maendeleo ni Maendeleo ni mabadiliko yanayoonekana kuboresha hali ya binadamu. Hali hiyo inajitokeza katika nyanja mbalimbali za maisha mwanadamu. Hayati Mwalimu Julius Nyerere yeye aliwahi kusema ili nchi ipate maendeleo inahitaji Watu, Aridhi, siasa safi na uongozi bora.

Historia inatukumbusha kuwa kwa karne zaidi ya mbili na ushea iliyopita imetawaliwa na mfumo mmoja tu wa kuleta maendeleo ambao umeasisiwa na nchi za magharibi na Marekani. Na mfumohuo ulikuja baada ya mapinduzi makubwa ya viwanda katika nchi zilizoendelea.

Nchi zilizoendelea kwa sasa zinatumia nguvu kubwa kuzikadamiza nchi zinazoendelea kuiga mfumo wao katika kuziedesha nchi hizi. Wanashinikiza nchi zote zinazoendelea kutuma mfumo huu wa demokrasia ili kujiletea maendeleo. Yaani kwa maana halisi hawa mabepari wana taka nchi zote duniani ziendeshwe kwa mfumo wanaoutaka wao wa Private capitalism, liberal Demokracy na kipaumbele kwa haki za kisiasa juu ya haki za kiuchumi(emphasis on political rights over economic rights).

J
ambo kubwa tunalopaswa kujiuliza ni kwamba nchi zilizopiga hatua kimaendeleo wao walifanya kwanza demokrasia ndipo wakapata maendeleo au walifanya kwanza maendeleo ndipo demokasia ikafuata? Sina maana kuwa nchi za afrika au Tanzania hakuna demokrasai,lakni nataka tupate kwanza uwiano huu.

Tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba maendeleo ya Ulaya yalianza wakati wa mapinduzi ya viwanda katika nchi za ulaya na baadae kwenda huko Marekani lililokuwa koloni la Uingereza na haya maendeleo katu hayakuletwa na udhihirisho wa demokrasia bali Demokrasia ililetwa na maendeleo yaliyotokan na mapinduzi ya viwanda. Wakati mataifa hayo makubwa kwa sasa duniani yakipambana kukuza uchumi wao demokrasia inayozungumzwa leo haikuwepo.

M
apinduzi ya viwanda huko Ulaya yalianza miaka ya 1760 na 1820, na 1840 ndipo mapinduzi haya yalishika kasi. Kwa mda wote huu wa mapinduzi ya viwanda hakukuwa na demokrasia yoyote huko ulaya ama Marekani na ndiyo maana tafiti zinaonyesha kuwa maendeleo yananza ili kuleta demokrsia.

Demokrasia inaweza kutumika tu kwa ajiri ya kufifisha maendeleo kwani kwenye uhuru wa demokrasia kila jambo litahojiwa kitu kitakachopekea maendeleo dumavu. Watu watatuma mda mwingi kujadili demokrsia badala ya kufanya kazi.

Afrika inapaswa kuenzi demokrasia ya babu zetu ili kufkia maendeleo yenye ufanisi. Leo kutumia demokrasia ya nchi zinazotamani kuitawala Dunia ni sawa na kwenye mechi ya Yanga Vs Simba unamteua HAJI MANARA kuwa Mwamuzi wa mchezo, ni lazima ataibeba Simba. Ndivyo ilivyo kwa nchi zilizoendelea wanachotaka Afrika ifanye ni kile ambacho kinafaida kwao si chenye hasara.

Wakati wenzetu huko Ulaya wanasema hakuna demokrasia afrika ijapo misingi yote ya kidemokrsia inafuatwa, mwandishi mmoja kutoka Ugriki kwenye kitabu chake cha HOW DEMOCRAY PRACITICE ameadika kuwa nchini Uingereza walianza kufuata mising ya demokraia baada ya mapinduzi ya viwanda ya mwaka 1840. Anasema Uingereza demokrasia ilianza kujitokeza mwaka 1850 ambako ni asiliia mbii tu ya wanaume ndio walikuwa wakiruhusiwa kupiga kura. Na kuanzia miaka ya 1880 namba kubwa ya wanaume waliruhusiwa kupiga kura, lakini wanawake hawakuruhusiwa.

Kwa Marekani hali haikuwa tofauti sana kulikuwa na ubaguzi mkubwa, kwani kuanzia miaka ya 1860 wanaume wengi wakizungu waliruhsiwa kupiga kura. Wanawake wa kizungu waliruhusiwa kupig kura kanzia mwaka 1920 yaani miaka 60 badaye.

Kumbukumbu zilizo kwenye maandiko mengi ziaonyesha kuwa wakati huo watu weusi wao walipata furusa hiyo kunako miak 1960 nchini Marekani. Hii ilikuwa ni baada ya miaka 184 tangu nchi hii ipate uhuru. Jambo la kushangaza waafrika watakwambia mbona demokrasia yetu haifanani nay a Marekani? Unafananisha nchi yenye umriwa miaka 243 tangu iwe huru na nchiya miaka 50? Abadani.

Hapa tafsiri yake ni kuwa nchi za Magharibi na Marekani kipao mbele chao cha kwanza haikuwa demokrasia bali ilikuwa ni kuhakikisha zinakuza uchumi katka nchi zao.

U
kizitazama nchi za afrika ambazo nyingi uchumi wao ni duni zinalazimishwa kufuata mfumo huu ambao hata nchi zilizoendelea hazikuufuata mwanzo. Mashinikizo mengi yakitoka kwenye benki ya dunia yakizitaka nchi zote kufuata mifumo hii, ukishidwa kuifuata wanakuwekea vikwazo vya kiuchumi kwa kuto kutoa misada au kukukopesha.

Tafiti zinaonyesha ili kuwa na demokrasia imara lazima kwanza uwe na uchumi ulioimara, kinyume na hapo hakuna demokrasia na demokrasia haina maana. Wananchi hawawezi kuiwajibisha serikali yao kikamilifu kama uchumi wao hauko imara, Watashiwa kuhongwa ili kuwaziba midomo.

Histori na namba huwa hazidanganyi, ndiyo maana kupitia historia na tafiti za kimajumui zinaonyesha kuwa China bila demokrasia mwaka 1820 ilikuwa nchi yenye uchumi imara kuliko nchi awayo ya yote hapa duniani na hadi sasa China haifuati hiyo mifumo ya demokrasi na bado ni moja ya nchi chache ambazo zipo imara kiuchumi.

Ninaomba ifahamike wazi kuwa sipo hapa kupinga uwepo wa demokrasia katika bara la Afrika, bali makala yangu inajaribu kuweka tafakuri kuwa si kila jambo wanalolihitaji watu wa nchi za Magharibi linaweza kutufaa kwa sasa kwa kuifuata demokrasia ile ile wanayotaka wao. Dhana yangu hapa ni kuwa hakuwezi kuwa na dhana moja ya kuleta maendeleo katika dunia nzima kama watakavyo mabepari, ila kunaweza kuwa na mifumo mingi katika mimbari yakuleta maendeleo kama vile China ilivyo na Japani wenye demokrasia ijapo ni tofauti na ya USA na UINGEREZA.

Demokrasia kwa Afrika inashindwa kuleta matunda kama watakavyo mabepari kwa kuwa Afrika inashurutishwa kufuata mfumo huu na kuacha demokrasia yetu ambayo tangu zamani viongozi wetu walipatikana. Na bahati mbaya demokrasia nayo ambayo tumekuwa tunaisema ni ile ya kisiasa tu, ambayo hata wasiyo husika nayo wameshindwa kuangalia mifumo yao ya kiutendaji. Afrika wengi wanadhani demokrasia ni kuchagua viongozi tu. Lakini kiuharithia ni mfumo mzima wa maisha ulioKATIBISHWA(Constitutionalism).

Mwanafalsafa mmoja anasema “ kama Afrika inataka kuona maendeleo kama tunavyohitaji ni dhahiri tunapaswa kuwa na demokrasia inayotokana na Wafrika wenyewe na siyo hiyo ya kuinunua ughaibuni ambayo badala ya kutuletea maendeleo inatudidimiza na kutuletea vita za wenyewe kwa wenyewe au kuminya uhuru wa wengine ili watu wachache wafaidike

Tuachane na demokrasia inayotufanya kuwa tegemezi, demokrasia inayotufanya kuwa handaki la kutuletea bidhaa zao na kuacha bidha zetu. Demokrasia inayotufanya kuboresha masoko kwa ajili ya bidhaa za wazungu. Demokrasia inayotuachia mahandaki yatokanayo na kusomba madini yetu na kutuletea pete na bidhaa zingine zitokanazo na malighafi zetu.

Kwa kuhitimisha ni kuwa demokrasia si dhana mhimu ya kuleta maendeleo, bali uchumi imara ndiyo nyenzo mhimu na ya pekee ya kuleta demokrasia.
 
Demokrasia ya Africa ni ipi hiyo?
Hembu itolee ufafanuzi jinsi inavyofanya kazi na utupe mifano ya nchi chache inapotekelezwa.
 
Mbona Leshotho kwa mfalme Mswati,Equtoreal Guniea ya Nguema,Zaire ya Mobutu,CAR ya Bokasa,Nigeria ya Abacha,Gambia ya Yahaya zina hayo matatizo au zilikuwa nayo pamoja na kukosekana kwa hiyo unayoita demokrasia ya magharibi?
 
Afrika ni dumavu kwa kuwa tumeamua kuishi kama nchi za magharibi zinavyotaka. Ili timu iweze kushinda dhidi ya mpinzani wake inatakiwa iwe na mfumo tofauti wa uchezaji. Kama mpinzani wako anatumia mipira ya juu wewe unapaswa utulize mpira na ucheze pasi za chini. Sisi tume copy na ku paste each and every thing
 
Halafu huyu ndio msomi?

Olevel alisoma Demokrasia na Maendeleo yanaenda hand in hand

Yeye kwa makusudi anaacha hii concept aliyosoma darasani akajibia maswali ili tu ajenge hoja ya hovyo kutetea utawala wa kihayawani uliopo!

Wasomi wamegeuka wanafiki wakubwa!

Na huyu wa hii makala mbuzi ni lisomi nafiki kabisa kutokea!
 
Sasa umejenga hoja ipi ambayo unapaswa ujibiwe? Nilichokiona ni kama umeandika on negative mood
 
Bahati mbaya tumekuwa wa kuamini vilivyoandika, na kujikosoa wenyewe kuwa hatuwezi kuja na mawazo mapya. Waliondika tuliyofundishwa ni watu, si dhambi kuwapinga unapoona kuna haja. Kuunga kila jambo ni uvivu wa kufikiria kuwa sisi hatuwezi kuja na mawazo mapya.
 
Uzi hautembei sabb ya hizo namba ulizoweka hapo juu,wengi ndio wanaona wa
le wale wapiga vibomu kwa kujifanya wana harakati
 
Sasa umejenga hoja ipi ambayo unapaswa ujibiwe? Nilichokiona ni kama umeandika on negative mood

Hoja yangu ni kua wasomi waache unafiki!

Unafiki wa kupindisha taaluma ili kutetea utawala wa kidhalimu!

Tumesoma Olevel kua Demokrasia na Maendeleo yanaenda mguu kwa mguu!

Yeye anajifanya eti Demokrasia ni kivyake na Maendeleo ni kivyake,which is a white lie!

Yaani yeye anatuaminisha Demokrasia ikiwepo basi hakuna Maendeleo!

Yaani Maendeleo yanakuja tu iwapo hakuna Demokrasia hivyo tuchague kimoja ambao ni umama na uongo!

Which is blatant lie!

Topic ya “Democracy and Development” ya Olevel ambayo aliisoma na kujibia maswali anajifanya haipo leo ili kutetea utawala wa kidhalimu!

Hizo ndio hoja zangu!

Na by the way,tuliza matako,ukizengua utapigwa tako kama mzinga wa konyagi!
 
Bahati mbaya tumekuwa wa kuamini vilivyoandika, na kujikosoa wenyewe kuwa hatuwezi kuja na mawazo mapya. Waliondika tuliyofundishwa ni watu, si dhambi kuwapinga unapoona kuna haja. Kuunga kila jambo ni uvivu wa kufikiria kuwa sisi hatuwezi kuja na mawazo mapya.

Acha upumbavu wewe!

Walioandika ni watu waliosomea hivyo vitu wakafanyia research wakapata PhD kwenye hayo mambo!

Probability ya makosa ipo,ila ni ndogo!

Na hayo makosa yanaonekana kwa kufanya counter research sio kuongea kwa kutanua domo humu JF!

Hebu niambie mimi ni kichaa nikuamini wewe mpumbavu ulieishia Bachelor au Masters Degree na hujafanya research yeyote kuhusu hili somo badala ya kuamini experts waliofanya research na ku defend their findings mbele ya peers wao na wakawakubali na kuwatunuku PhD?

Nije nikuamini mpuuzi mnuka mavi kama wewe unaeandika upumbavu unapproved na institution yeyote duniani na congregation of your peers in the field?

Nina kichaa?

Sifanyi upumbavu huo!

Ni heri niamini only approved findings zilizokubalika na peers kwenye field na sio delusional monkey like you unaekurupuka tu kwa utashi wako kusema tulivyosoma shule ni uongo maana wewe una ukweli according to who?

Shut it!
 
Demokrasia ni USHETANI wa mfano wake. Uhuru usio na mipaka ni utumwa wa fikra na matamanio ya nafsi.
 
Wasumu
Na Elius Ndabila
0768239284

Katika mapitio yangu mengi nimeona kuna malalamiko na mijadala mingi juu ya kipi ni muhimu kati ya demokrasia au maendeleo? Wapo wanaodhani demokrasia ni mhimu kuliko maendeleo na wapo wanaodhani maendeleo ni mhimu kuliko demokrasia.

Hii imekuwa ni changamoto kwa nchi zinazoendelea kwa kuwa zenyewe zimeburuzwa na upepo wan nchi zilizokwisha endelea. Bahati mbaya sana nchi zinazoendelea zimechagua kwenda navyo vyote, yaani Demokrasia na Maendeleo. Sababu ya kwenda navyo vyote ni kwa kuwa kipi ni muhimu kati ya vyote viwili inakuwa kitendawili kama ilivyo kwa kipi kilianza kati ya kseserikali.

Ni dhana inayofikirisha na ambayo inahitaji mjadala mpana kwa watu wote, hususani katika kufikia mkutadha wa maafikiano ya pamoja hasa kwa wajuvi wa mambo haya.

Tukubaliane kuwa ili taifa liweze kunufaika na utaifa wake lazima mzani upande wa maendeleo uwe na uzito mkubwa. Maendeleo na Demokrasia yakienda kwa uwiano sawa yaani kama inavyoeleza kanuni ya Archimedes Principles ya uzito wa ukubwa wa kitu kinachozama kwenye maji ni sawa na maji yanayotoka nchi zinaweza kukwama.

Nchi haziwezi kwenda kwa Demokrasia:Maendeleo, bali Demokrasia/Maendeleo.

Nini hasa maana ya Demokrasia? Wapo wanafalsafa mbalimbali walioweza kueleza maana ya demokrasia. Lakini mwanataaluma wa hivi karibuni ni Abraham Lincolin.

Abraham Lincoln, Rais wa 16 wa Marekani, alisema Demokrasia ni serikali ya watu/mfumo wa utawala wa watu, kwa ajili ya watu na unaotokana na watu. Watu wanaunda serikali.

Hivyo kwa ujumla wake tunaweza kusema, Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo wananchi wote ni sawa mbele ya sheria na wanashiriki katika kufanya maamuzi ya kitaifa juu ya masuala ya umma.

Wakati mwingine wananchi hushiriki moja kwa moja - hii ina maana kwamba wao hupiga kura moja kwa moja kwenye masuala kama vile sheria na katika chaguzi. Wakati mwingine huwakilishwa na viongozi wao waliowachagua. AU Ni utawala wa watu, na watawala hutawala kwa ridhaa ya watu. Kwa hiyo kwa kifupi Demokrasia ni mfumo unatoa fursa ya madaraka kwa umma moja kwa moja au kutokana na uwakilishi. Demokrasia imegawanyikakatika aina mbili, yaani Representative democracy na Direct Democracy.

W
akati huo tunasema maendeleo ni Maendeleo ni mabadiliko yanayoonekana kuboresha hali ya binadamu. Hali hiyo inajitokeza katika nyanja mbalimbali za maisha mwanadamu. Hayati Mwalimu Julius Nyerere yeye aliwahi kusema ili nchi ipate maendeleo inahitaji Watu, Aridhi, siasa safi na uongozi bora.

Historia inatukumbusha kuwa kwa karne zaidi ya mbili na ushea iliyopita imetawaliwa na mfumo mmoja tu wa kuleta maendeleo ambao umeasisiwa na nchi za magharibi na Marekani. Na mfumohuo ulikuja baada ya mapinduzi makubwa ya viwanda katika nchi zilizoendelea.

Nchi zilizoendelea kwa sasa zinatumia nguvu kubwa kuzikadamiza nchi zinazoendelea kuiga mfumo wao katika kuziedesha nchi hizi. Wanashinikiza nchi zote zinazoendelea kutuma mfumo huu wa demokrasia ili kujiletea maendeleo. Yaani kwa maana halisi hawa mabepari wana taka nchi zote duniani ziendeshwe kwa mfumo wanaoutaka wao wa Private capitalism, liberal Demokracy na kipaumbele kwa haki za kisiasa juu ya haki za kiuchumi(emphasis on political rights over economic rights).

J
ambo kubwa tunalopaswa kujiuliza ni kwamba nchi zilizopiga hatua kimaendeleo wao walifanya kwanza demokrasia ndipo wakapata maendeleo au walifanya kwanza maendeleo ndipo demokasia ikafuata? Sina maana kuwa nchi za afrika au Tanzania hakuna demokrasai,lakni nataka tupate kwanza uwiano huu.

Tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba maendeleo ya Ulaya yalianza wakati wa mapinduzi ya viwanda katika nchi za ulaya na baadae kwenda huko Marekani lililokuwa koloni la Uingereza na haya maendeleo katu hayakuletwa na udhihirisho wa demokrasia bali Demokrasia ililetwa na maendeleo yaliyotokan na mapinduzi ya viwanda. Wakati mataifa hayo makubwa kwa sasa duniani yakipambana kukuza uchumi wao demokrasia inayozungumzwa leo haikuwepo.

M
apinduzi ya viwanda huko Ulaya yalianza miaka ya 1760 na 1820, na 1840 ndipo mapinduzi haya yalishika kasi. Kwa mda wote huu wa mapinduzi ya viwanda hakukuwa na demokrasia yoyote huko ulaya ama Marekani na ndiyo maana tafiti zinaonyesha kuwa maendeleo yananza ili kuleta demokrsia.

Demokrasia inaweza kutumika tu kwa ajiri ya kufifisha maendeleo kwani kwenye uhuru wa demokrasia kila jambo litahojiwa kitu kitakachopekea maendeleo dumavu. Watu watatuma mda mwingi kujadili demokrsia badala ya kufanya kazi.

Afrika inapaswa kuenzi demokrasia ya babu zetu ili kufkia maendeleo yenye ufanisi. Leo kutumia demokrasia ya nchi zinazotamani kuitawala Dunia ni sawa na kwenye mechi ya Yanga Vs Simba unamteua HAJI MANARA kuwa Mwamuzi wa mchezo, ni lazima ataibeba Simba. Ndivyo ilivyo kwa nchi zilizoendelea wanachotaka Afrika ifanye ni kile ambacho kinafaida kwao si chenye hasara.

Wakati wenzetu huko Ulaya wanasema hakuna demokrasia afrika ijapo misingi yote ya kidemokrsia inafuatwa, mwandishi mmoja kutoka Ugriki kwenye kitabu chake cha HOW DEMOCRAY PRACITICE ameadika kuwa nchini Uingereza walianza kufuata mising ya demokraia baada ya mapinduzi ya viwanda ya mwaka 1840. Anasema Uingereza demokrasia ilianza kujitokeza mwaka 1850 ambako ni asiliia mbii tu ya wanaume ndio walikuwa wakiruhusiwa kupiga kura. Na kuanzia miaka ya 1880 namba kubwa ya wanaume waliruhusiwa kupiga kura, lakini wanawake hawakuruhusiwa.

Kwa Marekani hali haikuwa tofauti sana kulikuwa na ubaguzi mkubwa, kwani kuanzia miaka ya 1860 wanaume wengi wakizungu waliruhsiwa kupiga kura. Wanawake wa kizungu waliruhusiwa kupig kura kanzia mwaka 1920 yaani miaka 60 badaye.

Kumbukumbu zilizo kwenye maandiko mengi ziaonyesha kuwa wakati huo watu weusi wao walipata furusa hiyo kunako miak 1960 nchini Marekani. Hii ilikuwa ni baada ya miaka 184 tangu nchi hii ipate uhuru. Jambo la kushangaza waafrika watakwambia mbona demokrasia yetu haifanani nay a Marekani? Unafananisha nchi yenye umriwa miaka 243 tangu iwe huru na nchiya miaka 50? Abadani.

Hapa tafsiri yake ni kuwa nchi za Magharibi na Marekani kipao mbele chao cha kwanza haikuwa demokrasia bali ilikuwa ni kuhakikisha zinakuza uchumi katka nchi zao.

U
kizitazama nchi za afrika ambazo nyingi uchumi wao ni duni zinalazimishwa kufuata mfumo huu ambao hata nchi zilizoendelea hazikuufuata mwanzo. Mashinikizo mengi yakitoka kwenye benki ya dunia yakizitaka nchi zote kufuata mifumo hii, ukishidwa kuifuata wanakuwekea vikwazo vya kiuchumi kwa kuto kutoa misada au kukukopesha.

Tafiti zinaonyesha ili kuwa na demokrasia imara lazima kwanza uwe na uchumi ulioimara, kinyume na hapo hakuna demokrasia na demokrasia haina maana. Wananchi hawawezi kuiwajibisha serikali yao kikamilifu kama uchumi wao hauko imara, Watashiwa kuhongwa ili kuwaziba midomo.

Histori na namba huwa hazidanganyi, ndiyo maana kupitia historia na tafiti za kimajumui zinaonyesha kuwa China bila demokrasia mwaka 1820 ilikuwa nchi yenye uchumi imara kuliko nchi awayo ya yote hapa duniani na hadi sasa China haifuati hiyo mifumo ya demokrasi na bado ni moja ya nchi chache ambazo zipo imara kiuchumi.

Ninaomba ifahamike wazi kuwa sipo hapa kupinga uwepo wa demokrasia katika bara la Afrika, bali makala yangu inajaribu kuweka tafakuri kuwa si kila jambo wanalolihitaji watu wa nchi za Magharibi linaweza kutufaa kwa sasa kwa kuifuata demokrasia ile ile wanayotaka wao. Dhana yangu hapa ni kuwa hakuwezi kuwa na dhana moja ya kuleta maendeleo katika dunia nzima kama watakavyo mabepari, ila kunaweza kuwa na mifumo mingi katika mimbari yakuleta maendeleo kama vile China ilivyo na Japani wenye demokrasia ijapo ni tofauti na ya USA na UINGEREZA.

Demokrasia kwa Afrika inashindwa kuleta matunda kama watakavyo mabepari kwa kuwa Afrika inashurutishwa kufuata mfumo huu na kuacha demokrasia yetu ambayo tangu zamani viongozi wetu walipatikana. Na bahati mbaya demokrasia nayo ambayo tumekuwa tunaisema ni ile ya kisiasa tu, ambayo hata wasiyo husika nayo wameshindwa kuangalia mifumo yao ya kiutendaji. Afrika wengi wanadhani demokrasia ni kuchagua viongozi tu. Lakini kiuharithia ni mfumo mzima wa maisha ulioKATIBISHWA(Constitutionalism).

Mwanafalsafa mmoja anasema “ kama Afrika inataka kuona maendeleo kama tunavyohitaji ni dhahiri tunapaswa kuwa na demokrasia inayotokana na Wafrika wenyewe na siyo hiyo ya kuinunua ughaibuni ambayo badala ya kutuletea maendeleo inatudidimiza na kutuletea vita za wenyewe kwa wenyewe au kuminya uhuru wa wengine ili watu wachache wafaidike

Tuachane na demokrasia inayotufanya kuwa tegemezi, demokrasia inayotufanya kuwa handaki la kutuletea bidhaa zao na kuacha bidha zetu. Demokrasia inayotufanya kuboresha masoko kwa ajili ya bidhaa za wazungu. Demokrasia inayotuachia mahandaki yatokanayo na kusomba madini yetu na kutuletea pete na bidhaa zingine zitokanazo na malighafi zetu.

Kwa kuhitimisha ni kuwa demokrasia si dhana mhimu ya kuleta maendeleo, bali uchumi imara ndiyo nyenzo mhimu na ya pekee ya kuleta demokrasia.
Wasukuma mtaandika kila kitu kuweza kujustfy uchafu na ufedhuli unaoendeshwa na kichaa wenu Jiwe. Huwezi kuanza kuleta scenario za industrial revolution ambayo ilikuwa ndiyo hatua ya ustawi wa kijamii na kisiasa ya Ulaya ili na sisi tuifuate hapa Afrika.

Kama wale walishavuka basi sisi tunachukua mazuri yao ambayo ndiyo hiyo demokrasi. Mtoa mada amekidhalilisha yeye na elimu yake kwa ugoro aliouandika hapo.
 
Back
Top Bottom